Brelim Skoro_
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 15,188
- 37,742
Aliyoyapita au Yaliyopita Yanakomaa kumvuta asiondoke.Sijakuelewa ugumu upo wapi wewe kuanza upya kama kweli umedhamiria.
Aliyoyapita au Yaliyopita Yanakomaa kumvuta asiondoke.Sijakuelewa ugumu upo wapi wewe kuanza upya kama kweli umedhamiria.
Kuna wakati inabidi ukweli uwe wazi ili upate amani ya Moyo.
Mimi Nusratt Mohamed, Nimechoka kuwa muuzaji.
Nimechoka na hii kazi,
Nimechoka kuwa dada poa,
Nimechoka kudhalilika kwenye jamii,
Nimechoka kunyooshewa vidole mtaani,
Nimechoka kuingiliwa na kila aina ya dhakari.
Inafikia mahali mpaka nashindwa kukatiza mbele ya kundi la akina mama kwani ni lazima watanisema tu.
Sina raha na nyumba yangu
Sina raha na gari yangu wala biashara yangu.
Nimeamini kuwa kuna umri na wakati ukifika, vyote vya nyuma huwa ni simulizi ila si kwa simulizi yangu.
Siwezi changia mada ambayo ndani yake madadapoa wametajwa kwani mfano utarudi kwangu dhahiri.
Nimejaribu kubadili laini za simu mara kadhaa ila haijasaidia.
Nimejaribu kutulia ndani kwangu ila imeshindikana.
Ushauri wenu nauhitaji mno
Na laiti marehemu mama na pacha wangu wangekuwa hai, sidhani kama leo hii ningekuwa kahaba.
Najuta, Najuta na Najuta mnoooooo!!!!
Mume tena? 🤔🤔Atafute na mume wa kujenga nae familia😂
Mwingine yupi?Kulingana na aina za mada za huyu mtu nilijua tuu Lazima atakuwa anajiuza, ana mada zile kama za huyu mwngn wa kujiita Diana, na Kuna girl mwngn nae ana mada za upuuzi nae ndo hao hao malaya
Na wewe uliwezaje kuacha kujiuza?Picha anayo TUMIA kwenye avatar ni ya yule demu wa panama, si yake.
Kuhusu kujiuza mmh ngumu kuacha tena sana, ukifulia kidogo tu unakumbuka danga na danga alitoi hela kizembe lazima uliwe, ila ukiamua unaweza.
Mi nili achana na mambo ya kwenda night club usiku au kwenye miziki yoyote usiku ALLIHAMDULILLAH, nimeacha rasmi labda badae nirudiko si rahisi.
Kudanga na kujiuza ni kitu kimoja?Una mtoto??
Una umri gani??
Unaish wapi ??
Imekuaje mpaka majirani zako wanajua unajiuza?? Unadangia mtaani ??
Una danga kwa kiwango kipi ??
Nini kilikufanya ukaingia kwenye kudanga ??
Je mafanikio uliyonayo umepata kupitia udangaji ??
Je uliingia kwenye udangaji kwa stori za mashost zako au ni dhamira ilikufanya udange pengine ukitamani kitu fulani ??
Je pacha na mama yako wangekuwepo una amini wangekulinda kuhusu udangaji??
Je ulianza kujiuza na miaka mingp??
Je jamii imekutenga juu ya tabia yako??
Tuanzie hapo pole sana nuuh
Hiyo Picha ya DP n malaya fulani hv wa South America, anaitwa Gracie Bon ukiingia onlyfans ana x kibao pia Twitter zipo kadhaa Ila akaunti kuu ambayo n yake mwnyw ipo onlyfansHakuna mwanamke ambaye hajiuzi wanatifautiana mazingira na kiasi yaan niweke 1000$ hata wewe ulotundika daruga unarejea uwanjani kama iniesta mstaafu alafu akarejea
Kama Hiyo picha kwa DP ni yako kweli nichek DM tuyajenge
Ulikua unauzia wapi ...Kuna wakati inabidi ukweli uwe wazi ili upate amani ya Moyo.
Mimi Nusratt Mohamed, Nimechoka kuwa muuzaji.
Nimechoka na hii kazi,
Nimechoka kuwa dada poa,
Nimechoka kudhalilika kwenye jamii,
Nimechoka kunyooshewa vidole mtaani,
Nimechoka kuingiliwa na kila aina ya dhakari.
Inafikia mahali mpaka nashindwa kukatiza mbele ya kundi la akina mama kwani ni lazima watanisema tu.
Sina raha na nyumba yangu
Sina raha na gari yangu wala biashara yangu.
Nimeamini kuwa kuna umri na wakati ukifika, vyote vya nyuma huwa ni simulizi ila si kwa simulizi yangu.
Siwezi changia mada ambayo ndani yake madadapoa wametajwa kwani mfano utarudi kwangu dhahiri.
Nimejaribu kubadili laini za simu mara kadhaa ila haijasaidia.
Nimejaribu kutulia ndani kwangu ila imeshindikana.
Ushauri wenu nauhitaji mno
Na laiti marehemu mama na pacha wangu wangekuwa hai, sidhani kama leo hii ningekuwa kahaba.
Najuta, Najuta na Najuta mnoooooo!!!!
No mi ni me, kwenda disco ilikua starehe tu mkuu ku dance nk.Na wewe uliwezaje kuacha kujiuza?
Kwa iyo akina yohane ,wamepiga sanaKwa kuwa umedhamilia utafanikiwa dada yangu
Pole sana hata mtakatifu maria Magdalena alikuwa kahaba baadae akaacha akawa mwanafunzi wa YESU KRISTO
Kwahiyo usife moyo dada yangu mzuri MUNGU MWENYEZI anakupenda sana
Sawa mkuu as for meNo mi ni me, kwenda disco ilikua starehe tu mkuu ku dance nk.
Huyo mwngn n siri yangu, ngoja nimtulize.Mwingine yupi?