Ukweli kuhusu biashara ya Forex

Ukweli kuhusu biashara ya Forex

Hujaelewa kwa kuwa ni hujui kusoma between lines...amempa jibu hilo kwa kuwa ameona anamghasi kutaka kujua vitu visivyomhusu
Aaahhh!
Niludhani hizo dolare ndio zikamletea family majanga doh!
 
Alichoandika mtoa mada si kipya humu. Wenyewe husema forex is not for everyone...well, I knew I was the everyone and it spared me a disappointment...
 
Jibu ni ndio na hapana.

Ndio natoa mafunzo iwapo tu
- Una ABCs za forex, Kwa ufupi uwe umesoma na kumaliza hii content hapa: Learn Forex Trading at School of Pipsology - BabyPips.com
- Uwe tayari kufungua real account , Sio demo account.
- Uwe na PC; sababu tutatumia ZOOM &TEAM VIEWER kufanikisha mafunzo, bila ya wewe kuhitaji kusafiri kuja mahala nilipo.
- Uwe tayari kunilipa kiasi cha US $150 sawa na TZS 360,000

Hapana Sitoi mafunzo iwapo
- Hauna PC na hujui kutumia PC

Intake kwa 2019 ni kuanzia Tarehe 7, Muda wiki mbili za kujifunza kile ninachotaka mimi ujifunze ili uweze ku_trade kwa kujitegemea, Pia utapewa mwezi mmoja wa unagalizi kuhakikisha unaweza kutumia setup yangu nitakayokupatia kufanya trading.
View attachment 975879

View attachment 975880

Kwa kufanya booking nitumie sms kwenye hiyo namba (image ya pili)
Nimekusoma Mkuu
 
Mtu kapoteza dola 10 anatokwa na povu , angepoteza dola 1000 si angekuwa kuzimu sasa hivi
 
Back
Top Bottom