Ukweli kuhusu Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine

Moyibi

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,054
Reaction score
701
Kwanza niwapongeze wale wote waliochagulia hapa chuoni kwetu (SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE ) kwa sababu mmepata bahati sana na pia hamtojutia kupata nafasi katika chuo chetu hiki kikongwe kilichobobea katika kilimo Tanzania na duniani kote.....

Haya sasa kama wewe ni first year na unaetegemea kujiunga na chuo chetu karibu sana kwa maswaliiii na utajibiwa bila tatizo lolote...... all in all karibu katika HOME OF EXCELLENCE
 
Kama una 100% ya mkopo kuna hela unatakiwa kulipia?
 
kwa bachelor of food sc and technology ikoje hiyo na inadili na nn?
 
Wale panya wa kutegua mabomu pale APOPO mnawatoa wapi na mafunzo hayo nani anagharamia ya kufundisha hao panyabuku?
 
Kitengo cha vipando na mimea kina maabara kuu wapi ya kutafiti magonjwa yafahamikayo kama cassava mealbug attack na end rote disease katika nyanya
 
Poa Mkuu.mana nilitaka kujua km sehm ya ada unalipa wakat unasubri mkopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…