Ukweli kuhusu crypto currency mtu hawezi kukuambia

Wewe kama una kopesheka, chukua mkopo ktk mabenki, peleka ktk hizo Crypts wekeza huko kwa kipindi cha umri wa miaka 5 - 10, baada ya hapo chungulia una faida kiasi gani baada ya kuweka 50Milion na baada ya miaka 5 - 10 una kiasi gani?

Huku mshahara wako una endelea kukatwa kulipa deni la bank, huku una endelea kuishi kwa marupurupu, maposhosho na kiasi kidogo baada ya makato na pesa baada ya kupanda tucheo ktk hiko kipindi cha miaka 5 - 10

Ukija kujikuta una 1bilion una toa kiasi au una endelea kuacha ikomae kama Desi...

Ukifa hukuacha taarifa kwa mke watoto na ndugu Basi imekula kwako... Umekufa na Mali yako
 
Najaribu kununua Dogecoin kwa Coinbase inataka passport yaani [emoji2]
 
Nakupongeza Mkuu Pain Killer kwa Maarifa mazuri,Niko kijijini nalima MAPARACHICHI nasubiri Milioni 900, Kisha nirudi mjini(DCC) ,NITAKUTAFUTA !!!!!
 
Kama imekupita hii, Iko recorder fuatilia na usikilize.



Wadau 3.4K walikuwepo!
 
Tutakuja kukumbuka shuka siku Tron akiwa $10 ,Shiba akiwa $0.1.....muda utaongea
 

Mkuu we ume hold???[emoji1666]
 
Mkuu coin zinapanda na kushuka ,unaweza kuta mwezi huu imeshuka Sana ,mwezi ujao ikapanda ....


Mimi nazungumzia project ya miaka 5-10 ...

Yaani coin ukikaa nayo kwa muda huo trust me ,hio coin ITAKUBADILISHA MAISHA na utashangaa ......
Je unaweza kununua kidogo kidogo mfano nanunua za /20000 nakuja nanunua za 50000 Kama hivo an
 
Mkuu coin zinapanda na kushuka ,unaweza kuta mwezi huu imeshuka Sana ,mwezi ujao ikapanda ....


Mimi nazungumzia project ya miaka 5-10 ...

Yaani coin ukikaa nayo kwa muda huo trust me ,hio coin ITAKUBADILISHA MAISHA na utashangaa ......
Sio Lazima,ICP,FIL,DOT,HNT haijarudi ATH yake hadi hadi leo hii
 
Ungekua na milioni 400
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…