Ukweli kuhusu degree ya miss Tanzania

Cheti ndio stashahada au mimi ndio sijui?!!!
 
Wanasema kamaliza from four mwaka Jana! Mbona hiyo sura sio ya kidato cha mwaka Jana? Huu umiss kaanza lini jamani?
 
Watanzania waongo waongo sana kama ile ajali ya Kimara eti walizusha kua wamefariki watu 50
 
Sioni manufaa ya hili shindano kwa taifa letu lakini hii hainizuii kuhisi ujanja ujanja uliopo!!

Miaka 18??..labda!
 
Kanusho hili lilifaa kupelekwa pia kwenye mitandao ya fb na instagram maana huku ndiko wasiomtakia mema Binti huyu wamefurika!
 
Hiyo siri haijuaye ni ankoo Lunde
 
Muacheni huyu binti keshajifafanua kwa uzuri. Whoever came up with rumors za kuwa ana degree and so forth amejaribu kufanya character assassination to the girl. I hope TCRA wako macho juu ya hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…