Ukweli kuhusu Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine

Ukweli kuhusu Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine

Vp ajira zake Mkuu?
Ajira zake mkuu zilikuwa wazi kabisa mahospitalini, ila jamaa wa binadamu wakaweka kauzibe! Nilisikia kulikuwa na mkakati wa kuwaongezea kozi chache kutoka kwenye mitaala ya watalaam wa maabara za binadamu ili mweze kutimiza vigezo vya kufanya kazi hospitalini. Ila kiukweli jamaa walikuwa wanakula shavu ile mbaya, maana vitu mnvyopewa hapo vet siyo kidogo, mlikuwa juu sana kuliko hata wale waliosoma vyuo vya binadamu!! Sasa sijajua kama hili liliwezekana! Nenda tu ukaigonge hiyo imekaa poa sana, ila ujiandae kwa msuli wa uhakika, vinginevyo cell biology itakutoa roho chini ya Dr. Luziga!!
 
  • Thanks
Reactions: m2j

Nashukuru sana Mkuu, one love.
 
Inategemea campus ipi. Kama ni main ni karbu unaenda kwa bus au hata kwa miguu ila mazmbu campus ni mbali kiaina but still kote nauli ni 400 tu ukitokea mjin.

Hebu tubadilike jamani! Kwa nini usimwambie mtu umbali toka stendi ya daladala Morogoro mjini mpaka Main Campus ni 1 au 2km?; au mwendo wa dakika 20 kwa daladala? au 1 hr kwa kutembea kwa miguu kwa mwendo wa kawaida? Kumbukeni ninyi ndo wasomi wetu watarajiwa hivyo huwezi kumwelekeza mtu ambaye hajafika SUA au Morogoro kama hapo kwenye red.
 
uwezekano upo.. kijanA.. cha msingi baada ya kufanya registratioN .. itabidii uandike barua kwenda kwa dvc ili aweze ku confirm uhamaji wako.. na hii ita depend unaeza pata au kukosa vilevile. ukifanikiwa karibu bvm.. tuwe jumuiya moja

..asante broo...ningependa kujua pia watu wa animal science wanashare baadhi ya basic courses na watu wa bvm?..mfano labda biochem,anatomy...etc..pia samahan naomba niende mbali kidogo mtu akiwa na bach.ya animal science anaweza kusoma masters ya vertenary medicine?...(samahan kwa hli swal la pili and ni kwa sababu napenda sana V.M)
 
sijui una matatizo gani we mtoto.....Siku ile umeanikwa hapa nikajua ndo utaacha ujinga...kumbe ni zero brain

Jiheshimu we we! Hiyo nikuwapa changamoto tuu first year wajue chuo sio lele mama, ! Sijakukejeli tafadhaali
 
Kwa wale walio chaguliwa SUA hongereni sana but ndugu zanguni mnaokuja DEPARTMENT OF AGRICULTURAL ENGINEERING(DAELP) Karibuni sana ni bonge la course lakini mtakaribishwa na michoro mpaka mtatubu kuna mtu anaitwa Eng.Terengia Materu atawafanya m feel mpo chuoni bhn ombeeni mungu msifundishwe na expert wa michoro Dr.Mganilwa Z.M Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1

Mbona unatutisha hivi hyo agric Eng n ngumu sana
 
mie nimechaguliwa family and consumer studies siifahamu vizuri, ninampango wa kubadili kwa anayeifahamu anishauri
 
kijana sua hakuna mchezo one mistake magori mia!!hakuna bata!!ukigraduate sua kwel unakua umedeserve!!

Aisee kama n hvyo bas n hatarii kwa hyo tufanyje ili tugraduate
 
..asante broo...ningependa kujua pia watu wa animal science wanashare baadhi ya basic courses na watu wa bvm?..mfano labda biochem,anatomy...etc..pia samahan naomba niende mbali kidogo mtu akiwa na bach.ya animal science anaweza kusoma masters ya vertenary medicine?...(samahan kwa hli swal la pili and ni kwa sababu napenda sana V.M)

mna share anatomy... but mnapiga general anatomy... ambayo ni rahisii sanaaaa ku compare na hii ya kwetu... pia kuna biochem... hapa nakuarifu kabisa kazana usije ingiza maana ni kozi hatare inawatesa sana animal science na pia bvm.... hapo ni kwa mwaka wa kwanza kwa 2nd year kuna koziii pia mnazisoma za vet but hamwendi deep kivile.. about master ya vet kama ww umesoma animal science huwezi soma mkaleeeee
 
kozi tamu sana kwa kina dada... ila kama ww ni mwanaume nakushauri uhame mara moja maana kozi nyingi zimebase mambo ya familia.. pia huwa nawaona madogo wakishona vitambaaa.... na pia kuna kozi inaitwa husband caring... so kama ww ni mwanadada itakufaa sana..... ni kozi iliobobea katiak suala zima la familia
 
na ili ubalishe course ni lazima uwe umeshafanya registration?

yes... utaruhusiwa kubadili kozi iwapo tyuuu utakuwa umemaliza kufanya registration... vi vema ukafanya registration mapema ili upate kushughulikia hilo suala la kubadili kozi
 
hapana mkuu hapo tution fee 1,263,000 unalipiwa yote na HSLB but utatakiwa kulipa tu michango mingine kama; caution money,medical fee etc.ambayo kwa SUA haizidi Tsh.180,000.
 
hapana mkuu hapo tution fee 1,263,000 unalipiwa yote na HSLB but utatakiwa kulipa tu michango mingine kama; caution money,medical fee etc.ambayo kwa SUA haizidi Tsh.180,000.

Kama hivyo sawa mana nilishaanza kuhofu kwanz bod mpaka sasa kimya
 
samahani..vipi kuhusu human nutrition hapo sua iko vipi mean msuli,kiajira na mambo yote yanayo husu iyo ??
nimeuliza juu juu lakini nazani nimeeleweka
 
Back
Top Bottom