Ukweli Kuhusu Idadi ya watu 3.9B kuangalia msiba wa Rais Dkt. Magufuli

Mpuuzi wewe , wezi ni genge la CCM na mbwa wenu huyo mzoga aliyekufa Kwa utaahira wake WA kudharau magonjwa
Mbona Una matusi kama mjukuu wa fisi na unafanana kweli na nyumbu za pale Ufipa, vipi Una vinasaba NAO mkuu!!
 
Hata World Cup haijawahi kutazamwa kwa idadi hiyo... (Tumia akili)
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Wewe ndiye yule mkalimali wa jana nini? Maana hicho kiingereza mh.... BTW Gone is the vampire who likes to sack our blood! Haya mengine ni bla bla bla tu.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Wewe ndiye yule mkalimali wa jana nini? Maana hicho kiingereza mh.... BTW Gone is the vampire who likes to sack our blood! Haya mengine ni bla bla bla tu.
Nilijua utarudi kwenye Lugha pendwa, Sasa swali ni moja, tupe idadi kamili ya waliofuatilia ukiondoa hii ya Waziri mkuu, tukuone kama kweli haupo kwenye kundi la Nyumbu!!
 
Nilijua utarudi kwenye Lugha pendwa, Sasa swali ni moja, tupe idadi kamili ya waliofuatilia ukiondoa hii ya Waziri mkuu, tukuone kama kweli haupo kwenye kundi la Nyumbu!!
Nimekuuliza wewe ndiye yule mkalimali wa jana? Hilo la bilioni 3 kabishane na wajinga wajinga wenzako possibly wachunga ng'ombe wenzako huko! Kitu kilicho dhahiri siwezi kufanya mjadala wa kijinga. I have many tasks to do.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Wewe ndiye yule mkalimali wa jana nini? Maana hicho kiingereza mh.... BTW Gone is the vampire who likes to sack our blood! Haya mengine ni bla bla bla tu.
Are you the great devil you received?
 
Nimekuuliza wewe ndiye yule mkalimali wa jana? Hilo la bilioni 3 kabishane na wajinga wajinga wenzako possibly wachunga ng'ombe wenzako huko! Kitu kilicho dhahiri siwezi kufanya mjadala wa kijinga. I have many tasks to do.
Baada ya kuni Quote tu, nilijua kabisa wewe ni bonge la jinga, na jinsi ulivyoendelea ndivyo ulivyozidi kuonesha Ujinga wako

Kama mjadala wa kijinga kimekuleta nini kujadili kama sio wewe ndio mjinga?
 
Roughly 4.66 billion people around the world use the internet at the start of 2021 – that's close to 60 percent of the world's total population
 
Mie sielewi...kwani hata kama wametazama dunia nzima au watu 5k kwan kipi cha ajabu?.. hebu jaman mambo mengine tuyaache yapite...hayana logic kbs...au la mnataka kuweka kwenye guinness
Wanataka ku prove the point kwamba msiba wa mkulu washirika kupitia mitandao ya kijamii walikuwa wengi na for the record amemzidi Michael Jackson aliyeshikilia record ya watu bilioni mbili thats all.
 
Mbona inatumika nguvu kubwa sana kumpigania marehemu? Kishatangulia aachwe jamani apumzike....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…