Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Ok! Government inaweza kunufaika vipi na hii system? Kupanda na kushuka kwa thaman ya currency kuna watu huko wanaratibu au mfumo unajiendeshaje haswaa?Bank zitakuwepo Kama kawaida lakin soko la crypto litakuwa limeshakuwa kubwa sanaa....
Crypto saizi inaharibia biashara bank ,mtu anaona kuliko akaweke pesa yake bank ,anaona Bora anunue Bitcoin ,Kwan anajua hio pesa ambayo amenunua Bitcoin inaweza kupanda ,kuliko kuiweka bank ambapo utaikuta Kama ilivyo .....
Na nikwambie tu watu Wana mabllion ya pesa kwenye coin ,pesa ambazo ukiweka bank Basi wataanza kufuatilia na kujua chanzo cha pesa zako ,na ikiwezekana kukufungulia kesi za uhujumu uchumi ....
Hii ndio block chain technology ,HAKUNA kujua mtu flan anautajiri kiasi gan na kuanza kufuatilia miamala ya watu ...
Sent using Jamii Forums mobile app