Sio Urusi zipo nchi zaidi ya hizo zilizopeleka vyombo mwezini, labda tu hufuatilii, pitia hiyo link usome kuhusu luna 10.
Luna 10 - Wikipedia, the free encyclopedia
Mr hivi unaelewa nini maana ya satellite? mi nielevyo satellite, hasa artificial satellite "In the context of spaceflight, a
satellite is an artificial object which has been intentionally placed into orbit. Such objects are sometimes called artificial
satellites to distinguish them from natural
satellites such as Earth's Moon."
source:
Satellite - Wikipedia, the free encyclopedia kwa hiyo huko mwezini zipo satellites nyingi tu zinazunguka mwezi kwa ajili ya tafiti.
Category:Artificial satellites orbiting the Moon - Wikipedia, the free encyclopedia
Mr, ni marekani tu ndiyo ambayo inadai ilipeleka watu mwezini yaani manned mission to moon na hiyo ilikuwa ni apollo mission, lakini kutuma vyombo mwezini zipo nchi ambazo zimeshafanya na hii chini ni list ya spacecraft pamoja na nchi ambayo imefanya mission za huko mwezini.
List of lunar probes - Wikipedia, the free encyclopedia