clever gal
Member
- Sep 18, 2014
- 33
- 1
Uandaaji na uhifadhi was chakula
Aisee hyo coz,kama mwaka jana degree walikuwa 14 but mwaka wa pili walibak 9 wengne wanashndwa au wanakua waoga ucjal ww utakuwa mazmbu campus.mi nimechaguliwa kozi ya informatics vp inaajira? naona ni non priority, nweza nkapata mkopo? na cjui badae ntakua nan mana cijui vizur hi koz!
Je kuna waliopanga nje ya chuo hapo sua?
Tupe bei mkuu
Kwanza niwapongeze wale wote waliochagulia hapa chuoni kwetu (SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE ) kwa sababu mmepata bahati sana na pia hamtojutia kupata nafasi katika chuo chetu hiki kikongwe kilichobobea katika kilimo Tanzania na duniani kote.....
Haya sasa kama wewe ni first year na unaetegemea kujiunga na chuo chetu karibu sana kwa maswaliiii na utajibiwa bila tatizo lolote...... all in all karibu katika HOME OF EXCELLENCE
kozi nzuriiiii, me ndo naipga hyooasante sana...bsc irrgation and water reources ingeneering ikoje?
Samahan nataka kupanga kwa first year je vyumba napataje ni mpaka uwe na connection???