Ajira zake mkuu zilikuwa wazi kabisa mahospitalini, ila jamaa wa binadamu wakaweka kauzibe! Nilisikia kulikuwa na mkakati wa kuwaongezea kozi chache kutoka kwenye mitaala ya watalaam wa maabara za binadamu ili mweze kutimiza vigezo vya kufanya kazi hospitalini. Ila kiukweli jamaa walikuwa wanakula shavu ile mbaya, maana vitu mnvyopewa hapo vet siyo kidogo, mlikuwa juu sana kuliko hata wale waliosoma vyuo vya binadamu!! Sasa sijajua kama hili liliwezekana! Nenda tu ukaigonge hiyo imekaa poa sana, ila ujiandae kwa msuli wa uhakika, vinginevyo cell biology itakutoa roho chini ya Dr. Luziga!!