Ukweli Humuweka Mtu Huru: Nimechoka Kujiuza, Nimechoka.

Nicheki DM kama unahitaji kunisaidia.
Nilivosoma hapo kuhusu kwenda DM niliwahi mapema kutuma Sms ila baade nikamalizia kusoma kuwa unahitaji msaada na sio kuuza tena.

nicheki DM kama unahitaji huduma.
niliwaza hivyo
 
Hahaha huyu wala sio demu nawashangaa wajinga mko bize kushauri, tena hiyo ni id fake, kwa akili yako unadhani mhusika anaweza kutaja jina lake bayana! Since huyu ni mwamba anawachota mkajae dm awapige helaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Anataka eti watu waende DM kumpa ushauri, mtu akifika kule kibao kinabadilika anaanza kuwauzia wazee washauri walio jaa DM😁😁
 
Da khantwe huyo mume wake Akiwa kaka Yako utafurahishwa na Hilo !?
Akifurahishwa mume wake inatosha, mimi ninΓ yo ya kwangu ya kunifurahisha au kutonifurahisha. In short, kaka yangu hana wajibu wa kujali kufurahishwa ama kutofurahishwa kwangu na ndoa yake
 
Tunakuombea mamy
 
Pole , pole sana nusratt.
Pole kwa kuto kuwepo mama na mwenzako.

Siku ile tunazaliwa tulikuwa innocent, lakini dunia na mfumo umetusababisha kuwa wenye hatia na kukosa thamani na mantiki ya maisha.

Kuna makosa madogo kutoka kwa wazazi wetu ambayo yanetugharimu mno.

Na mzunguko huo tunaurithisha kwa wototo wetu nao kwa watoto wao na kuendelea.

Haupaswi kulaumiwa kwa vyovyote ila kupongezwa kwa wasilisho hili.

Hakuna hata mmoja miongoni mwetu ambea haukumiwi na dhamiri kwa sababu ya matendo ya sirini ambayo dhamira imekataa kuyaweka kwenye kundi la wema.

Tunapokuwa mbele za watu na kwenye majukwaa kama haya hatuachi kujihebia wema na kuwa hukumu wengine walio kiri kukosea kwao wakati huo huo nyuma yetu kua ubaya usio wa kawaida.

Hivyo pole kwa yote, si wewe wa kwanza kujikuta katika hali hio, walikuwepo juzi jana leo na hata kesho.

Na kama kusingekuwa na watu wa namna ulivyo wewe aiyumkini maisha yasingekuwa jinsi yalivyo.

Naweza kuthubutu kusema ni huduma, hata kama dunia inaiona ni mbaya , lakini jiulize kama isingekuwepo ingekuwaje.

Katika hadithi za dini za kikristo, chimbuko bla uzazi wa yesu mwanzo wake ukifiata mtiririko mzima ulianzia owa anae itwa kahaba!

Si bahati mbaya ikawa hivyo.


Shukuru Mungu kwa yote, kama kuna dhuluma ulifanya tafuta namna ya kuilipa , lakini kwa hilo usijihukumu kupita kiasi.

Mungu awe faraja kwako.
 
Acheni kumnyanyapaa nusulat mbona wengine mnauza indirect bhana..!! 😹😹

Au kosa lake kusema ukweli ambao wengine mmeuficha? Haya nyie watakatifu bikra katoa Juma, kubenuliwa harage na bakari, kukojozwa na Peter. Kuzalishwa na John, Pete ya uchumba umevalishwa na Abel, ndoa umeolewa na Eric na bado mtoto wa ndoa umezaa na boss wake Eric..!!

Hapo wewe na nusulat mna tofauti gani?

Kabla hujamnyooshea kidole nusulat angalia wewe mtakatifu? Una bikra zote na je, kazitoa mumeo? 😹😹😹
 
Kama hawauzi wakati wa kuondoka kwa nini huwa wanataka hela πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…