Ukweli Humuweka Mtu Huru: Nimechoka Kujiuza, Nimechoka.


Pole Sana. Mtafute Msaikolojia au Kiongozi wako wa dini. Unapitia changamoto ya Depression
 
Nimekupenda ghafla
 
Abuju buju
 
Kama umechoka tafuta kazi nyingine ya kufanya, simple
Ana nyumba, gari, na biashara na bado anauza mwili, hiyo ni roho au tamaa tu ya kupata vikubwa! Akiamua anaweza kuacha na maisha yakaendelea hajaamua tu
 
Hili ni Tangazo la uuzaji wa utamu...JAPO LIMEKAA KIMKAKATI SANA!

Na amespecify kabisa...ana gari,ana nyumba!.. so mnunuzi wa utamu wake ujipange! Hayuko cheap kama wale.
Pia kaongeza 'kumcheki dm"kwa ushauri zaidi nadhani biashara imekuwa ngumu kidogo
 
Me mwenyewe nimechoka kupiga kila aina ya nyapu, sasa hivi najitahidi kupunguza, nipo hatua nzuri kufikia lengo, lakini bado nazichapa, last time ilikuwa sunday now inaenda kutimia week. Ni hatua kubwa kwasababu nilikuwa nazichapa karibia 3Γ—3. Now nasali asubuhi na usiku wakati wa kwenda kulala, najidhibiti kwa nguvu kufikia lengo.

Lakini natamani ningepata wa kutulia nae........ Bado nipo kwenye maombi.

Hata unaweza, "Take your chance, follow the light.
 
Atafute na mume wa kujenga nae familiaπŸ˜‚
Inabidi huyo Mume asiwe wa hapo alipowahi kufanyia mambo yake ya zamani wala asiwe na ukariu nao watu wanaomjua historia yake, vinginevyo atasababishiwa maumivu zaidi na watu wasiopenda kuona akiwa amebadilika na maisha mapya. Kongole kwake kwa kuamua kubadilika.
 
Nichek dm jichanganye,when is too good think twice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…