Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
😀😀😀😀Nicheki DM kama unahitaji kunisaidia

Kuna wakati inabidi ukweli uwe wazi ili upate amani ya Moyo.
Mimi Nusratt Mohamed, Nimechoka kuwa muuzaji.
Nimechoka na hii kazi,
Nimechoka kuwa dada poa,
Nimechoka kudhalilika kwenye jamii,
Nimechoka kunyooshewa vidole mtaani,
Nimechoka kuingiliwa na kila aina ya dhakari.
Inafikia mahali mpaka nashindwa kukatiza mbele ya kundi la akina mama kwani ni lazima watanisema tu.
Sina raha na nyumba yangu
Sina raha na gari yangu wala biashara yangu.
Nimeamini kuwa kuna umri na wakati ukifika, vyote vya nyuma huwa ni simulizi ila si kwa simulizi yangu.
Siwezi changia mada ambayo ndani yake madadapoa wametajwa kwani mfano utarudi kwangu dhahiri.
Nimejaribu kubadili laini za simu mara kadhaa ila haijasaidia.
Nimejaribu kutulia ndani kwangu ila imeshindikana.
Ushauri wenu nauhitaji mno
Na laiti marehemu mama na pacha wangu wangekuwa hai, sidhani kama leo hii ningekuwa kahaba.
Najuta, Najuta na Najuta mnoooooo!!!!
Nicheki DM kama unahitaji kunisaidia.
Nimekupenda ghaflaKuna wakati inabidi ukweli uwe wazi ili upate amani ya Moyo.

Abuju bujuKuna wakati inabidi ukweli uwe wazi ili upate amani ya Moyo.

Ana nyumba, gari, na biashara na bado anauza mwili, hiyo ni roho au tamaa tu ya kupata vikubwa! Akiamua anaweza kuacha na maisha yakaendelea hajaamua tuKama umechoka tafuta kazi nyingine ya kufanya, simple
Ugumu nadhani uko hapo mwisho kabisa pa "nicheki dm" sema nusrati ana kamuandiko ka kibraza sanaSijakuelewa ugumu upo wapi wewe kuanza upya kama kweli umedhamiria.
Pia kaongeza 'kumcheki dm"kwa ushauri zaidi nadhani biashara imekuwa ngumu kidogoHili ni Tangazo la uuzaji wa utamu...JAPO LIMEKAA KIMKAKATI SANA!
Na amespecify kabisa...ana gari,ana nyumba!.. so mnunuzi wa utamu wake ujipange! Hayuko cheap kama wale.
Me mwenyewe nimechoka kupiga kila aina ya nyapu, sasa hivi najitahidi kupunguza, nipo hatua nzuri kufikia lengo, lakini bado nazichapa, last time ilikuwa sunday now inaenda kutimia week. Ni hatua kubwa kwasababu nilikuwa nazichapa karibia 3×3. Now nasali asubuhi na usiku wakati wa kwenda kulala, najidhibiti kwa nguvu kufikia lengo.Kuna wakati inabidi ukweli uwe wazi ili upate amani ya Moyo.
Mimi Nusratt Mohamed, Nimechoka kuwa muuzaji.
Nimechoka na hii kazi,
Nimechoka kuwa dada poa,
Nimechoka kudhalilika kwenye jamii,
Nimechoka kunyooshewa vidole mtaani,
Nimechoka kuingiliwa na kila aina ya dhakari.
Inafikia mahali mpaka nashindwa kukatiza mbele ya kundi la akina mama kwani ni lazima watanisema tu.
Sina raha na nyumba yangu
Sina raha na gari yangu wala biashara yangu.
Nimeamini kuwa kuna umri na wakati ukifika, vyote vya nyuma huwa ni simulizi ila si kwa simulizi yangu.
Siwezi changia mada ambayo ndani yake madadapoa wametajwa kwani mfano utarudi kwangu dhahiri.
Nimejaribu kubadili laini za simu mara kadhaa ila haijasaidia.
Nimejaribu kutulia ndani kwangu ila imeshindikana.
Ushauri wenu nauhitaji mno
Na laiti marehemu mama na pacha wangu wangekuwa hai, sidhani kama leo hii ningekuwa kahaba.
Najuta, Najuta na Najuta mnoooooo!!!!
Nicheki DM kama unahitaji kunisaidia.
Inabidi huyo Mume asiwe wa hapo alipowahi kufanyia mambo yake ya zamani wala asiwe na ukariu nao watu wanaomjua historia yake, vinginevyo atasababishiwa maumivu zaidi na watu wasiopenda kuona akiwa amebadilika na maisha mapya. Kongole kwake kwa kuamua kubadilika.Atafute na mume wa kujenga nae familia😂