Ukweli juu ya NASA kutuma chombo mwezini

Wamarekani walikwenda mwezini,walitua mara mbili tatu. Halafu baada ya the Battle of the Harvest Moon,walipokua wanaugombania Mwezi,Warusi wakashinda. Sasa hivi Warusi wanazo base Mwezini,wanao watu kule. Wamarekani hawaruhusiwi kwenda kule. Sikiliza audio lettet no. 26 ya Dr.David Peter Beter kuhusu Vita ya Mwezi Mpevu.
 
ndo kwanza nasikia kutoka kwako kuwa kuna nchi nyingine tofauti na America iliyosema wametuma chombo kwenye mwenzi ambayo ni URUSI.
Sio Urusi zipo nchi zaidi ya hizo zilizopeleka vyombo mwezini, labda tu hufuatilii, pitia hiyo link usome kuhusu luna 10.
Luna 10 - Wikipedia, the free encyclopedia

Huu ni mstari wako """"USSR ndo walikuwa wa kwanza kurusha satellite mwezini"""" HIVI UNADHANI UKO KWENYE MWENZI ZINAENDA SATELLITE??? .
Mr hivi unaelewa nini maana ya satellite? mi nielevyo satellite, hasa artificial satellite "In the context of spaceflight, a satellite is an artificial object which has been intentionally placed into orbit. Such objects are sometimes called artificial satellites to distinguish them from natural satellites such as Earth's Moon."
source:Satellite - Wikipedia, the free encyclopedia kwa hiyo huko mwezini zipo satellites nyingi tu zinazunguka mwezi kwa ajili ya tafiti.
Category:Artificial satellites orbiting the Moon - Wikipedia, the free encyclopedia

Naomba ufanye uchunguzi wa kina alafu utuambia kuwa hayo mataifa unayoyasema yameenda mwenzin akiwemo USA wameenda Mara ngapi uko. Kwa kifupi ni URUSI hawajawahi kwenda mwenzin na hakuna taifa lingine zaidi ya America anayesema kuwa mwenzin kaenda.
Mr, ni marekani tu ndiyo ambayo inadai ilipeleka watu mwezini yaani manned mission to moon na hiyo ilikuwa ni apollo mission, lakini kutuma vyombo mwezini zipo nchi ambazo zimeshafanya na hii chini ni list ya spacecraft pamoja na nchi ambayo imefanya mission za huko mwezini.
List of lunar probes - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Mi nilidhani mambo ya imani tu ndiyo yana utata kumbe sivyo,wengine humu wanaona hatuna hata hadhi ya kuwapinga marekani katika masuala haya.
 
Sio Urusi zipo nchi zaidi ya hizo zilizopeleka vyombo mwezini, labda tu hufuatilii, pitia hiyo link usome kuhusu luna 10.
Luna 10 - Wikipedia, the free encyclopedia

Mr hivi unaelewa nini maana ya satellite? mi nielevyo satellite, hasa artificial satellite "In the context of spaceflight, a satellite is an artificial object which has been intentionally placed into orbit. Such objects are sometimes called artificial satellites to distinguish them from natural satellites such as Earth's Moon."
source:Satellite - Wikipedia, the free encyclopedia kwa hiyo huko mwezini zipo satellites nyingi tu zinazunguka mwezi kwa ajili ya tafiti.
Category:Artificial satellites orbiting the Moon - Wikipedia, the free encyclopedia

Mr, ni marekani tu ndiyo ambayo inadai ilipeleka watu mwezini yaani manned mission to moon na hiyo ilikuwa ni apollo mission, lakini kutuma vyombo mwezini zipo nchi ambazo zimeshafanya na hii chini ni list ya spacecraft pamoja na nchi ambayo imefanya mission za huko mwezini.
List of lunar probes - Wikipedia, the free encyclopedia

Achana nae, unabishana na mtu asiyejua kuwa hajui. Hoja zake zinaonyesha si mfuatiliaji wa mambo ya space.
 
Walifika mwezini , hilo halina ubishi
Vladimir Markin, a spokesman for the Russian government's Investigative Committee, says he wants an inquiry after the video from 1969 and a piece of lunar rock, which was brought back to earth, went missing.
In an opinion piece in the Russian newspaper Izvestia, Mr Markin says that such an inquiry is vital to reveal new insights into the historical space journey.
 
Chombo inawezekana kabisa ila ni ngumu kupeleka mtu mana kufika ni easy ili kurudi ni mtiti sana sanaaa
 
Wamarekani walikwenda mwezini,walitua mara mbili tatu. Halafu baada ya the Battle of the Harvest Moon,walipokua wanaugombania Mwezi,Warusi wakashinda. Sasa hivi Warusi wanazo base Mwezini,wanao watu kule. Wamarekani hawaruhusiwi kwenda kule. Sikiliza audio lettet no. 26 ya Dr.David Peter Beter kuhusu Vita ya Mwezi Mpevu.
Duuuu!!!!
 
Back
Top Bottom