Kumuamini mwafrika ndio kuwa na akiliTotal ndio sababu ya hiyo vita huko... Kuruhusu Ufaransa kufungua ofisi ya kijasusi ni kujinywesha sumu.. Kumuamini mfaransa na mzungu ni kupungukiwa na akili
Kuna vita hapo?siku jwtz wakipewa mandate kuwachukua wale wote utawakuta hapo keko na segerea.Bila kutumia busara, nchi yetu inaweza kuingizwa kwenye vita isiyotuhusu.
Vita ya hayati Nyerere na hayati Idd Amin viliifilisi nchi kwa zaidi miaka ishirini Sasa. Tusubiri hii ya Nyusi na Meko dhidi ya Al shabaab😫
Namna unavyowaza inaonekana kabisa unachukulia nchi ya Msumbiji kama vile imeanzishwa Jana na Rais wao anahongeka kama Mawaziri wa TanzaniaSitashangaa kama hawa magaidi wanafadhiliwa na France huku Nyusi wameshamuahidi a share of gas revenues endapo eneo hilo la Delgado litachukuliwa na magaidi. I'm just trying to connect the dots. Safari ya Nyusi amekuja ku present the deal, kama Tanzania naye atamsupport.
Where do they "leave" to; is there a place called "isolation"?''Mozambique has taken a long time to realize that It cannot leave in isolation.''
Hayati ni neno la kiarabu, na maana halisi ya neno hilo ni uhai, na wala halimaanishi mtu wa aina yoyote ile aliyetokwa na uhai.Kumuita hayawani idi amin hayati ni kulikosea adabu neno hili.
Hayati ni marehemu aliyekuwa na heshima ktk jamii
Tuingilie, tukae kimya Hawa watatushambulia tu...hamna urafiki na magaidi with time they will expand to tz,Hatuwezi kuwaacha wakue kisa tu hatutakiwi kuingia
Be blessed,Ila watanzania sijui tuko gizan au nini, eti mtu anasema mziki waliokutana nao Kibiti wakakimbia, yaweza kuwa kweli lakini hawa jamaa kupigana nao yahitajika akili kubwa na hawa jamaa kuwamaliza nadhani kuna haja ya kubadili hata njia za kupigana nao laa sivyo tunaweza kuwa kama Nigeria
Shida hawa magaidi wanatoka huko kuja kufanya fujo Tanzania na kuua watanzania,Bila kutumia busara, nchi yetu inaweza kuingizwa kwenye vita isiyotuhusu.
Vita ya hayati Nyerere na hayati Idd Amin viliifilisi nchi kwa zaidi miaka ishirini Sasa. Tusubiri hii ya Nyusi na Meko dhidi ya Al shabaab😫
Shida unaongozwa na mahaba hta Nyerere mnamuita hayati ila ukisoma syllabus ya Kenya na Uganda watu wanafundishwa kuwa alikua dikteta na kila.za (Sera ya ujamaa) then mbona hawajawazuia kumuiya hayati.Kumuita hayawani idi amin hayati ni kulikosea adabu neno hili.
Hayati ni marehemu aliyekuwa na heshima ktk jamii
Leverage ya nini wakati tayari wanachimba? Sioni haja ya beberu kutumia magaidi ilihali bado anachimba na mikataba ya kinyonyaji.hawa watu weupe ni kuwa nao makini wanaweza kuwa wanaongeza a managable risk ili wawe na leverage kwenye huo mradi wa gas
Kivipi Total watumie magaidi kuchimba ilihali tayari wamehodhi eneo hilo kwa mikataba halali.Sitashangaa kama hawa magaidi wanafadhiliwa na France huku Nyusi wameshamuahidi a share of gas revenues endapo eneo hilo la Delgado litachukuliwa na magaidi. I'm just trying to connect the dots. Safari ya Nyusi amekuja ku present the deal, kama Tanzania naye atamsupport.
WAZUNGU BWANA WNAJUWA KUTUCHEZEA AKILI WAAFRIKA.Credit: Mozambique, Tanzania hold talks on security amid LNG delay worries - News for the Oil and Gas Sector (energyvoice.com)
Mozambique and Tanzania have held high-level talks on a number of issues, including terrorism in Cabo Delgado, as Total pushes for more security. The French company reduced staffing at its Mozambique LNG site early in January as the insurgency reached the gates of the project.
Mozambique President Filipe Nyusi flew into Tanzania on January 11 for talks with President John Magufuli.
Talks appear to have been positive. Nyusi said there were divisions within the Islamist insurgents in Mozambique’s north, suggesting that it was led by foreigners. He appeared to offer an amnesty to those fighters who re-joined society. However, this offer was not open to the leaders.
Previously, the Mozambique government has been resistant to outside support in tackling the Cabo Delgado problems but there are some signs this is changing. Magufuli welcomed Nyusi to his home town of Chato. The two countries are “brothers”, he said, and the two sides are determined to co-operate. The Southern African Development Community (SADC) are expected to hold further talks on the Mozambique insurgency this month.
Delays and disruption
Africa Monitor reported last week that France’s external security intelligence agency DGSE had opened an office Maputo. This comes amid increasing frustration from Total around continued insecurity in Cabo Delgado. The report named three issues for the French company: a failure to uphold security guarantees from the October deal, a lack of political solutions and a lack of military intervention.
Analysis from IHS Markit said there was a “very low” chance of an effective response to the insurgency in 2021. The consultancy said the scope was actually likely to expand, into Niassa and southern Tanzania. IHS Markit went on to predict that Mozambique LNG would be delayed by “at least a year”. Further disruption and delays are “looking more and more likely”.
The insurgents have only limited capability as yet, IHS Markit’s Eva Renon and Langelihle Malimela said. Corruption, defections and competition between the police, the army and private contractors have helped. “Insurgents’ lack of rapid boats, IEDs and long-range rockets, precludes any attack on the LNG offshore facilities, aircrafts, and commercial maritime cargo but their significant revenues make it likely that, if left unhindered, they will progressively acquire this technology from the second half of 2021,” the consultancy report concluded.
Credit: Gas-Rich Mozambique, Tanzania Rally to End Insurgency (msn.com)
Tanzania is a shining star of the region.
Hao waliokuwa Kibiti hawakuwa magaidi.Ila watanzania sijui tuko gizan au nini, eti mtu anasema mziki waliokutana nao Kibiti wakakimbia, yaweza kuwa kweli lakini hawa jamaa kupigana nao yahitajika akili kubwa na hawa jamaa kuwamaliza nadhani kuna haja ya kubadili hata njia za kupigana nao laa sivyo tunaweza kuwa kama Nigeria