macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Wanakushambulia bure. Kuhoji siyo dhambi wala siyo lazima kuwa unapinga. Kizazi hiki kilichopata elimu kwa kukariri ni shida kubwa. Wanadhani kuhoji ni usaliti. Wamezoea kukaririshwa!Uchwara ni wewe usiyehoji mambo. Siwezi kumsikiliza majaliwa bila kuhoji kama nina maswali ya kuhoji. Unategemea majaliwa asemme ukweli? kwanini umuamini? Kama kuna sehemu ya kuhoji lazima uhoji..
Sasa umeshaenda kuwahoji waliokuwepo eneo la tukio au mnaleta pumba tu umu kwa wasiokuwepoWewe ndiye una akili mgando, lazima kuhoji mambo. Usimsikilize majaliwa ukawa contented kuwa anasema ukweli, never. Mwenye akili ataibua maswali! Embe likitoka kwenye mti likaanguka chini , mwenye akili atajiuliza kwanini limekuja chini na halikwenda juu? Huyu ana akili kuliko anayesema Mungu kaumba hivyo!
najua most of the JF members ni hao wa shule za kata/failures (ingawa siyo zote), you do not expect any curiosity from such guys!,......Wanakushambulia bure. Kuhoji siyo dhambi wala siyo lazima kuwa unapinga. Kizazi hiki kilichopata elimu kwa kukariri ni shida kubwa. Wanadhani kuhoji ni usaliti. Wamezoea kukaririshwa!
Ona akili yakoilivyo fubaa. Kuhoji si lazima umuhoji mtu aliyekuwa kwenye tukio. Kuna scenario unaziona zinatia mashaka! Unatafuta clarification by asking questions!Sasa umeshaenda kuwahoji waliokuwepo eneo la tukio au mnaleta pumba tu umu kwa wasiokuwepo
Thanks a lot! umemjibu vema kabisa! unaona the type of people, we are making arguments with! eti hatukuwepo... Mtu akisema nilizama ndani ya maji saa nzima. Utauliza ulikuwa na vifaa vya oxygen supply? akisema hapana, utamhoji zaid maana jibu lake linaleta maswali zaidi!Sikiliza. Kuna matukio yametokea karne nyingi zilizopita na binanadamu wameweza kujua kilichotokea. Walikuwepo? Walikuwa wahanga? Hoja yako ni mfu. Zaidi na busara ungesema tusubiri uchunguzi ufanyike (kumbuka wachunguzi hawakuwepo) ili tupate majibu. Vinginevyo ''umu'' = humu, ''ata'' = hata.
Mbona ni jambo ambalo linaelezeka hata kitaalam kumbuka ile ndege imetoka juu gravitational ni kubwa sio kwasababu imetua kweny maji ukategemea hakutokua na demage bado kishindo kilikua kikubwa na milango ya emergence sidhani kama ina lock nzito sana so ni rahis kulegea iyo inapelekea urahis kuivunjaKwanini asiweze kudanganya? Is hew immune to telling some lies to make the story favorable to him? Acha ututusa, hoji jambo kama kuna kitu unaona hakiko sawa/hukielewi vema..... unless you are furnished with enough information.. Wewe utakuwa praise and worship team member!
Wote waliokolewa hakuna anayesema mlango ulibomolewa kwa nje. Mmoja leo kasema alivyojitahidi kufungua mlango bila mafaniko. Wadada wahudumu ndo walijua pa kugusa na mlango ukafungukaUmehoji wahanga wangapi mkuu..?
Ndo shule walizotujengewa baba zenu tuliowachagua uku kodi zetu mkisomeshwa shule nzuri [emoji16]najua most of the JF members ni hao wa shule za kata/failures (ingawa siyo zote), you do not expect any curiosity from such guys!,......
Bora upo open mindedMbona ni jambo ambalo linaelezeka hata kitaalam kumbuka ile ndege imetoka juu gravitational ni kubwa sio kwasababu imetua kweny maji ukategemea hakutokua na demage bado kishindo kilikua kikubwa na milango ya emergence sidhani kama ina lock nzito sana so ni rahis kulegea iyo inapelekea urahis kuivunja
Hicho kitu cha kawaida kujiuliza unavoanza kuchambua
Jambo lingine kwamba dogo anapofanya izo jitihada alikua akionekana na watu wengine hata kama hakufanikisha yeye ilo zoezi ila alionesha uthubutu anastahili pongezi kuwepo mazingira yale tu ni risk kwasababu kuna watu walikaa mbali lazima waliohofia ndege kulipuka
Jambo lingine nikuulize ukigundua kadanganya so what?
Product ya banking model ya elimu. Who nikumeza tu kinacholetwa mbele yao na kukitapika siku ya mtihani. They never analyse anything. Sasa sikia eti tuna wivu na Mahalia. Akili gani hizi. Fallacy ni kuamini Kila alichokisema bila kufanya utafiti zaidi simply kisa tunalinda his legacy.Thanks a lot! umemjibu vema kabisa! unaona the type of people, we are making arguments with! eti hatukuwepo... Mtu akisema nilizama ndani ya maji saa nzima. Utauliza ulikuwa na vifaa vya oxygen supply? akisema hapana, utamhoji zaid maana jibu lake linaleta maswali zaidi!
Product ya banking model ya elimu. Who nikumeza tu kinacholetwa mbele yao na kukitapika siku ya mtihani. They never analyse anything. Sasa sikia eti tuna wivu na Mahalia. Akili gani hizi. Fallacy ni kuamini Kila alichokisema bila kufanya utafiti zaidiThanks a lot! umemjibu vema kabisa! unaona the type of people, we are making arguments with! eti hatukuwepo... Mtu akisema nilizama ndani ya maji saa nzima. Utauliza ulikuwa na vifaa vya oxygen supply? akisema hapana, utamhoji zaid maana jibu lake linaleta maswali zaidi!
Ile ndege ina milango 3,mlango mkubwa uko mbele karibu na rubani upande wa kushotoMbona wavivu sana kufikiri nyie... Mbona hata kwenye picha ilionesha sehemu ya nyuma ikiwa haijazama na sehemu ya mbele ikiwa imezama? Ulimsikia yule abiria alokua amekaa siti ya mwisho kabisa kwenye ndege alichosema? Na alisisitiza kabisa mhudumu alihangaika sana kufungua mlango na akasema badae mlango ulifunguka ila hana uhakika kama ni mhudumu ndo alifungua au nini kilitokea ukafunguka. Na majaliwa mwenyewe alisema baada ya kusaidia mlango kufunguka ndio akahamia mbele kwa rubani...hii maanake ni kuwa mlango alosaidia kufungua majaliwa ulikua nyuma na wote tunajua sehemu ya nyuma ilikua bado haijazama kwenye maji.
Nyie wachambuzi uchwara hamuwezi hata kuconnect dots afu mnajifanya makachero
Milango ya emergence ya ndege ya ATR iko upande wa mbele kulia na kushoto na ndiko ambako kulikuwa ndani ya maji,ile milango inafunguka kwa ndani,milango mingine inayotumiwa ni ya abiria ambayo iko nyuma kulia na kushoto,sasa mlango aliotumia Majaliwa kuvunja ni wa kulia upande wa nyuma na hii milango huwezi kufungua kwa nje wala kwa ndani bali rubani ndio mwenye uwezo wa ku unlock na mlango ukafunguka,angalia hii picha inaweza kusaidiaMlango wa dharura ulikuwa nje ya maji, Ni ule ulio mkiani. Ina maana hili tukio lote hukuona picha Wala video?
Majitu majinga sana. Kwenye ndege milango ya dharula ipo zaidi ya minne kutokana na maeneo mengi. Wadada na rubani walilegeza huyu akamaliziaMlango wa dharura ulikuwa nje ya maji, Ni ule ulio mkiani. Ina maana hili tukio lote hukuona picha Wala video?
Kinachonifurahisha mleta uzi na wanaocomments umu wengi hakuna ata mmoja aliyekuwa eneo la tukio wala muathirika wa tukio lile..akili mgando hi
Being a hater isnt easy it is full time job...go ahead haters squadWanakushambulia bure. Kuhoji siyo dhambi wala siyo lazima kuwa unapinga. Kizazi hiki kilichopata elimu kwa kukariri ni shida kubwa. Wanadhani kuhoji ni usaliti. Wamezoea kukaririshwa!
Damn haters at it again..go ahead feed your egoUko sahihi kabisa. Mlango gani ulikuwa nje ya maji? Maana kama mlango ulikuwa ndani ya maji, then unaubomoaje wakati maji yanakandamiza mlango inwards towards the plane na unaufunguaje?
Secondly, ukiufungua na uko ndani ya maji, maji yatajaa ndani INSTANTLY na kuwaua wote after some few seconds of being submerged
Tusiwe matutusa kukubali story za majaliwa! We are not all fools
Kuna ndege zina milango hadi minne. Mlango mkuu, mlango wa dharura wa cockpit na miwili ya dharura ya cabin. Hiyo precision ilikua na mitatu kama sikoseiOk then! uko sahihi kama ni hivyo..kama kuna milango miwili! Nakubaliana na wewe
Your head can't sustain simple argument like this? So that you turn to attack for assistance? What a waste.Being a hater isnt easy it is full time job...go ahead haters squad
Emergency door huwa ni kwaajili ya kufungulia waliomo ndani ya chombo endapo wamepata ajali na hivyo unawezakuufunguliwa na aliyepo nje au na aliyepo ndani kwa kuvuta strip(mkanda) au by smashing (kugonga)Mlango uliofunguliwa ni mlango wa kawaida ama wa dharura?
Na kama ni mlango wa dharura ambapo wengi wamesema huo mlango unafungukia ndani ama nje?
Ukipata majibu ni mlango upi na unafungukia ndani ama nje ndio utajua ukweli ama uongo wa Majaliwa.