Hebu niwape ukweli wa hawa jamaa, Alshababy wa Cabo delgado, kwanza wanatumia Uisilamu kama kivuli, ingawa Wasilamu na misikiti yote wanapingana nao.
Hawa wana maajent au madarali wafanyabiashara ambao hulipwa pesa ndefu kwa ajili ya kuwasambazia maitaji yao, kumbuka wao wanakaa porini lakini vyakula vinatoka mjini.
vilevile wanamaajent wakuwatafutia vijana wapiganaji, kila kichwa kinapewa million3.
wanaotumika ni wafanyabiashara wakubwa huwarubuni vijana kama wanawapeleka site kwenye ujenzi wa mabarabara, kijana akishaonyeshwa milion 3 hawezi kuchomoka.
Kwa hiyo nawaombea watanzania msiseme sijui jeshi letu linanguvu, huwezi kushindana na nguvu ya pesa. Wanachokifanya sasa hivi selikali ni kukamata mtandao wa wafanyabiashara na kuwauwa