Ukweli Humuweka Mtu Huru: Nimechoka Kujiuza, Nimechoka.

Kama hawauzi wakati wa kuondoka kwa nini huwa wanataka hela 😂😂😂
Ndio hapo sasa 😹😹
Ile ni service charge..!!

Hata mimi nadai pesa kwa bwanangu nisiwe muongo..!! Mikopo ya kausha damu hapana 😹😹

Lazima ushuru wa uchakavu atoe..!!
Kuuza ni kuuza tu hata ukipewa pesa ya vocha umeuza.
Unapewaje pesa na mwanaume hata sio ndugu yako 😹😹
 
pole mkuu allah akurehemu kama muislamu nitakufanyia dua takatifu
 
Huy shoo ya mkamiaji kama mm haiwez kabisa. Huyu mzee wa wale wa kimoko chali.
Nusrat akushindwe wewe kwani unamuonaje? 😹😹

Nenda km hujarudi ulimi umetoka nje km soksi 😹😹
 
Kama umekiuza hadi umenunua gari una haki ya kukipumzisha sasa
 
Mtoa mada kuna thread moja alijigamba sanaa zaidi ya sanaa nakumbuka nilicomment ile thread ukanitukana kwa kukwambia ukweli ambao leo hii wewe mwenyewe umeuandika hapa

Anyway UZINZI HAUJAWAHI KUMUACHA MTU SALAMA
 
Kuna usemi kuwa "kazi ni kazi ili mradi mkono uende kinywani" Kuna waliojenga na hiyo kazi. Sehemu za Ulaya wanalipa kodi na kutambuliwa. Tuseme umeona aibu au dhambi? Piga mzigo, nami nitanunua.
 
Pole kwa changamoto za maisha. Binadamu wapo vizuri kwenye kuwahukumu wengine wakijiona wao ni wasafi sana na wasio na dhambi. 😤
 
Angalia tu usije ukapata depression maana nimewahi kupata tetesi hata wale wacheza porn mara nyingi huwa mwishowe hufanya maamuzi magumu ya kutoa roho zao kutokana na majuto,tubu mrudie Mungu atakusamehe na wewe mwenyewe unapaswa kujisamehe na maisha yataendelea...
 
tego hilo!
 
"Hayo yote maisha ,yatakwisha" - Madee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…