Ukweli kuhusu biashara ya Forex

Hujaelewa kwa kuwa ni hujui kusoma between lines...amempa jibu hilo kwa kuwa ameona anamghasi kutaka kujua vitu visivyomhusu
Aaahhh!
Niludhani hizo dolare ndio zikamletea family majanga doh!
 
Alichoandika mtoa mada si kipya humu. Wenyewe husema forex is not for everyone...well, I knew I was the everyone and it spared me a disappointment...
 
Nimekusoma Mkuu
 
Hujaelewa kwa kuwa ni hujui kusoma between lines...amempa jibu hilo kwa kuwa ameona anamghasi kutaka kujua vitu visivyomhusu

Yaani mtu yuko concerned na amount mpaka sijaelewa!
 
Ahaa okey, mimi huwa naheshimu mawazo ya watu siku zote ila maamuzi huwa naangalia utashi wangu mwenyewe
uzi wangu enzi hizo napinga forex ulikuwa unasisitiza kweli lazima ufanye
 
Mtu kapoteza dola 10 anatokwa na povu , angepoteza dola 1000 si angekuwa kuzimu sasa hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…