Daud Benard
Member
- Sep 14, 2014
- 5
- 0
usiku mwema wadau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
samahan lakini..hivi Bsc. of ANIMAL science imekaaje hii...ugumu wake...ajira zake zipo vipi...and ningetaka kujua ipo main campus au ?
Karibu sana Mazimbu na kiukweli Informatics ni kozi nzuri na inaajira sana kwa watu wanaotoka SUA, ila jiandae kusolve hesabu kwa mwaka wa kwanza..... Ni course inayohitaji msuli wa ukweli............... Karibu sana na usihofu
Wakuu mbona hajakusia starehe mbalimbali wazee was kujirusha tunataka kujua
Jamani SUA chuo kimeshafungua, naona kuna utitiri wa watu wengi kama nini ,, Ewaaaa nilivyohoji kwa walinzi waliopo wakasema tarehe ya kufungua ni bado ila wanachuo hao unaowaona ni wamefeli masomo hivyo wamekuja kurudia mitihani,,,,,, ni hatari basi nikabahatika kumhoji mwanachuo mmoja akasema Tumekamatwa 55 kwenye hiyo course tunajiaandaa na probation, nikahoji vip course zingine akasema sijui ila hali iko kama unavyoiona kwa sababu kuna course moja hivi wameshadisco 18. Hivi tatizo ni nini kuwa na mass failure kama hii hapo SUA!? Njooni na majibu sahihi baadae nitawawekea picha za ushahidi wa wingi wa watu wakiwa freedom square wakisapua
wewe ni mwanasua, ulienda kufanya nini freedom square.. Umeshikwa na wewe tena inaonekana unangoma kama nne hivi.!
iyo kozi iko vizuri pia... kwa sababu inahusisha mambo ya management kwa wanyama... na pia iko na uhusiano pacha kwa ajira... na BVM... Yaani ni kama vile human medicene na nursinG...... kuhusu ugumu si kivile just apply msuli kidogo then unafaulu.. karibu home of excellence
uwezekano upo.. kijanA.. cha msingi baada ya kufanya registratioN .. itabidii uandike barua kwenda kwa dvc ili aweze ku confirm uhamaji wako.. na hii ita depend unaeza pata au kukosa vilevile. ukifanikiwa karibu bvm.. tuwe jumuiya moja[/QUOT
Unatoa somo mujarabu kwa vijana
Mkuu huo uwezo Wa kujaza kozi 5 zote chuo kimoja uliupata wapi? Ninavyofahamu tulikuwa tumeagizwa kujaza angalau 2 2 kutoka chuo kimoja! Inawezekana umekosa kwa kukiuka maelekezo, hivyo wameona hufundishiki Mkuu!!! Jaribu mwakani tena! Utani......utani!YAANI MPAKA SAIZI SIJAONA JINA LANGU NA KOZI ZOTE TANO NIMEJAZA SUA KWA JINSI NINAVYOKIKUBALI HKI CHUO SJUI MTANISAIDIAJE?
Mm Ni Diploma Holder Na Nina Gpa Ya 3.4.
Kwenye Profile Yangu Wananambia Be Calm Wakiwa Wanaendelea Kuprocess.