Ukweli huwa haujifichi - Kilichomleta Filipe Nyusi

Ukweli huwa haujifichi - Kilichomleta Filipe Nyusi

Bila kutumia busara, nchi yetu inaweza kuingizwa kwenye vita isiyotuhusu.
Vita ya hayati Nyerere na hayati Idd Amin viliifilisi nchi kwa zaidi miaka ishirini Sasa. Tusubiri hii ya Nyusi na Meko dhidi ya Al shabaab😫
Kuna vita hapo?siku jwtz wakipewa mandate kuwachukua wale wote utawakuta hapo keko na segerea.
Bado tu uamuzi haujatolewa, ila iko siku batalion moja tu itarudi na hao wote wanaitwa Alshabab.
 
Sitashangaa kama hawa magaidi wanafadhiliwa na France huku Nyusi wameshamuahidi a share of gas revenues endapo eneo hilo la Delgado litachukuliwa na magaidi. I'm just trying to connect the dots. Safari ya Nyusi amekuja ku present the deal, kama Tanzania naye atamsupport.
Namna unavyowaza inaonekana kabisa unachukulia nchi ya Msumbiji kama vile imeanzishwa Jana na Rais wao anahongeka kama Mawaziri wa Tanzania
 
Kumuita hayawani idi amin hayati ni kulikosea adabu neno hili.
Hayati ni marehemu aliyekuwa na heshima ktk jamii
Hayati ni neno la kiarabu, na maana halisi ya neno hilo ni uhai, na wala halimaanishi mtu wa aina yoyote ile aliyetokwa na uhai.
 
Hatuwezi kuwaacha wakue kisa tu hatutakiwi kuingia
Tuingilie, tukae kimya Hawa watatushambulia tu...hamna urafiki na magaidi with time they will expand to tz,
Ni Bora ikawepo joint operation mapema.
Tumeona nakushuhudia Kenya ilivyowapotezea Al shabab Ila mwishowe watalii ndani ya Kenya particularly lamu walioanza kutekwa Jambo ambalo liliilazimu Kenya to send troops to Somalia.

Kama uwezo upo let sadc countries join forces with Mozambique to fight those terrorists.
 
Ila watanzania sijui tuko gizan au nini, eti mtu anasema mziki waliokutana nao Kibiti wakakimbia, yaweza kuwa kweli lakini hawa jamaa kupigana nao yahitajika akili kubwa na hawa jamaa kuwamaliza nadhani kuna haja ya kubadili hata njia za kupigana nao laa sivyo tunaweza kuwa kama Nigeria
Be blessed,
Bila intelligence wa Hali ya juu ni vigumu sana kuwadhibiti Hawa jamaa.
 
Bila kutumia busara, nchi yetu inaweza kuingizwa kwenye vita isiyotuhusu.
Vita ya hayati Nyerere na hayati Idd Amin viliifilisi nchi kwa zaidi miaka ishirini Sasa. Tusubiri hii ya Nyusi na Meko dhidi ya Al shabaab😫
Shida hawa magaidi wanatoka huko kuja kufanya fujo Tanzania na kuua watanzania,
 
Hebu niwape ukweli wa hawa jamaa, Alshababy wa Cabo delgado, kwanza wanatumia Uisilamu kama kivuli, ingawa Wasilamu na misikiti yote wanapingana nao.

Hawa wana maajent au madarali wafanyabiashara ambao hulipwa pesa ndefu kwa ajili ya kuwasambazia maitaji yao, kumbuka wao wanakaa porini lakini vyakula vinatoka mjini.

vilevile wanamaajent wakuwatafutia vijana wapiganaji, kila kichwa kinapewa million3.

wanaotumika ni wafanyabiashara wakubwa huwarubuni vijana kama wanawapeleka site kwenye ujenzi wa mabarabara, kijana akishaonyeshwa milion 3 hawezi kuchomoka.

Kwa hiyo nawaombea watanzania msiseme sijui jeshi letu linanguvu, huwezi kushindana na nguvu ya pesa. Wanachokifanya sasa hivi selikali ni kukamata mtandao wa wafanyabiashara na kuwauwa
 
Mimi nadhani tujikite kulinda mipaka yetu, lakin vijana wetu wasijiingize Msumbiji, ni hatari! Tusirudie kosa litakalogharimu uchumi wetu na maisha ya vijana wetu watakaopelekwa msitari wa mbele. Jeshi letu lilitumika kuzikomboa nchi za kusini, imetosha, sasa tujenge nchi yetu ila tuhakikishe hakuna mkorofi anavuka kuja kutusumbua! Naamini Msumbiji wanaweza kupambana na hao magaidi.
 
Wasituingize mkenge tukaanza kupoteza ndugu zetu. Hatujasahau Kenya alivyoingizwa mkenge dhidi ya alshababu. Sasa hivi hakukaliki.
 
Kumuita hayawani idi amin hayati ni kulikosea adabu neno hili.
Hayati ni marehemu aliyekuwa na heshima ktk jamii
Shida unaongozwa na mahaba hta Nyerere mnamuita hayati ila ukisoma syllabus ya Kenya na Uganda watu wanafundishwa kuwa alikua dikteta na kila.za (Sera ya ujamaa) then mbona hawajawazuia kumuiya hayati.

Kwa taarifa yako tu Idd Amin ndio aliyefufua uchumi na Jeshi la UG na mpaka leo hakuna aliyeweza kuufikisha uchumi wa UG kma ule wa viwanda enzi za Amin.

So kumuita hayati au dikteta ni kutokana na upande uliosimama.
 
hawa watu weupe ni kuwa nao makini wanaweza kuwa wanaongeza a managable risk ili wawe na leverage kwenye huo mradi wa gas
Leverage ya nini wakati tayari wanachimba? Sioni haja ya beberu kutumia magaidi ilihali bado anachimba na mikataba ya kinyonyaji.

Hata SADC wakipeleka jeshi ndio wao wataishia kuiba sasa rejea majeshi ya zimbabwe na Angola kule DRC!!

Ni vile tu ngozi nyeusi kila lawama ni kwa mzungu
 
Sitashangaa kama hawa magaidi wanafadhiliwa na France huku Nyusi wameshamuahidi a share of gas revenues endapo eneo hilo la Delgado litachukuliwa na magaidi. I'm just trying to connect the dots. Safari ya Nyusi amekuja ku present the deal, kama Tanzania naye atamsupport.
Kivipi Total watumie magaidi kuchimba ilihali tayari wamehodhi eneo hilo kwa mikataba halali.

Labda nkukumbushe tu hao Total wamewahi tumika na majeshi ya Afrika yaliyojiita ya ukombozi ili kuchimba rasilimali huko DRC bila mkono wa beberu.

So tusipende kila lawama kutupia wazungu ilihali hata watu weusi tunafanya kitu kile kile. Majeshi ya kenya somalia yamepora sana, same to majeshi ya Chad huko CAR!! So same B.S ila kwa kuwa sio ''mabeberu'' basi hoja inapotezewa
 
Hilo neno jekundu hapo chini lilikuwepo tangu awali au umetunga wewe ?
 
Credit: Mozambique, Tanzania hold talks on security amid LNG delay worries - News for the Oil and Gas Sector (energyvoice.com)

Mozambique and Tanzania have held high-level talks on a number of issues, including terrorism in Cabo Delgado, as Total pushes for more security. The French company reduced staffing at its Mozambique LNG site early in January as the insurgency reached the gates of the project.

Mozambique President Filipe Nyusi flew into Tanzania on January 11 for talks with President John Magufuli.

Talks appear to have been positive. Nyusi said there were divisions within the Islamist insurgents in Mozambique’s north, suggesting that it was led by foreigners. He appeared to offer an amnesty to those fighters who re-joined society. However, this offer was not open to the leaders.

Previously, the Mozambique government has been resistant to outside support in tackling the Cabo Delgado problems but there are some signs this is changing. Magufuli welcomed Nyusi to his home town of Chato. The two countries are “brothers”, he said, and the two sides are determined to co-operate. The Southern African Development Community (SADC) are expected to hold further talks on the Mozambique insurgency this month.

Delays and disruption​

Africa Monitor reported last week that France’s external security intelligence agency DGSE had opened an office Maputo. This comes amid increasing frustration from Total around continued insecurity in Cabo Delgado. The report named three issues for the French company: a failure to uphold security guarantees from the October deal, a lack of political solutions and a lack of military intervention.

Analysis from IHS Markit said there was a “very low” chance of an effective response to the insurgency in 2021. The consultancy said the scope was actually likely to expand, into Niassa and southern Tanzania. IHS Markit went on to predict that Mozambique LNG would be delayed by “at least a year”. Further disruption and delays are “looking more and more likely”.

The insurgents have only limited capability as yet, IHS Markit’s Eva Renon and Langelihle Malimela said. Corruption, defections and competition between the police, the army and private contractors have helped. “Insurgents’ lack of rapid boats, IEDs and long-range rockets, precludes any attack on the LNG offshore facilities, aircrafts, and commercial maritime cargo but their significant revenues make it likely that, if left unhindered, they will progressively acquire this technology from the second half of 2021,” the consultancy report concluded.

Credit: Gas-Rich Mozambique, Tanzania Rally to End Insurgency (msn.com)

Tanzania is a shining star of the region.
WAZUNGU BWANA WNAJUWA KUTUCHEZEA AKILI WAAFRIKA.
Kila panapogunuliwa mafuta au gesi katika afrika, basi huletwa sikomoko la Ugaidi linalohusishwa na Waislamu ili kuwawin wananchi waunge mkono unyonyaji wa wazungu.
Wazungu watakuja kwa Kikiza kulinda usalama , na wataleta vikosi vyao na manuari zao na wataanzisha Millitary base kartika nchi zetu ili wawepo kwa muda mrefusana.
Huku wakituibia rasilimali yetu ,na wakisingizia wanapambana na ugaidi.
Wengi wetu tunaaminishwa Alshabab wa somalia kuwa ni Magaidi,ilhali ni kundi la Kimarekani lililo undwa kuhalalosha uwepo wa vita ,huku Somalia ikisafirisha Madini fulani kwa kiwango cha kutisha.
nadhani Uranium.
Zinduka Afrika
 
Ila watanzania sijui tuko gizan au nini, eti mtu anasema mziki waliokutana nao Kibiti wakakimbia, yaweza kuwa kweli lakini hawa jamaa kupigana nao yahitajika akili kubwa na hawa jamaa kuwamaliza nadhani kuna haja ya kubadili hata njia za kupigana nao laa sivyo tunaweza kuwa kama Nigeria
Hao waliokuwa Kibiti hawakuwa magaidi.

Ni raia tu wa kawaida waliokuwa wamechoka dhulma na target yao ilijuwa kulipa visasi. Tanzania haina uwezo wala uzoefu wa kupambana na ugaidi.

Ndio maana sasa hivi suluhisho wanaona ni kutojihusisha kabisa na mapambano ili magaidi wasikasirike.

Hatuna majeshi somalia ( Kenya na Uganda walipeleka ), leo Mtwara kumevamiwa lakini bado tunajifanya hao magaidi hawatuhusu.
 
Back
Top Bottom