Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,559
Wanaoshika silaha ni waafrika au wazungu?WAZUNGU BWANA WNAJUWA KUTUCHEZEA AKILI WAAFRIKA.
Kila panapogunuliwa mafuta au gesi katika afrika, basi huletwa sikomoko la Ugaidi linalohusishwa na Waislamu ili kuwawin wananchi waunge mkono unyonyaji wa wazungu.
Wazungu watakuja kwa Kikiza kulinda usalama , na wataleta vikosi vyao na manuari zao na wataanzisha Millitary base kartika nchi zetu ili wawepo kwa muda mrefusana.
Huku wakituibia rasilimali yetu ,na wakisingizia wanapambana na ugaidi.
Wengi wetu tunaaminishwa Alshabab wa somalia kuwa ni Magaidi,ilhali ni kundi la Kimarekani lililo undwa kuhalalosha uwepo wa vita ,huku Somalia ikisafirisha Madini fulani kwa kiwango cha kutisha.
nadhani Uranium.
Zinduka Afrika
Nadharia ya kuwatupia lawama wazungu juu ya kushindwa kwetu kwenye uchumi,siasa,nk iliasisiwa na watawala wa kiafrica kwa kuwatumia waandishi wajamaa Kama kina Walter Rodney,na wajamaa wengine kwa lengo kuu la kuwahadaa watu na kuficha udhaifu wao wa kushindwa kuwaletea waafrika maendeleo baada ya Uhuru walioupigania kwa mbwembwe kwamba wangeweza fanya makubwa zaidi ya mkoloni.Ndo wakaja na nadharia ya mabeberu wengi wao ni waliosoma syllabus za zamani ambazo ziliwafunga na uelewa wa jumla kuhusu duniaKivipi Total watumie magaidi kuchimba ilihali tayari wamehodhi eneo hilo kwa mikataba halali.
Labda nkukumbushe tu hao Total wamewahi tumika na majeshi ya Afrika yaliyojiita ya ukombozi ili kuchimba rasilimali huko DRC bila mkono wa beberu.
So tusipende kila lawama kutupia wazungu ilihali hata watu weusi tunafanya kitu kile kile. Majeshi ya kenya somalia yamepora sana, same to majeshi ya Chad huko CAR!! So same B.S ila kwa kuwa sio ''mabeberu'' basi hoja inapotezewa
Unatumia maqalio kufikiri?Kuna vita hapo?siku jwtz wakipewa mandate kuwachukua wale wote utawakuta hapo keko na segerea.
Bado tu uamuzi haujatolewa, ila iko siku batalion moja tu itarudi na hao wote wanaitwa Alshabab.
Wanaoshika silaha ni waafrika au wazungu?
hiyo dalili ya uwoga na wao wanajua kuwa kuna wanaowaza kama wewe ,Kama ni kweli kwanza tufikirie sana kabla ya kutoa uamuzi. Tuchukue mfano kama Kenya wanavyowasaidia Somalia sasa wale maadui wamewageukia wakenya na kuwauwa kwa mitindo ya kuvizia na hii imewapa hasara kubwa watu wa Kenya. Kusaidia ni sawa lakini tuone pia madhara yanayoweza kutokea kwa Tanzania.
Ya babaakoUnatumia maqalio kufikiri?
Mbona sielewi, kama Total au Exxon Mobil imepata mikataba kihalali ya kuvuna madini yaani kivipi tena watumie magaidi?WAZUNGU BWANA WNAJUWA KUTUCHEZEA AKILI WAAFRIKA.
Kila panapogunuliwa mafuta au gesi katika afrika, basi huletwa sikomoko la Ugaidi linalohusishwa na Waislamu ili kuwawin wananchi waunge mkono unyonyaji wa wazungu.
Wazungu watakuja kwa Kikiza kulinda usalama , na wataleta vikosi vyao na manuari zao na wataanzisha Millitary base kartika nchi zetu ili wawepo kwa muda mrefusana.
Huku wakituibia rasilimali yetu ,na wakisingizia wanapambana na ugaidi.
Wengi wetu tunaaminishwa Alshabab wa somalia kuwa ni Magaidi,ilhali ni kundi la Kimarekani lililo undwa kuhalalosha uwepo wa vita ,huku Somalia ikisafirisha Madini fulani kwa kiwango cha kutisha.
nadhani Uranium.
Zinduka Afrika
Eti eeh? Vp ADF-NALU ilikuwaje wakawaweka JWTZ mtu kati na kuwapa kipigo cha mbwa mwizi?? All out attack kwenye kambi yao kabisa!!Kuna vita hapo?siku jwtz wakipewa mandate kuwachukua wale wote utawakuta hapo keko na segerea.
Bado tu uamuzi haujatolewa, ila iko siku batalion moja tu itarudi na hao wote wanaitwa Alshabab.
Saidia kutoa taarifa kama unao ushahidi ili hawa watu washughulikiwe.Hebu niwape ukweli wa hawa jamaa, Alshababy wa Cabo delgado, kwanza wanatumia Uisilamu kama kivuli, ingawa Wasilamu na misikiti yote wanapingana nao.
Hawa wana maajent au madarali wafanyabiashara ambao hulipwa pesa ndefu kwa ajili ya kuwasambazia maitaji yao, kumbuka wao wanakaa porini lakini vyakula vinatoka mjini.
vilevile wanamaajent wakuwatafutia vijana wapiganaji, kila kichwa kinapewa million3.
wanaotumika ni wafanyabiashara wakubwa huwarubuni vijana kama wanawapeleka site kwenye ujenzi wa mabarabara, kijana akishaonyeshwa milion 3 hawezi kuchomoka.
Kwa hiyo nawaombea watanzania msiseme sijui jeshi letu linanguvu, huwezi kushindana na nguvu ya pesa. Wanachokifanya sasa hivi selikali ni kukamata mtandao wa wafanyabiashara na kuwauwa
Definition ya vita inasemaje? Je, JPM amesema anakwenda vitani?Bila kutumia busara, nchi yetu inaweza kuingizwa kwenye vita isiyotuhusu.
Vita ya hayati Nyerere na hayati Idd Amin viliifilisi nchi kwa zaidi miaka ishirini Sasa. Tusubiri hii ya Nyusi na Meko dhidi ya Al shabaab😫
Nigeria kuwa vile mambo yalianzia jeshini sias jeshini na Promotion zisizofata Ethics za Kijeshi matokeo yake jeshi likajaa Ma generals ambao hawana uzoefu na incompetent, Output yake ndio hio sasaIla watanzania sijui tuko gizan au nini, eti mtu anasema mziki waliokutana nao Kibiti wakakimbia, yaweza kuwa kweli lakini hawa jamaa kupigana nao yahitajika akili kubwa na hawa jamaa kuwamaliza nadhani kuna haja ya kubadili hata njia za kupigana nao laa sivyo tunaweza kuwa kama Nigeria
Kama Kenya na alshabaabBila kutumia busara, nchi yetu inaweza kuingizwa kwenye vita isiyotuhusu.
Vita ya hayati Nyerere na hayati Idd Amin viliifilisi nchi kwa zaidi miaka ishirini Sasa. Tusubiri hii ya Nyusi na Meko dhidi ya Al shabaab[emoji31]
Walimuingiza Tundu choo cha kike akajiona amekuwa chifu, ha ha ha.
Kwa hiyo France wanafadhili hao magaidi kuhujumu kampuni ya Ufaransa?! Tuwe serious kidogo!Sitashangaa kama hawa magaidi wanafadhiliwa na France huku Nyusi wameshamuahidi a share of gas revenues endapo eneo hilo la Delgado litachukuliwa na magaidi. I'm just trying to connect the dots. Safari ya Nyusi amekuja ku present the deal, kama Tanzania naye atamsupport.
Ofisi ipi ya kijasusi wamefungua?Total ndio sababu ya hiyo vita huko. Kuruhusu Ufaransa kufungua ofisi ya kijasusi ni kujinywesha sumu. Kumuamini Mfaransa na Mzungu ni kupungukiwa na akili.