Ukweli kuhusu Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine

Ukweli kuhusu Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine

mi nimechaguliwa kozi ya informatics vp inaajira? naona ni non priority, nweza nkapata mkopo? na cjui badae ntakua nan mana cijui vizur hi koz!
 
mi nimechaguliwa kozi ya informatics vp inaajira? naona ni non priority, nweza nkapata mkopo? na cjui badae ntakua nan mana cijui vizur hi koz!
Aisee hyo coz,kama mwaka jana degree walikuwa 14 but mwaka wa pili walibak 9 wengne wanashndwa au wanakua waoga ucjal ww utakuwa mazmbu campus.
 
Asante kwa taarifa.ila first year ni lazma spate room au?
 
Nipe Raman ya kufka main campus ukishuka stand kuu mana m natokea dar
 
Kwanza niwapongeze wale wote waliochagulia hapa chuoni kwetu (SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE ) kwa sababu mmepata bahati sana na pia hamtojutia kupata nafasi katika chuo chetu hiki kikongwe kilichobobea katika kilimo Tanzania na duniani kote.....

Haya sasa kama wewe ni first year na unaetegemea kujiunga na chuo chetu karibu sana kwa maswaliiii na utajibiwa bila tatizo lolote...... all in all karibu katika HOME OF EXCELLENCE

mkuu za mazimbu?
 
Samahan nataka kupanga kwa first year je vyumba napataje ni mpaka uwe na connection???
 
umbali ni wakaribu sana.... na pia unaeza tembea kwa mguu mpaka twn kwa kutumia dakka5 tu.. hii ni kwa wale wanaokaa new hostell.... na kwa wale wa main kuna hiace na bei ni tsh 400 tu... pia kwa wale wa new hostel wanaweza kutumia usafiri wa hiace pia...
 
yap.... watu wapo waliopanga nje ya chuo.... kama utakuwa unahitaji chumba ni pm
 
hapana dada.... kuhusu kupanga ni wewe tyu... na maamuzi yako... ila kwa kuwa ww ni first year ingekuwa vyema kama ungekaa new hostelll... ila ukitaka kupanga nje unaeza ni pm kwa maelezo zaidi
 
kiongoziiii mimi niko main campus na ninasoma bvm... karibu kwa swaliiii
 
Samahan nataka kupanga kwa first year je vyumba napataje ni mpaka uwe na connection???

Ni pm nikuunganishe na jamaa zangu ili upate chumba kwa 25000,30000 mpka 40000 kwa mwezi
 
ukishafika pale stand... unaeza chukua pikipiki moja moja mpaka chuoni... just mwambie dereva nipeleke chuoni na bei yake ni tsh 3000 mpaka chuoni.... ila kama ukipanda daladala panda zinazoelekea mjini.. bei ni tsh400 ukishafika pale stand unaeza uliizia ni wapi daladala za chuo zinapo paki na pia kutoka town mpaka chuoni bei ni tsh400... ila all in all nakushauri upande pikipiki... karibu Home of excellence
 
Hongera kwa kuchaguliwa sua.... kuhusiana na kozii sijabahatika kuifahamu kwa kiundanii.... kuwa na subira vijana wa mazimbu watakuja na more update kuhusiana na hiyo kozi yako....
 
bei ya chini ya chakula kwa hapa sua ni 1000 ...... ila ukitaka vya 2500 utavipata pia... karibu home of excellence
 
Back
Top Bottom