Ukweli Humuweka Mtu Huru: Nimechoka Kujiuza, Nimechoka.

Dah! Inasikitisha sana na kufurahisha kwa pamoja kuona mtu anatubu na kuacha jambo la fedheha na aibu ktk jamii. Lakini jambo ambalo nataka nikuulize,kipi kilikufanya ukaingia ktk biashara hii chafu na ya aibu ktk jamii?
 
Kuna wakati inabidi ukweli uwe wazi ili upate amani ya Moyo.

Mimi Nusratt Mohamed, Nimechoka kuwa muuzaji.
Nimechoka na hii kazi,
Nimechoka kuwa dada poa,
Nimechoka kudhalilika kwenye jamii,
Nimechoka kunyooshewa vidole mtaani,
Nimechoka kuingiliwa na kila aina ya dhakari.

Inafikia mahali mpaka nashindwa kukatiza mbele ya kundi la akina mama kwani ni lazima watanisema tu.

Sina raha na nyumba yangu
Sina raha na gari yangu wala biashara yangu.
Nimeamini kuwa kuna umri na wakati ukifika, vyote vya nyuma huwa ni simulizi ila si kwa simulizi yangu.

Siwezi changia mada ambayo ndani yake madadapoa wametajwa kwani mfano utarudi kwangu dhahiri.

Nimejaribu kubadili laini za simu mara kadhaa ila haijasaidia.
Nimejaribu kutulia ndani kwangu ila imeshindikana.

Ushauri wenu nauhitaji mno
Na laiti marehemu mama na pacha wangu wangekuwa hai, sidhani kama leo hii ningekuwa kahaba.
Najuta, Najuta na Najuta mnoooooo!!!!
Mrudie mungu wako, fungal, Dali,tubu, mungu wetu ni msikivu...
 
Tupe kwanza handle yako tupige cha mwishomwisho, Maisha ndo hayahaya mbinguni tutapewa miili mipya.

Hao wanaokunyoshea vidole wanakulisha? Wanakuvisha? Wanakulipia kodi ya pango? Una dhambi kuliko serikali ya CCM?

Relax mwanetu
 
Kwa sis wakirisro kuna hadithi ya mwanamke kahaba aliyeletwa Kwa Yesu ili ahukumiwe. Badala ya kumhukumu alisema na asiye na dhambi awe wa kwanza kumwadhibu. Kitendo cha wewe mwenyeqe kutambua njia uliyofata asi sahihi ni mwanzo wa kuachana na higo tabia, wanaokuhukumu si ajabu wana maovu makubwa kuliko yako.
Nakutakia safari njema kwenye maisha yako mapya uliyochagua
 
Kuna wakati inabidi ukweli uwe wazi ili upate amani ya Moyo.

Mimi Nusratt Mohamed, Nimechoka kuwa muuzaji.
Nimechoka na hii kazi,
Nimechoka kuwa dada poa,
Nimechoka kudhalilika kwenye jamii,
Nimechoka kunyooshewa vidole mtaani,
Nimechoka kuingiliwa na kila aina ya dhakari.

Inafikia mahali mpaka nashindwa kukatiza mbele ya kundi la akina mama kwani ni lazima watanisema tu.

Sina raha na nyumba yangu
Sina raha na gari yangu wala biashara yangu.
Nimeamini kuwa kuna umri na wakati ukifika, vyote vya nyuma huwa ni simulizi ila si kwa simulizi yangu.

Siwezi changia mada ambayo ndani yake madadapoa wametajwa kwani mfano utarudi kwangu dhahiri.

Nimejaribu kubadili laini za simu mara kadhaa ila haijasaidia.
Nimejaribu kutulia ndani kwangu ila imeshindikana.

Ushauri wenu nauhitaji mno
Na laiti marehemu mama na pacha wangu wangekuwa hai, sidhani kama leo hii ningekuwa kahaba.
Najuta, Najuta na Najuta mnoooooo!!!!
Unahitaji mtaalam/mwanasaikolojia...

Usimlaumu mtu yoyote wewe katika hilo wewe kubali mapungufu (changamoto ulionayo) na kama unahitaji kubadili lifestyle basi unachagua mazuri yako uliyonayo unaishonayo

Hakuna cha kujutia hapo kwani ukahaba, ngono na tendo la ndoa yote ni yaleyale na matokeo yake ni yaleyale, tofauti yao kubwa ni terminology tu.

Na asije mtu akakutisha kua unadhambi hivyo kuna jehanamu... Kwakifupi sana hakuna jehanamu wala kuchomwa moto... Matokeo ya unachokifanya hutokea hapa hapa duniani.
 
Kulingana na aina za mada za huyu mtu nilijua tuu Lazima atakuwa anajiuza, ana mada zile kama za huyu mwngn wa kujiita Diana, na Kuna girl mwngn nae ana mada za upuuzi nae ndo hao hao malaya
 
Wewe kuacha sio tatzo wala ila sasa ukute impact za hayo mambo ya kuwa "pros chucha" ndio yanayokutesa...., mfano ukute kushatanuka mpk kila kiingiacho kinapwere pweta sasa kwa style hyo kila ukion lazm uumie but kaza moyo
 
Hakuna mwanamke ambaye hajiuzi wanatifautiana mazingira na kiasi yaan niweke 1000$ hata wewe ulotundika daruga unarejea uwanjani kama iniesta mstaafu alafu akarejea

Kama Hiyo picha kwa DP ni yako kweli nichek DM tuyajenge
 
Kuna wakati inabidi ukweli uwe wazi ili upate amani ya Moyo.

Mimi Nusratt Mohamed, Nimechoka kuwa muuzaji.
Nimechoka na hii kazi,
Nimechoka kuwa dada poa,
Nimechoka kudhalilika kwenye jamii,
Nimechoka kunyooshewa vidole mtaani,
Nimechoka kuingiliwa na kila aina ya dhakari.

Inafikia mahali mpaka nashindwa kukatiza mbele ya kundi la akina mama kwani ni lazima watanisema tu.

Sina raha na nyumba yangu
Sina raha na gari yangu wala biashara yangu.
Nimeamini kuwa kuna umri na wakati ukifika, vyote vya nyuma huwa ni simulizi ila si kwa simulizi yangu.

Siwezi changia mada ambayo ndani yake madadapoa wametajwa kwani mfano utarudi kwangu dhahiri.

Nimejaribu kubadili laini za simu mara kadhaa ila haijasaidia.
Nimejaribu kutulia ndani kwangu ila imeshindikana.

Ushauri wenu nauhitaji mno
Na laiti marehemu mama na pacha wangu wangekuwa hai, sidhani kama leo hii ningekuwa kahaba.
Najuta, Najuta na Najuta mnoooooo!!!!
Achana na maneno ya watu ikiwa umeamua kweli haina haja kujificha Wala kuwaogopa we changamana nao tu muda utaponya Kila kitu
 
Kuna wakati inabidi ukweli uwe wazi ili upate amani ya Moyo.

Mimi Nusratt Mohamed, Nimechoka kuwa muuzaji.
Nimechoka na hii kazi,
Nimechoka kuwa dada poa,
Nimechoka kudhalilika kwenye jamii,
Nimechoka kunyooshewa vidole mtaani,
Nimechoka kuingiliwa na kila aina ya dhakari.

Inafikia mahali mpaka nashindwa kukatiza mbele ya kundi la akina mama kwani ni lazima watanisema tu.

Sina raha na nyumba yangu
Sina raha na gari yangu wala biashara yangu.
Nimeamini kuwa kuna umri na wakati ukifika, vyote vya nyuma huwa ni simulizi ila si kwa simulizi yangu.

Siwezi changia mada ambayo ndani yake madadapoa wametajwa kwani mfano utarudi kwangu dhahiri.

Nimejaribu kubadili laini za simu mara kadhaa ila haijasaidia.
Nimejaribu kutulia ndani kwangu ila imeshindikana.

Ushauri wenu nauhitaji mno
Na laiti marehemu mama na pacha wangu wangekuwa hai, sidhani kama leo hii ningekuwa kahaba.
Najuta, Najuta na Najuta mnoooooo!!!!
Karibu kwa yesu , umpokee awe Bwana na mwokozi WA maisha yako.
 
Picha anayo TUMIA kwenye avatar ni ya yule demu wa panama, si yake.

Kuhusu kujiuza mmh ngumu kuacha tena sana, ukifulia kidogo tu unakumbuka danga na danga alitoi hela kizembe lazima uliwe, ila ukiamua unaweza.

Mi nili achana na mambo ya kwenda night club usiku au kwenye miziki yoyote usiku ALLIHAMDULILLAH, nimeacha rasmi labda badae nirudiko si rahisi.
 
Back
Top Bottom