Fara ajibu.
umbali ni wakaribu sana.... na pia unaeza tembea kwa mguu mpaka twn kwa kutumia dakka5 tu.. hii ni kwa wale wanaokaa new hostell.... na kwa wale wa main kuna hiace na bei ni tsh 400 tu... pia kwa wale wa new hostel wanaweza kutumia usafiri wa hiace pia...
kweli mkuu... hasahasa wale wenzangu wa BVM ..... mje mkiwa mmeaga vizuriiii.... maana kuna biochem ... grossy anatomy pamoja na developmental anatomy... bila kusahau histology... zinasumbua sana kwa 1st year
yeah... mkuu koziii ipo vizuri iyo.... tutakuwa wote katika department yetu ya veterinary medicene..... about msuliii inahitaji msuliiii kimtindo... karibu sua kijana
wewe ni mwanasua, ulienda kufanya nini freedom square.. Umeshikwa na wewe tena inaonekana unangoma kama nne hivi.!
Mkuu huo uwezo Wa kujaza kozi 5 zote chuo kimoja uliupata wapi? Ninavyofahamu tulikuwa tumeagizwa kujaza angalau 2 2 kutoka chuo kimoja! Inawezekana umekosa kwa kukiuka maelekezo, hivyo wameona hufundishiki Mkuu!!! Jaribu mwakani tena! Utani......utani!
Hapana Mkuu, mwambie huyo Wa BLS mtakuwa faculty moja ya veterinary medicine na siyo department!!
vp mkuu? uliomba kozi gani hapa chuoniiiii