Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tooo muchUmefafanua vizuri, ila hapo kwenye red, naona umevuka mpaka, huu uafisa habari ni wa mwendokasi.
akiweka vyeti vyake we itakusaidia nini? maana huwezi kubadilisha chochote kila....ofisa habari kanjanja wewe,unatuletea porojo zilezile,weka evidence mfano vyeti chake tuone
Wakware wataanza kumpandia dau iliwahakikisheWas is it necessery kuutangazia uma kama binti ni mwanamwali?
Cheti ndio stashahada au mimi ndio sijui?!!!TAARIFA KWA UMMA
Napenda kuujulisha Umma yafuatayo;
1. Miss Tanzania 2016/2017 aliyeshinda taji jana jijini Mwanza, anaitwa Diana Edward Loy na siyo Diana Lukumai kama inavyotajwa mitandaoni.
2. Mlimbwende huyo amemaliza kidato cha nne 2015 Shule ya Sekondari Arusha Day na si 2011 kama inavyotajwa mitandaoni kwa malengo ovu.
3. Diana hajawahi kujiunga na Elimu ya Chuo Kikuu chochote Tanzania au duniani bali anatarajia kujiunga mwaka huu katika chuo cha IFM kusomea masula ya kodi ngazi ya stashahada (cheti) ingawa kulingana na ratiba zake na majukumu yake mapya ikiwemo kushiriki Miss world mapya huenda akaahirisha mwaka wake wa masomo.
4. Tunawasihi watanzania kutumia vyema mitandao ya kijamii na si kufanya "Character assassination" lakini pia tunaheshimu haki yao ya msingi ya kuhoji masuala ya msingi kabisa kuhusu mtu ambaye ni Public figure na ataliwakilisha taifa katika anga za kimataifa.
Tumuunge mkono mlimbwende wetu ili atuletee Taji la Dunia.
Ni msichana Asiye na bwana wala boyfriend na hajui mwanaume i.e mwanamwali!
Kwa maelezo yake mambo hayo ataanza baada ya kumaliza masoma na kufanya kazi miaka minne!
Ahsanteni.
Charles William
Kaimu Ofisa Habari wake.
0716719589
Stashahada ni diploma aseee! Nashangaa hawarekebishi na hiyo.Cheti ndio stashahada au mimi ndio sijui?!!!
Nadhani anajaribu kueleza kwamba bint hajatoa rushwa ya ngono kupata hilo taji.Was is it necessery kuutangazia uma kama binti ni mwanamwali?
Miss tizii ni kichaka cha ngon' oooStashahada ni diploma aseee! Nashangaa hawarekebishi na hiyo.
Wanasema kamaliza from four mwaka Jana! Mbona hiyo sura sio ya kidato cha mwaka Jana? Huu umiss kaanza lini jamani?
Kazi yake iliyobakia ni kupitia kila nyuzi inayoanzishwa na kuanza kutafuta makosa ya kisarufu.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwalimu Faiza uko makini sana
Hiyo siri haijuaye ni ankoo LundeHapo uliposema hana mwanaume wala boyfriend halafu ukaongozea kuwa diana ni mwanamwali dah......Mimi hapo naona umetudanganya coz kumpata mwanamwali katika miss tanzania sidhani kama ilisha/itakuja kutokea anyway siri hiyo aijuaye ni Mungu tu na yule atakayekuja kumwonja.
...... stashahada (cheti) .......
Charles William
Kaimu Ofisa Habari wake.
0716719589