Diwani
JF-Expert Member
- Oct 25, 2014
- 2,680
- 2,779
Dadeeeki Bitcoin washenzi sana ngoma iko 155,000,000 dah
168,000,000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dadeeeki Bitcoin washenzi sana ngoma iko 155,000,000 dah
Kuna coin ambazo zimeshakuwa imara tayari kwenye soko Kama ...
Etherium ,Bitcoin ,Solana ,bnb ...
Kwa mtu anayeanza Hana kiasi cha pesa kikubwa siwezi kumshauli kuhold hizo coin ,Kwan Bei yake iko juu ....ila Kama una pesa za kutosha unaweza nunua ....
Coin zenye project unazijua unavosoma na kufuatilia Mambo ..mfan Tron ,doge coin ,Shiba Inu , UMI , n.k .....hizi ni coin ambazo project yake ni kubwa na hazitakuja kupotea kwenye ulimwengu wa crypto na Bei zake ni kawaida Sana .....
Mfn
1tron=$0.1134..
1shiba Inu =$0.0000546..
Hizo ni coin ambazo kufika 2030 Bei zake zitakuwa zimepanda ,sitaki kusema zitakuwa ngapi ,ila zikiwa juu...
Hizo coin haizshuki sanaa ,Wala huwa hazipandi kwa fujo,ziko slow
But sure ....
ShibEbu tuambieni sarafu gani zipo stable tujue tunafanyaje sasa hivi hapa.
Nina ndoto ya kuanzisha coin yangu hapa tzMwaka 2017 Tron (TRX) ilianzishwa Bei yake ikiwa
1tron =$0.0015 .....
Kwa wakati huo Kama kuna mtu aliamua kununua Tron za $100 ,hii ni sawa na laki mbili na nusu .....
Maana yake angekuwa na Tron ngapi unajua
1 Tron = $0.0015
?=$100
Maana yake angekuwa na tron 66,666.67 hivi ....
Unajua Bei ya Sasa ya Tron ni ngapi ,leo 2021 ......1tro = $0.10825
Hio ni miaka 4 imepita ....
So akisema auze Leo tron zake atakuwa na
1tron = $0.10825
66,666.67tro. = ???
So hapo atakuwa na $ 7216.67
Hizo unajua ni sawa na shilling ngapi ? Ni 18 million ....
Sasa unajiuliza kanunua Tron za laki mbili na nusu Leo anatron za million 18 ndani ya miaka 4 .....
Kama utaamua kuhold coin na kuendelea na Mambo yako kwa muda mrefu kaa ukijua huko mbeleni hata mwalimu ambaye amestafu amepewa pension zake huko nssf atakuamkia shikamoo kaka [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].... ......
Hapo nimaaua kuacha Bitcoin Kwan mwaka 2010 wengi huenda hatukuwa na smart phone ,nimeamua kuchukua mwaka 2017 ambao wengi humu tulikuwa tunatambua Mambo kabisa
HOLd Hold hold ..... crypto is real
Vigezo na masharti unavijua lakini ....Nina ndoto ya kuanzisha coin yangu hapa tz
vitajulikana tu...kwani aliyeanzisha btc si ni binadamu kama mm tu mkuu au?Vigezo na masharti unavijua lakini ....
Au utakuwa unafanyia exchange nyumbani kwako mkuu ...
Satoshi nakamoto huyu jamaa sio poa kabisa ,alianzisha BTC mpaka Sasa hajulikani sura wala Yuko wapi alijua amekuja kuharibu soko la finance kwa bank na taasisi za kifedha so wangemla kichwa ....vitajulikana tu...kwani aliyeanzisha btc si ni binadamu kama mm tu mkuu au?
Asante mkuu nikikwama nitakutafuta unipe madini zaidi...kinachoniumaga sana mwaka 2017 btc ilishuka mpaka 5000$ nilikuwa na tsh 20,000,000 nikataka ninunue btc jamaa yangu mmoja ananiambia nimerukwa na akili nikaachana na hyo ishu.Je nisingemsikiliza nikaufuata moyo wangu leo ningekuwa na sh ngapi?Satoshi nakamoto huyu jamaa sio poa kabisa ,alianzisha BTC mpaka Sasa hajulikani sura wala Yuko wapi alijua amekuja kuharibu soko la finance kwa bank na taasisi za kifedha so wangemla kichwa ....
Any way kila lakheri kwenye project zako za kuanzisha coin....
Asante mkuu nikikwama nitakutafuta unipe madini zaidi...kinachoniumaga sana mwaka 2017 btc ilishuka mpaka 5000$ nilikuwa na tsh 20,000,000 nikataka ninunue btc jamaa yangu mmoja ananiambia nimerukwa na akili nikaachana na hyo ishu.Je nisingemsikiliza nikaufuata moyo wangu leo ningekuwa na sh ngapi?Satoshi nakamoto huyu jamaa sio poa kabisa ,alianzisha BTC mpaka Sasa hajulikani sura wala Yuko wapi alijua amekuja kuharibu soko la finance kwa bank na taasisi za kifedha so wangemla kichwa ....
Any way kila lakheri kwenye project zako za kuanzisha coin....
Mkuu coin zinapanda na kushuka ,unaweza kuta mwezi huu imeshuka Sana ,mwezi ujao ikapanda ....Wabongo wengi hasa hawa wa mitandao walisahauza coin zao kipindi ili clash Katikati ya mwaka huu na walikua wapole kweli,now imepanda kelele kibao bladfaken
Sasa kufikia 2040 Mabank yatakuwepo ikiwa online coin ndo itakuwa inatamba?Mkuu simaaishi hizo pepar money zitatoweka hapana ...
Ndio maana Hadi Leo Kuna barter trade huko vijijin ,yaana watu wanauziana bidhaa kwa bidhaa ,lakin pesa bado zipo Kama mfumo wa kubadilishana....
So note na coin zitaendelea kuwepo but hizi sarafu za kidigital zitakuwa juu zaidi ,kwanin upitwe na fursa Kama hii wakati uwezo unao wa kujua Mambo ...
Bank zitakuwepo Kama kawaida lakin soko la crypto litakuwa limeshakuwa kubwa sanaa....Sasa kufikia 2040 Mabank yatakuwepo ikiwa online coin ndo itakuwa inatamba?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]daaaaBaadala ya kununua bit coin serikali inunue servers za kufa mtu za bitcoin mining .Umeme wote wa Stiegler utumike kuzalisha bitcoin tu. Computational economy is the future. Kilimo baadaye.
Ni juhudi zako tu za kufuatilia mambo na kuelewa .......Nataka kujifundisha haya maswala,sijui chochote, naombeni mwongozo nianzie wapi, shule yake inachukua muda gani, walimu wazuri ,bajeti nk