macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Wanakushambulia bure. Kuhoji siyo dhambi wala siyo lazima kuwa unapinga. Kizazi hiki kilichopata elimu kwa kukariri ni shida kubwa. Wanadhani kuhoji ni usaliti. Wamezoea kukaririshwa!Uchwara ni wewe usiyehoji mambo. Siwezi kumsikiliza majaliwa bila kuhoji kama nina maswali ya kuhoji. Unategemea majaliwa asemme ukweli? kwanini umuamini? Kama kuna sehemu ya kuhoji lazima uhoji..