Avriel
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 4,950
- 5,378
Aaahhh!Hujaelewa kwa kuwa ni hujui kusoma between lines...amempa jibu hilo kwa kuwa ameona anamghasi kutaka kujua vitu visivyomhusu
Niludhani hizo dolare ndio zikamletea family majanga doh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaahhh!Hujaelewa kwa kuwa ni hujui kusoma between lines...amempa jibu hilo kwa kuwa ameona anamghasi kutaka kujua vitu visivyomhusu
Nimekusoma MkuuJibu ni ndio na hapana.
Ndio natoa mafunzo iwapo tu
- Una ABCs za forex, Kwa ufupi uwe umesoma na kumaliza hii content hapa: Learn Forex Trading at School of Pipsology - BabyPips.com
- Uwe tayari kufungua real account , Sio demo account.
- Uwe na PC; sababu tutatumia ZOOM &TEAM VIEWER kufanikisha mafunzo, bila ya wewe kuhitaji kusafiri kuja mahala nilipo.
- Uwe tayari kunilipa kiasi cha US $150 sawa na TZS 360,000
Hapana Sitoi mafunzo iwapo
- Hauna PC na hujui kutumia PC
Intake kwa 2019 ni kuanzia Tarehe 7, Muda wiki mbili za kujifunza kile ninachotaka mimi ujifunze ili uweze ku_trade kwa kujitegemea, Pia utapewa mwezi mmoja wa unagalizi kuhakikisha unaweza kutumia setup yangu nitakayokupatia kufanya trading.
View attachment 975879
View attachment 975880
Kwa kufanya booking nitumie sms kwenye hiyo namba (image ya pili)
Hujaelewa kwa kuwa ni hujui kusoma between lines...amempa jibu hilo kwa kuwa ameona anamghasi kutaka kujua vitu visivyomhusu
uzi wangu enzi hizo napinga forex ulikuwa unasisitiza kweli lazima ufanye
Lakini amesema anaweza kukurudishia hahaYaani mtu yuko concerned na amount mpaka sijaelewa!
Lakini amesema anaweza kukurudishia haha
Mmh nikikumbuka Sina hamu
Hii kitu iliyumbisha mpaka mahusiano yangu na familia
Daah na wewe umeamini kweli kapoteza dola 10?Mtu kapoteza dola 10 anatokwa na povu , angepoteza dola 1000 si angekuwa kuzimu sasa hivi
SijaaminiDaah na wewe umeamini kweli kapoteza dola 10?
Daah na wewe umeamini kweli kapoteza dola 10?
anataka kujua tuYaani mtu yuko concerned na amount mpaka sijaelewa!
bila shakaMtu kapoteza dola 10 anatokwa na povu , angepoteza dola 1000 si angekuwa kuzimu sasa hivi
Samahani sikuona hiyo acknowledgment. Thanks tho.Kuna mahali nilikuacknowledge
I appreciate your comments too
anataka kujua tu
SawaWewe acha kujibalaguza.
Kubali kuwa ushaonekana ni masikini wakutupwa. Kupoteza TZS 22,000 kunakufanya ugombane na familia??????
Hahahahaha Just hahahahahaWewe acha kujibalaguza.
Kubali kuwa ushaonekana ni masikini wakutupwa. Kupoteza TZS 22,000 kunakufanya ugombane na familia??????
AkulipeAkishajua?