Ukweli, haki, akili na upendo(utibeli) ndio msingi wa utawala bora na siasa safi za kuleta maendeleo ya kweli (true development)

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
UKWELI, HAKI, AKILI NA UPENDO(UTIBELI) NDIO MSINGI WA UTAWALA BORA NA SIASA SAFI ZA KULETA MAENDELEO YA KWELI (True Development)

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Maendeleo ya Kweli (True Development) ni mabadiliko chanya yanayotokea kuanzia ndani ya mtu(hisia, Akili), na nje ya mwili katika mazingira yanayomzunguka Mtu.

True Development comes from True education.
Jamii haiwezi Kupata maendeleo ya kweli ikiwa haipati elimu Halisi.

Uhalisia wa maisha. Asili ya binadamu. Hulka na silika ya kiumbe. Mabadiliko ya kiwakati. Hutoa muongozo katika kutoa True education ili Kupata maendeleo ya kweli.

Ukosefu wa ajira ni sehemu ya matokeo Mabaya ya Elimu isiyohalisi. Kudharau Kazi, wizi, dhulma, ufisadi, utekaji, mauaji, watawala kushindwa kujidhihiti ni moja ya matokeo Mabaya ya Elimu isiyohalisi ambayo husababisha Maendeleo bandia, maendeleo yauwongo.

Msingi wa Elimu Halisi ni UKWELI, HAKI, MAARIFA, NA UPENDO (UTIBELI)
MAENDELEO ya kweli lazima yazingatie HAKI, UKWELI, MAARIFA NA UPENDO.

Maendeleo ya Nje kama miundombinu Bora, Majengo ya kisasa, hayawezi kuitwa maendeleo kama hakuna maendeleo ya ndani ya watu.

Ni rahisi kushuhudia Majengo mazuri ya hospitali, Majengo mazuri ya vituo vya kutoa na kusimamia HAKI na Sheria Kama mahakama na Vituo vya Polisi lakini kama watu waliopo katika Majengo hayo hawana maendeleo ya ndani huduma haziwezi kuwa Bora, zenye Tija. Rushwa, dharau, kutokujali, kupenda pesa ndio hutamalaki.

Itashuhudia majumba makubwa ya kifahari lakini hayana Tija yoyote kwani wanafamilia wanaoishi ndani yake hawana maendeleo ya ndani.

UTIBELI ni usafi wa akili, hisia, mwili na mazingira. Usafi huo huleta HAKI, akili, upendo na KWELI.

Kukubali ukweli na nguvu yake ndio demokrasia yenyewe.
Kukubali ukweli wa mawazo, ukweli wa zama kwani kila Jambo Lina mwanzo na mwisho wake hiyo ni demokrasia.

Maendeleo bandia huunda umaskini bandia. ELIMU isiyohalisi huunda wajinga bandia.
Mwishowe uchumi bandia, maendeleo bandia.
Ahadi bandia
Watu bandia.
Mahusiano bandia.
Dini Bandia
Mitume bandia
Watawala bandia
Maisha bandia
Wazazi bandia

Ndoa bandia, ambazo hudororesha maendeleo ya kijamii, mwishowe ya kiuchumi na kisiasa.

Taikon Acha nipumzike sasa.

Nawatakia Sabato Njema.
Ni Yule Mtibeli

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Unakutana na mtu ana:-
Meno bandia.
Kucha bandia.
Shape bandia
Rangi bandia.
Makalio bandia
Nywele bandia.
Hii nchi kuna pahala tulimkosea Mungu nadhani.
 
Kwenye Ukweli, Haki, .Maendeleo na Utawala Bora hapa ndio Tundu Lissu anakuwa Outstanding Candidate.

Huko kwingine tunapuyanga tu miaka 63yrs bado tunauwa watu kwenye sanduku la Kura?
 
Back
Top Bottom