Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,007
- 2,451
Sio Urusi zipo nchi zaidi ya hizo zilizopeleka vyombo mwezini, labda tu hufuatilii, pitia hiyo link usome kuhusu luna 10.ndo kwanza nasikia kutoka kwako kuwa kuna nchi nyingine tofauti na America iliyosema wametuma chombo kwenye mwenzi ambayo ni URUSI.
Mr hivi unaelewa nini maana ya satellite? mi nielevyo satellite, hasa artificial satellite "In the context of spaceflight, a satellite is an artificial object which has been intentionally placed into orbit. Such objects are sometimes called artificial satellites to distinguish them from natural satellites such as Earth's Moon."Huu ni mstari wako """"USSR ndo walikuwa wa kwanza kurusha satellite mwezini"""" HIVI UNADHANI UKO KWENYE MWENZI ZINAENDA SATELLITE??? .
Mr, ni marekani tu ndiyo ambayo inadai ilipeleka watu mwezini yaani manned mission to moon na hiyo ilikuwa ni apollo mission, lakini kutuma vyombo mwezini zipo nchi ambazo zimeshafanya na hii chini ni list ya spacecraft pamoja na nchi ambayo imefanya mission za huko mwezini.Naomba ufanye uchunguzi wa kina alafu utuambia kuwa hayo mataifa unayoyasema yameenda mwenzin akiwemo USA wameenda Mara ngapi uko. Kwa kifupi ni URUSI hawajawahi kwenda mwenzin na hakuna taifa lingine zaidi ya America anayesema kuwa mwenzin kaenda.
Sio Urusi zipo nchi zaidi ya hizo zilizopeleka vyombo mwezini, labda tu hufuatilii, pitia hiyo link usome kuhusu luna 10.
Luna 10 - Wikipedia, the free encyclopedia
Mr hivi unaelewa nini maana ya satellite? mi nielevyo satellite, hasa artificial satellite "In the context of spaceflight, a satellite is an artificial object which has been intentionally placed into orbit. Such objects are sometimes called artificial satellites to distinguish them from natural satellites such as Earth's Moon."
source:Satellite - Wikipedia, the free encyclopedia kwa hiyo huko mwezini zipo satellites nyingi tu zinazunguka mwezi kwa ajili ya tafiti.
Category:Artificial satellites orbiting the Moon - Wikipedia, the free encyclopedia
Mr, ni marekani tu ndiyo ambayo inadai ilipeleka watu mwezini yaani manned mission to moon na hiyo ilikuwa ni apollo mission, lakini kutuma vyombo mwezini zipo nchi ambazo zimeshafanya na hii chini ni list ya spacecraft pamoja na nchi ambayo imefanya mission za huko mwezini.
List of lunar probes - Wikipedia, the free encyclopedia
Hopefully anaongelea conspiracy theory.Do you question about NASA? au siujui huu uvumu unaoongelea. Apollo ni ya wapi hivi?
Sio kweliUmesahau kuna chombo kimetumwa sayari ya pluto ambacho kimetumia miaka kumi kufika na kilisafiri umbali wa kilomita billion tano?
Vladimir Markin, a spokesman for the Russian government's Investigative Committee, says he wants an inquiry after the video from 1969 and a piece of lunar rock, which was brought back to earth, went missing.Walifika mwezini , hilo halina ubishi
Budget cuts walizopata nasakwa nini baada ya apolo hakijaenda chombo kingine?
Duuuu!!!!Wamarekani walikwenda mwezini,walitua mara mbili tatu. Halafu baada ya the Battle of the Harvest Moon,walipokua wanaugombania Mwezi,Warusi wakashinda. Sasa hivi Warusi wanazo base Mwezini,wanao watu kule. Wamarekani hawaruhusiwi kwenda kule. Sikiliza audio lettet no. 26 ya Dr.David Peter Beter kuhusu Vita ya Mwezi Mpevu.