Manyema
JF-Expert Member
- Sep 2, 2010
- 683
- 1,801
Hata mm nimeliona hilo, sijui atafaidika na nn. Anatamani angekuwa yeye MajaliwaNi katika harakati za kushusha LIGASI ya Majaliwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mm nimeliona hilo, sijui atafaidika na nn. Anatamani angekuwa yeye MajaliwaNi katika harakati za kushusha LIGASI ya Majaliwa
Ujana niliouacha some 30 yrs back! Nyinyi vijana matutusa/madodoki mnameza bila kuhoji. Kuna maswali mengi ya kuhoji!kijana mwenzio majaliwa
Ujana niliouacha some 30 yrs back! Nyinyi vijana matutusa/madodoki mnameza bila kuhoji. Kuna maswali mengi ya kuhoji!
sikiliza wenye akili
Then nilitegemea uwe ni kizazi cha kuhoji! Umeisikiliza clip hiyo? It makes a lot of sense!Angalia kwanza jf nimejiunga lini..kisha rudi tena u comment
Depal banaTatizo nyota...
Kiupelelezi kuna uwezekanao mkubwa wa Majaliwa kutia chumvi maana story inambenefit directly. Survivor ana uwezekano mdogo wa kudanganya maana it doesn't benefit him in anyway. Thus presumption favours that victim.Kwanini asiweze kudanganya? Is hew immune to telling some lies to make the story favorable to him? Acha ututusa, hoji jambo kama kuna kitu unaona hakiko sawa/hukielewi vema..... unless you are furnished with enough information.. Wewe utakuwa praise and worship team member!
Ujajibu swali langu.Emergency door huwa ni kwaajili ya kufungulia waliomo ndani ya chombo endapo wamepata ajali na hivyo unawezakuufunguliwa na aliyepo nje au na aliyepo ndani kwa kuvuta strip(mkanda) au by smashing (kugonga)
Low IQ at a lead, why not an inquiry mind? You must be a University Kata graduate I guess! Curiosity, curiosity! Is this also a hater? Listen!Damn haters at it again..go ahead feed your ego
Low IQ at a lead, why not an inquiry mind? You must be a University Kata graduate I guess! Curiosity, curiosity! Is this also a hater? Listen!
Kamajaliwa ka mchongoKumbe kichwa kili tangulia kuzama ndugu majaliwa akaongea na ruban, hapo hapo aka kimbilia nyuma kubomoa mlango hapo hapo akawa ame fika mtu mwenye radio call ala mwambia usi vunje kioo cha ruban [emoji81][emoji81][emoji81]superman in Tanzania
Uko SAHIHI kabisaNimeona wahanga wengi wakisema walifunguliwa na wasaidizi, Hilo likapelekea niweze kuhusu uwezekano wa kasia kuvunja mlango. Kumbuka mlango unafungwa kutoka nje. Hivyo resistance ni kubwa kama unagongwa kwa nje.
NB: Sitaki kubeza jitihada za Majaliwa bali kama binadamu mwenye akili timamu lazima nievaluate ninayoambiwa.