The price of freedom: Did Italy pay a €12m ransom for the release of aid workers in Syria?
[\QUOTE]
[\QUOTE-]The price of freedom: Did Italy pay a €12m ransom for the release of
Two young aid workers held hostage in Syria have been released, but suspicion is growing that the Italian government broke international convention and paid the kidnappers a €12m ransomwww.independent.co.uk
Walikuwa wanaua wanaume wa CCM pekee yakeWapinzani wa nchi hii huwa hamueleweki kile mnachokisimamia.
Hawa magaidi walianzia kibiti na kuanza kuua askari na raia wetu.
Serikali ikasimama kidete na kuwafurusha bila mzaha
Leo tunapoandika humu...mojawapo ya vielelezo ambavyo vimepelekwa na CHADEMA huko the Hague ICC ni kutoka hapo kibiti kwamba serikali ilikiuka haki za binadamu.
Eti wapinzani makini duh![emoji116]
View attachment 1676080
Wewe wala siyo mkaruka wa kweli, wakaruka huwa hatuongeagi hivyo!Muziki gani?
Aiseeeee, hii nchi ina wapuuzi sana.
We unaongea nini,hapo ADF-NALU walishachapwa sana tu ndo wakatuotea hiyo kuvizia.Eti eeh? Vp ADF-NALU ilikuwaje wakawaweka JWTZ mtu kati na kuwapa kipigo cha mbwa mwizi?? All out attack kwenye kambi yao kabisa!!
Unazungumziaje interception ya kule Darfur hadi tukapoteza askari zaidi ya 10?
Never underestimate your opponent no matter how small he seems.
Kwa hiyo na wewe umejiona unajua wakati huna lolote mkichwa.Where do they "leave" to; is there a place called "isolation"?
Aliyekudanganya hakuna kilichofanyika wala kinachofanyika kuwahusu hao magaidi huko Mtwara ni nani?Hao waliokuwa Kibiti hawakuwa magaidi.
Ni raia tu wa kawaida waliokuwa wamechoka dhulma na target yao ilijuwa kulipa visasi. Tanzania haina uwezo wala uzoefu wa kupambana na ugaidi.
Ndio maana sasa hivi suluhisho wanaona ni kutojihusisha kabisa na mapambano ili magaidi wasikasirike.
Hatuna majeshi somalia ( Kenya na Uganda walipeleka ), leo Mtwara kumevamiwa lakini bado tunajifanya hao magaidi hawatuhusu.
Mkuu mimi nina ABC kuhusu Kibiti.Aliyekudanganya hakuna kilichofanyika wala kinachofanyika kuwahusu hao magaidi huko Mtwara ni nani?
Mimi naongelea ya Mtwara wewe unaleta habari za Kibiti duuuh...Mkuu mimi nina ABC kuhusu Kibiti.
Wakati hao wanaoitwa magaidi wamepamba moto mimi nilikikuwa naenda huko,nilikuwa nina shamba la mihogo. Lakini pia nina mshikaji wangu ni askari alipelekwa huko. Mambo yanayotangazwa ni stori tofauti kabisa
Wewe takataka nimegundua ni mpumbavu.Mimi naongelea ya Mtwara wewe unaleta habari za Kibiti duuuh...
Alafu pia Gaidi ni nani?? Hivi unayo habari ni hao walivyozidiwa ndio wengine wakatorokea Msumbiji?
Maswali yamekuwa magumu sana, umejaa wali mdomoni..Wewe takataka nimegundua ni mpumbavu.
Mnaongea mambo msiyoyajua. Hadi Leo naandika hapa kuna wapiganaji wetu walipoteza maisha huko msumbiji wakati wa Nyerere. Hadi leo familia za hazijapata fidia yeyote. Miili yao imerudishwa na kuzikwa pale Mtwara.Hakuna ubaya sisi na SADC countries ni ndugu moja, kama unavyo fahamu aliongea kiswahili kizuri tu. If you follow my comments, I said this before ''Mozambique has taken a long time to realize that It cannot leave in isolation.''
Ww umesema JWTZ wakienda capo delgado wanateka magaidi ndio nakuuliza mbona ADF bado wapo na on top of that walitutandika. Huoni ume overrate nguvu zetu?We unaongea nini,hapo ADF-NALU walishachapwa sana tu ndo wakatuotea hiyo kuvizia.
Hujui hata wangapi ADF waliondoka ila ni wengi hao wetu 10×10