Uko sahihi kabisa. Mlango gani ulikuwa nje ya maji? Maana kama mlango ulikuwa ndani ya maji, then unaubomoaje wakati maji yanakandamiza mlango inwards towards the plane na unaufunguaje?NB: Sitaki kubeza jitihada za Majaliwa bali kama binadamu mwenye akili timamu lazima nievaluate ninayoambiwa.
Mlango wa dharura ulikuwa nje ya maji, Ni ule ulio mkiani. Ina maana hili tukio lote hukuona picha Wala video?Uko sahihi kabisa. Mlango gani ulikuwa nje ya maji? Maana kama mlango ulikuwa ndani ya maji, then unaubomoaje wakati maji yanakandamiza mlango inwards towards the plane na unaufunguaje?
Secondly, ukiufungua na uko ndani ya maji, maji yatajaa ndani INSTANTLY na kuwaua wote after some few seconds of being submerged
Tusiwe matutusa kukubali story za majaliwa! We are not all fools
Kabla maji hayajaingia ndani,presha inakuwa kubwa nje,kutokana nap mgandamizo wa maji,maji baada ya kuingia, presha ya ndani na nje inakuwa Sawa,hapo kuuvunja inakuwa rahisi,kingine Cha kufahamu hii Ndege sio kwamba ilikuwa imepaki,then unavunja mlango!!,inawezekana mlango ulikuwa umeishapata damage kutokana na impact kubwa baada ya Ndege kujibamiza kwenye maji,Nimeona wahanga wengi wakisema walifinguliwa na wasaidizi. Hilo likapelekea niweze kuhusu uwezekano wa kasia kuvunja mlango. Kumbuka mlango unafungwa kutoka nje. Hivyo resistance ni kubwa kama unagongwa kwa nje.
NB: Sitaki kubeza jitihada za Majaliwa bali kama binadamu mwenye akili timamu lazima nievaluate ninayoambiwa.
Ndege ilidumbukia Kwa Kutanguliza kichwa, maana yake mkia ulikuwa juu, na maana yake mlango wa nyuma ulikuwa juu pia na ndio maana ikawa rAisi ktoka bila maji kuingia..Ila maji Kwa sehemu kubwa yaliingia Kwa kupitia mbeleUko sahihi kabisa. Mlango gani ulikuwa nje ya maji? Maana kama mlango ulikuwa ndani ya maji, then unaubomoaje wakati maji yanakandamiza mlango inwards towards the plane na unaufunguaje?
Secondly, ukiufungua na uko ndani ya maji, maji yatajaa ndani INSTANTLY na kuwaua wote after some few seconds of being submerged
Tusiwe matutusa kukubali story za majaliwa! We are not all fools
Ni katika harakati za kushusha LIGASI ya MajaliwaKinachonifurahisha mleta uzi na wanaocomments umu wengi hakuna ata mmoja aliyekuwa eneo la tukio wala muathirika wa tukio lile..akili mgando hizi
Fanya analysis zoooooteeeeeeeee lakini mwisho wa siku wale waliokolewa wakiwa HAI, main character ni Majaliwa..!!Nimeona wahanga wengi wakisema walifinguliwa na wasaidizi. Hilo likapelekea niweze kuhusu uwezekano wa kasia kuvunja mlango. Kumbuka mlango unafungwa kutoka nje. Hivyo resistance ni kubwa kama unagongwa kwa nje.
NB: Sitaki kubeza jitihada za Majaliwa bali kama binadamu mwenye akili timamu lazima nievaluate ninayoambiwa.
Ok then! uko sahihi kama ni hivyo..kama kuna milango miwili! Nakubaliana na weweNdege ilidumbukia Kwa Kutanguliza kichwa, maana yake mkia ulikuwa juu, na maana yake mlango wa nyuma ulikuwa juu pia na ndio maana ikawa rAisi ktoka bila maji kuingia..Ila maji Kwa sehemu kubwa yaliingia Kwa kupitia mbele
Mbona wavivu sana kufikiri nyie... Mbona hata kwenye picha ilionesha sehemu ya nyuma ikiwa haijazama na sehemu ya mbele ikiwa imezama? Ulimsikia yule abiria alokua amekaa siti ya mwisho kabisa kwenye ndege alichosema? Na alisisitiza kabisa mhudumu alihangaika sana kufungua mlango na akasema badae mlango ulifunguka ila hana uhakika kama ni mhudumu ndo alifungua au nini kilitokea ukafunguka. Na majaliwa mwenyewe alisema baada ya kusaidia mlango kufunguka ndio akahamia mbele kwa rubani...hii maanake ni kuwa mlango alosaidia kufungua majaliwa ulikua nyuma na wote tunajua sehemu ya nyuma ilikua bado haijazama kwenye maji.Uko sahihi kabisa. Mlango gani ulikuwa nje ya maji? Maana kama mlango ulikuwa ndani ya maji, then unaubomoaje wakati maji yanakandamiza mlango inwards towards the plane na unaufunguaje?
Secondly, ukiufungua na uko ndani ya maji, maji yatajaa ndani INSTANTLY na kuwaua wote after some few seconds of being submerged
Tusiwe matutusa kukubali story za majaliwa! We are not all fools
Mmeshaanza uchawiNimeona wahanga wengi wakisema walifinguliwa na wasaidizi. Hilo likapelekea niweze kuhusu uwezekano wa kasia kuvunja mlango. Kumbuka mlango unafungwa kutoka nje. Hivyo resistance ni kubwa kama unagongwa kwa nje.
NB: Sitaki kubeza jitihada za Majaliwa bali kama binadamu mwenye akili timamu lazima nievaluate ninayoambiwa.
Wewe ndiye una akili mgando, lazima kuhoji mambo. Usimsikilize majaliwa ukawa contented kuwa anasema ukweli, never. Mwenye akili ataibua maswali! Embe likitoka kwenye mti likaanguka chini , mwenye akili atajiuliza kwanini limekuja chini na halikwenda juu? Huyu ana akili kuliko anayesema Mungu kaumba hivyo!Kinachonifurahisha mleta uzi na wanaocomments umu wengi hakuna ata mmoja aliyekuwa eneo la tukio wala muathirika wa tukio lile..akili mgando hizi
Uchwara ni wewe usiyehoji mambo. Siwezi kumsikiliza majaliwa bila kuhoji kama nina maswali ya kuhoji. Unategemea majaliwa asemme ukweli? kwanini umuamini? Kama kuna sehemu ya kuhoji lazima uhoji..Nyie wachambuzi uchwara hamuwezi hata kuconnect dots afu mnajifanya makachero
Ina mana kuwa ata waliookolewa wanapinga jitihada za majaliwa kiufupi hawataki kukubaliana na ukweli dogo nimemsikiliza anavolielezea tukio tangu ndege inazama maelezo yake yamenyooka SanaFanya analysis zoooooteeeeeeeee lakini mwisho wa siku wale waliokolewa wakiwa HAI, main character ni Majaliwa..!!
Unaweza ukasema kwa maandishi hutaki kubeza jitihada za Majaliwa, lakini maandishi hayo hayo yanakizana na unachokisema kwamba hutaki kubeza jitihada za Majaliwa
hakuna anyepinga, tunahoji ambo tunaona kuna utata!wanapinga jitihada
Kumbe ulikua hujui chochote..Ok then! uko sahihi kama ni hivyo..kama kuna milango miwili! Nakubaliana na wewe
Sikiliza. Kuna matukio yametokea karne nyingi zilizopita na binadamu wameweza kujua kilichotokea. Walikuwepo? Walikuwa wahanga? Hoja yako ni mfu. Zaidi na busara ungesema tusubiri uchunguzi ufanyike (kumbuka wachunguzi hawakuwepo) ili tupate majibu. Vinginevyo ''umu'' = humu, ''ata'' = hata.Kinachonifurahisha mleta uzi na wanaocomments umu wengi hakuna ata mmoja aliyekuwa eneo la tukio wala muathirika wa tukio lile..akili mgando hizi
Kwanini asiweze kudanganya? Is hew immune to telling some lies to make the story favorable to him? Acha ututusa, hoji jambo kama kuna kitu unaona hakiko sawa/hukielewi vema..... unless you are furnished with enough information.. Wewe utakuwa praise and worship team member!Acheni ujuaji mwingi huo ni ugonjwa ku hate jambo bila sababu kwaiyo unataka kutuambia Majaliwa kadanganya
Nimeona wahanga wengi wakisema walifinguliwa na wasaidizi. Hilo likapelekea niweze kuhusu uwezekano wa kasia kuvunja mlango. Kumbuka mlango unafungwa kutoka nje. Hivyo resistance ni kubwa kama unagongwa kwa nje.
NB: Sitaki kubeza jitihada za Majaliwa bali kama binadamu mwenye akili timamu lazima nievaluate ninayoambiwa.