Ukweli kuhusu aliyefungua mlango wa ndege ya Precision Air iliyopata ajali mjini Bukoba

Majaliwa achana na story za wanaokupondea,kabla hujenda Kagera njoo Dar nikuelekeze pa kukutana ili ubadilishe upepo kidogo,mi najuwa sehemu nyingi sana nzuri huku utaenjoy sana ndugu yangu...
 
Kiupelelezi kuna uwezekanao mkubwa wa Majaliwa kutia chumvi maana story inambenefit directly. Survivor ana uwezekano mdogo wa kudanganya maana it doesn't benefit him in anyway. Thus presumption favours that victim.
 
Hivi kwamfano ikigundulika majaliwa ni muongo....watamnyanganya hela na kumfukuza hiyo kazi?
 
Emergency door huwa ni kwaajili ya kufungulia waliomo ndani ya chombo endapo wamepata ajali na hivyo unawezakuufunguliwa na aliyepo nje au na aliyepo ndani kwa kuvuta strip(mkanda) au by smashing (kugonga)
Ujajibu swali langu.

Ebu rudia kusoma nilichoandika.
 
Kumbe kichwa kili tangulia kuzama ndugu majaliwa akaongea na ruban, hapo hapo aka kimbilia nyuma kubomoa mlango hapo hapo akawa ame fika mtu mwenye radio call ala mwambia usi vunje kioo cha ruban [emoji81][emoji81][emoji81]superman in Tanzania
 
Damn haters at it again..go ahead feed your ego
Low IQ at a lead, why not an inquiry mind? You must be a University Kata graduate I guess! Curiosity, curiosity! Is this also a hater? Listen!

Low IQ at a lead, why not an inquiry mind? You must be a University Kata graduate I guess! Curiosity, curiosity! Is this also a hater? Listen!

He is your kind of breed too...cant let a youngman enjoy the limelight
 
Kumbe kichwa kili tangulia kuzama ndugu majaliwa akaongea na ruban, hapo hapo aka kimbilia nyuma kubomoa mlango hapo hapo akawa ame fika mtu mwenye radio call ala mwambia usi vunje kioo cha ruban [emoji81][emoji81][emoji81]superman in Tanzania
Kamajaliwa ka mchongo
 
Awe amedanganya au asiwe amedangaya kuhusu mlango, the fact that amesaidia kuokoa maisha ya watu he deserves some credit....wabongo tuna wivu sana na hatupendani aisee, crisis kama hii ingetokea mbele usingesikia wenzetu wanamquestion mtu aliekua front kwenye uokoaji, ila bongo sasa.
 
Uko SAHIHI kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…