Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Kitu kimoja, n sawa na kusema mapenzi na ngono n tofautiKudanga na kujiuza ni kitu kimoja?
Kitu kimoja, n sawa na kusema mapenzi na ngono n tofautiKudanga na kujiuza ni kitu kimoja?
Diana yule anayejifanya yupo kinyerezi?Huyo mwngn n siri yangu, ngoja nimtulize.
Ila kwa sasa tuishi na huyo malaya Diana
Kabisa yawezekanaKuamini topics zingine nako kunahitaji moyo, unaweza kuta ni Mwanaume ameanzisha mada ilimradi tu kupima responses za watu humu...au Chai tu hii😂
Wenaaa....!!😅Weka namba simu watu wakupigie kwa ushauri zaidi....
Kama kaweka naomba unitag mkuu wanguWeka majibu yako ya Ukimwi humu
Haaha yini!?Wenaaa....!!😅
View attachment 3620753
Kuna wakati inabidi ukweli uwe wazi ili upate amani ya Moyo.
Mimi Nusratt Mohamed, Nimechoka kuwa muuzaji.
Nimechoka na hii kazi,
Nimechoka kuwa dada poa,
Nimechoka kudhalilika kwenye jamii,
Nimechoka kunyooshewa vidole mtaani,
Nimechoka kuingiliwa na kila aina ya dhakari.
Inafikia mahali mpaka nashindwa kukatiza mbele ya kundi la akina mama kwani ni lazima watanisema tu.
Sina raha na nyumba yangu
Sina raha na gari yangu wala biashara yangu.
Nimeamini kuwa kuna umri na wakati ukifika, vyote vya nyuma huwa ni simulizi ila si kwa simulizi yangu.
Siwezi changia mada ambayo ndani yake madadapoa wametajwa kwani mfano utarudi kwangu dhahiri.
Nimejaribu kubadili laini za simu mara kadhaa ila haijasaidia.
Nimejaribu kutulia ndani kwangu ila imeshindikana.
Ushauri wenu nauhitaji mno
Na laiti marehemu mama na pacha wangu wangekuwa hai, sidhani kama leo hii ningekuwa kahaba.
Najuta, Najuta na Najuta mnoooooo!!!!
Nicheki DM kama unahitaji kunisaidia.
Sio wote walikuwa na hali ngumu ndo wakajiingiza huko, Sasa mtu ana miaka mitano anajiuza huyu utasema amekosa mtaji wa kufungua biashara yoyote au ndo hvy kujiuza n starehe yake?Diana yule anayejifanya yupo kinyerezi?
Mimi nikiona binti anajiuza namuonea huruma sana maana najua amekutana na hali ngumu mno kiasi cha kuamua kuuza utu wake
Labda kuna mambo ya kiroho yanaingia hapo.Sio wote walikuwa na hali ngumu ndo wakajiingiza huko, Sasa mtu ana miaka mitano anajiuza huyu utasema amekosa mtaji wa kufungua biashara yoyote au ndo hvy kujiuza n starehe yake?