Ukweli kuhusu Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine

Samahan mkuu , vp corse ya biotechnology and laboratory science inalipa katika soko la ajira na msuli wake ukoje na ipo main au mazmbu?
 
Jamani SUA chuo kimeshafungua, naona kuna utitiri wa watu wengi kama nini ,, Ewaaaa nilivyohoji kwa walinzi waliopo wakasema tarehe ya kufungua ni bado ila wanachuo hao unaowaona ni wamefeli masomo hivyo wamekuja kurudia mitihani,,,,,, ni hatari basi nikabahatika kumhoji mwanachuo mmoja akasema Tumekamatwa 55 kwenye hiyo course tunajiaandaa na probation, nikahoji vip course zingine akasema sijui ila hali iko kama unavyoiona kwa sababu kuna course moja hivi wameshadisco 18. Hivi tatizo ni nini kuwa na mass failure kama hii hapo SUA!? Njooni na majibu sahihi baadae nitawawekea picha za ushahidi wa wingi wa watu wakiwa freedom square wakisapua
 
umakiniii ukimaanisha ya kwamba.... kula bata kwa step.... maana ukiendekeza starehe utaishia kuliwa kichwa.... vp kijana umechaguliwa kozi gani
 
iyo kozi iko vizuri pia... kwa sababu inahusisha mambo ya management kwa wanyama... na pia iko na uhusiano pacha kwa ajira... na BVM... Yaani ni kama vile human medicene na nursinG...... kuhusu ugumu si kivile just apply msuli kidogo then unafaulu.. karibu home of excellence
 
yeah... mkuu koziii ipo vizuri iyo.... tutakuwa wote katika department yetu ya veterinary medicene..... about msuliii inahitaji msuliiii kimtindo... karibu sua kijana
 
Karibu sana Mazimbu na kiukweli Informatics ni kozi nzuri na inaajira sana kwa watu wanaotoka SUA, ila jiandae kusolve hesabu kwa mwaka wa kwanza..... Ni course inayohitaji msuli wa ukweli............... Karibu sana na usihofu

acha kumdanganya kama utamuajiri sawa.! Ajira ni ngumu sana kijana.
 

wewe ni mwanasua, ulienda kufanya nini freedom square.. Umeshikwa na wewe tena inaonekana unangoma kama nne hivi.!
 
Wakuu msiogope sap chamsingi ukifika sua we fanya wajibu wako,afu kwawale wenzangu wanaoichukia BAM basi naomba mjipange mapema kwani kuna kitu MTH 102 itawasumbua sana
 
wewe ni mwanasua, ulienda kufanya nini freedom square.. Umeshikwa na wewe tena inaonekana unangoma kama nne hivi.!

Nimecheka mpaka basi eti kuna room inaitwa chamber nyuma ya freedom squarei
 

asante kaka...and im ready for it..but naomba kuulza kuna uwezekano wa kuhama kutoka animal science kwenda BVM and utaratibu wa kuhama upo vp!...(nina two ya 11 mwaka 2013)
 
uwezekano upo.. kijanA.. cha msingi baada ya kufanya registratioN .. itabidii uandike barua kwenda kwa dvc ili aweze ku confirm uhamaji wako.. na hii ita depend unaeza pata au kukosa vilevile. ukifanikiwa karibu bvm.. tuwe jumuiya moja
 
 
YAANI MPAKA SAIZI SIJAONA JINA LANGU NA KOZI ZOTE TANO NIMEJAZA SUA KWA JINSI NINAVYOKIKUBALI HKI CHUO SJUI MTANISAIDIAJE?
Mm Ni Diploma Holder Na Nina Gpa Ya 3.4.
Kwenye Profile Yangu Wananambia Be Calm Wakiwa Wanaendelea Kuprocess.
 
YAANI MPAKA SAIZI SIJAONA JINA LANGU NA KOZI ZOTE TANO NIMEJAZA SUA KWA JINSI NINAVYOKIKUBALI HKI CHUO SJUI MTANISAIDIAJE?
Mm Ni Diploma Holder Na Nina Gpa Ya 3.4.
Kwenye Profile Yangu Wananambia Be Calm Wakiwa Wanaendelea Kuprocess.
Mkuu huo uwezo Wa kujaza kozi 5 zote chuo kimoja uliupata wapi? Ninavyofahamu tulikuwa tumeagizwa kujaza angalau 2 2 kutoka chuo kimoja! Inawezekana umekosa kwa kukiuka maelekezo, hivyo wameona hufundishiki Mkuu!!! Jaribu mwakani tena! Utani......utani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…