Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 8,870
- 10,066
Wewe kama una kopesheka, chukua mkopo ktk mabenki, peleka ktk hizo Crypts wekeza huko kwa kipindi cha umri wa miaka 5 - 10, baada ya hapo chungulia una faida kiasi gani baada ya kuweka 50Milion na baada ya miaka 5 - 10 una kiasi gani?
Huku mshahara wako una endelea kukatwa kulipa deni la bank, huku una endelea kuishi kwa marupurupu, maposhosho na kiasi kidogo baada ya makato na pesa baada ya kupanda tucheo ktk hiko kipindi cha miaka 5 - 10
Ukija kujikuta una 1bilion una toa kiasi au una endelea kuacha ikomae kama Desi...
Ukifa hukuacha taarifa kwa mke watoto na ndugu Basi imekula kwako... Umekufa na Mali yako