Ukweli huwa haujifichi - Kilichomleta Filipe Nyusi

Ukweli huwa haujifichi - Kilichomleta Filipe Nyusi

France, Italy na nchi nyingine za Europe walishausishwa kutumia pesa katika negotiations na magaidi kuachia raia wao au meli.
Britain, Germany and USA are still maintaining, “no negotiation with terrorist”.

Wanachofanya hapo ni kuwasumbua mpaka Total wawalipe chini ya kapeti. Wameyataka wenyewe. Ingekuwa ni kampuni ya USA wangepewa kipigo badala ya fedha na hao magaidi wanajua!!

The price of freedom: Did Italy pay a €12m ransom for the release of aid workers in Syria?​

[\QUOTE]​

​

[\QUOTE-]
 
Wapinzani wa nchi hii huwa hamueleweki kile mnachokisimamia.

Hawa magaidi walianzia kibiti na kuanza kuua askari na raia wetu.

Serikali ikasimama kidete na kuwafurusha bila mzaha

Leo tunapoandika humu...mojawapo ya vielelezo ambavyo vimepelekwa na CHADEMA huko the Hague ICC ni kutoka hapo kibiti kwamba serikali ilikiuka haki za binadamu.

Eti wapinzani makini duh![emoji116]
View attachment 1676080
Walikuwa wanaua wanaume wa CCM pekee yake
 
Eti eeh? Vp ADF-NALU ilikuwaje wakawaweka JWTZ mtu kati na kuwapa kipigo cha mbwa mwizi?? All out attack kwenye kambi yao kabisa!!

Unazungumziaje interception ya kule Darfur hadi tukapoteza askari zaidi ya 10?

Never underestimate your opponent no matter how small he seems.
We unaongea nini,hapo ADF-NALU walishachapwa sana tu ndo wakatuotea hiyo kuvizia.
Hujui hata wangapi ADF waliondoka ila ni wengi hao wetu 10×10
 
Hao waliokuwa Kibiti hawakuwa magaidi.

Ni raia tu wa kawaida waliokuwa wamechoka dhulma na target yao ilijuwa kulipa visasi. Tanzania haina uwezo wala uzoefu wa kupambana na ugaidi.

Ndio maana sasa hivi suluhisho wanaona ni kutojihusisha kabisa na mapambano ili magaidi wasikasirike.

Hatuna majeshi somalia ( Kenya na Uganda walipeleka ), leo Mtwara kumevamiwa lakini bado tunajifanya hao magaidi hawatuhusu.
Aliyekudanganya hakuna kilichofanyika wala kinachofanyika kuwahusu hao magaidi huko Mtwara ni nani?
 
Aliyekudanganya hakuna kilichofanyika wala kinachofanyika kuwahusu hao magaidi huko Mtwara ni nani?
Mkuu mimi nina ABC kuhusu Kibiti.

Wakati hao wanaoitwa magaidi wamepamba moto mimi nilikikuwa naenda huko,nilikuwa nina shamba la mihogo. Lakini pia nina mshikaji wangu ni askari alipelekwa huko. Mambo yanayotangazwa ni stori tofauti kabisa
 
Mkuu mimi nina ABC kuhusu Kibiti.

Wakati hao wanaoitwa magaidi wamepamba moto mimi nilikikuwa naenda huko,nilikuwa nina shamba la mihogo. Lakini pia nina mshikaji wangu ni askari alipelekwa huko. Mambo yanayotangazwa ni stori tofauti kabisa
Mimi naongelea ya Mtwara wewe unaleta habari za Kibiti duuuh...

Alafu pia Gaidi ni nani?? Hivi unayo habari ni hao walivyozidiwa ndio wengine wakatorokea Msumbiji?
 
Mimi naongelea ya Mtwara wewe unaleta habari za Kibiti duuuh...

Alafu pia Gaidi ni nani?? Hivi unayo habari ni hao walivyozidiwa ndio wengine wakatorokea Msumbiji?
Wewe takataka nimegundua ni mpumbavu.
 
Hakuna ubaya sisi na SADC countries ni ndugu moja, kama unavyo fahamu aliongea kiswahili kizuri tu. If you follow my comments, I said this before ''Mozambique has taken a long time to realize that It cannot leave in isolation.''
Mnaongea mambo msiyoyajua. Hadi Leo naandika hapa kuna wapiganaji wetu walipoteza maisha huko msumbiji wakati wa Nyerere. Hadi leo familia za hazijapata fidia yeyote. Miili yao imerudishwa na kuzikwa pale Mtwara.
Ama kuhusu hii vita ya kigaidi mbinu zake zimebadirika sana. Wewe unapowafuata huko kwao waliko, wao wanakufuata nyumbani. Wakati wewe unapeleka wanajeshi na siraha wao wanatuma watu na mabomu kariakoo. Mlimani City, n.k.

Kwa muda huu na hasa kwa utawala huu na watanzania waluvyogawika kwangu mimi siyo wakati sahihi wa kulishilikisha jeshi letu kwenye vita za ndani ya nchi jirani, Kuna uwezekano mkubwa sana ,.baadhi ya watanzania waliojawa na chuki kutokana na.manyanyaso wanayofanyiwa na serikali hii wakajiunga kwa namna moja ama nyingine, kutoa msaada wa kimbinu, siri na kushiriki mikakati ya kufanikisha mashambulizi ndani ya nchi yetu.
Narudia tena, siyo wakati sahihi.
Tujenge umoja wa kitaifa ili Tanzania iwe moja kabla ya kuingia huko
 
We unaongea nini,hapo ADF-NALU walishachapwa sana tu ndo wakatuotea hiyo kuvizia.
Hujui hata wangapi ADF waliondoka ila ni wengi hao wetu 10×10
Ww umesema JWTZ wakienda capo delgado wanateka magaidi ndio nakuuliza mbona ADF bado wapo na on top of that walitutandika. Huoni ume overrate nguvu zetu?
 
Sasa nani kakwambia Jeshi letu linakwenda kupigana Mozambique? Vita za siku hizi sio lazima upeleke jeshi unaweza kuwasaidia kwa logistics tu.

BTW Tanzania sio moja ziko ngapi?[/COLOR][/B]
 
Back
Top Bottom