Ukweli Kuhusu Idadi ya watu 3.9B kuangalia msiba wa Rais Dkt. Magufuli

Ukweli Kuhusu Idadi ya watu 3.9B kuangalia msiba wa Rais Dkt. Magufuli

Mnafiki ni yule anetumia nguvu nyingi kuaminisha umma kua mtu Fulani ni muongo pasipo yeye kudhihirisha ukweli ni upi.
 
Mara baada ya waziri mkuu msitaafu Edward Lowasa kujiunga na kuinunua Chadema ili awe mgombea urais mwaka 2015 , kitu cha kwanza kabisa alipokabidhiwa tu chama alipiga marufuku siasa za kiharakati na kushauri siasa hizo hazina tija kwa sasa. Edward Lowasa alionya kuwa Chadema lazima igraduate kutoka chama cha kiharakati hadi kuwa chama cha siasa sasa.

Edward Lowasa alifafanua madhara ya chama kubaki cha kiharakati muda wote kuwa ni pamoja na kupinga maendeleo yote ya nchi ,kuombea mabaya nchi ,kushirikiana na mabeberu ili kuiibia nchi ,pamoja na kushangilia kila lililobaya kwa taifa ili kumfurahisha tu anayefadhili hizo harakati zako. Matokeo ya harakati hizi ni chama kuchukiwa na wazalendo na kupoteza ushawishi kwa wananchi.
Hakika Lowasa aliona mbali. Leo brand ya chadema imeharibiwa vibaya, chama kilichojizolea umarufu kwa kutetea wanyonge leo kinataka machinga na mama ntilie wafukuzwe mitaani!!! Leo ni furaha kubwa kwa Chadema ndege kukamatwa na wazungu!!!

Pia tangu tarehe 17 mwezi march Tanzania imekumbwa na simanzi isiyo na kifani mara baada ya kutangazwa kwa kifo cha rais Magufuli.
Mamilioni ya watanzania wameangua kilio kila kona kwamba sasa mwokozi wao ameondoka, cha kushitusha ni kwamba wananchi wa hali ya chini kabisa ndiyo wanaoongoza kwa kilio kinyume na tulivyokuwa tumeaminishwa kwamba Magufuli alikuwa ananyonga wanyonge!
Kitendo cha hayati rais Magufuli kuagwa na mamilioni ya watanzania huku wakiangua vilio njia nzima na kutandika kanga zao chini ili mwili upite imeenda kinyume kabisa na wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lisu na genge lake.

Kwa jinsi msiba huu unavyoenda naamini utakuwa darasa tosha kwa wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lisu ,Godbless Lema, Chahali, Ngurumo, Mange Kimambi na wengine wengi, sasa wataelewa kumbe watanzania siyo vilaza.
Wataelewa kumbe watanzania wanajua yupi anapigania haki zao kwa vitendo na ni yupi ni mpiga makelele nyuma ya keyboard.

Kwa mapenzi haya yanayoonyeshwa na Watanzania kwenye msiba huu ni lofa tu atakayeendelea kuamini kwamba eti Tundu Lisu aliibiwa kura kwenye uchaguzi mkuu uliopita.

Wito wangu kwa wasaliti wa nchi hii wanaoshangilia msiba kwamba sasa Magufuli ameondoka watarudi Tanzania na kuanza tena kutumika kuiba rasilimali za nchi hii kama walivyokuwa wanafanya huko nyuma wajue tu kwamba wanapoteza muda.
Watanzania siyo vilaza ,wanajua fika Tundu Lisu aliwatisha kwamba watashitakiwa MIGA ikiwa watabadili sheria za madini.
Tundu Lisu aelewe kuwa hawezi kuwa rais wa Tanzania kwa kushinda Twitter akikejeli kila lililojema kuhusu nchi yetu,
Tundu Lisu kupitia msiba huu atakuwa ameelewa na kupata darasa kwamba ukitaka kupendwa na Watanzania tumikia watanzania na siyo kutumikia Acacia

Umejiunga juzi jumamosi kuja kuleta propaganda za kizee ili kumtetea dhalimu, wenzako hii kazi imewashinda maana dhalimu hafai kutetea. Kwa taarifa yako huu ni mwisho wa siasa za kidhalimu ndani ya nchi hii, kama ulikuwa haujafanikiwa kwa wale uliotumwa kuwateka ama kuwaua, basi ujue boss wenu kaondoka, hivyo tafuta kazi nyingine ya halali maana mwisho wa ubaya ni aibu.
 
Inaonekana idadi ya watu waliotazama tukio la msiba wa Dr. Magufuli kwa dunia nzima limetolewa kupitia ukurasa wa Twitter hapa




Mtu aliyetamka au kuandika hizo takwimu anapatikana katika ukurasa wake wa Twitter hapa
https://twitter.com/SirNeoBranson
View attachment 1732575

Kwa uchunguzi wangu mdogo, huyu mtu alishatiliwa shaka na wakenya baada ya kubahatika kufanya mahojiano na kituo cha televisheni cha CitizenTV kuhusu kupotea kwa ndege ya Malaysia. Mkasa mzima upo hapa
Kenyan Sir Neo Roggi Joseph Roger Branson -- World's Leading cryptologist - Page 3 - Life - Wazua - Forum

na video ya Youtube ya mahojiano hayo inapatikana hapa:



Na hapa alizidi kutiliwa shaka, si ajabu twitter zake zina followers wasiozidi 1,000.



Kupitia link hii unaweza kuona walivyo mu-expose (mwaka 2014):

Exposed! See how this man has been cheating Citizen TV like SMALL BABIES.

Thursday, June 12, 2014–Just saw some Citizen TV interviews with a certain IT expert who calls himself Sir Neo Roggi Joseph Rogern Branson. No kidding, that is his real name and the shit things that come out his mouth are just as ridiculous as his name if not more.

Sir Neo claims to be a G8+ endorsed cryptographer under the Global Intelligence, Surveillance and Tactical (GIST). He also apparently has his own company, Ultimate Global Technology Authorite, which does not exist on Google search or any other kind of search (in fact it seems the only place this so called company of his exists is in his mind) which already puts doubts on his story and his expertise.

What is more disturbing is how someone whose credentials are mythical could have got so much media coverage. He has appeared on Citizen TV severally, the East and Central African Business Mirror and has also apparently been covered by the Washington Post (a story which cannot be found).

View attachment 1732544



Huyu jamaa anaonekana ni mjanja sana, na mhuni wa kupindukia. He is very smart by the way. Anwani yake ya twitter iko vizuri sana kudanganya watu wengi.

Kwa hiyo ni kazi kwetu kuamini chanzo hicho. Je mkenya mwingine amepotosha serikali kama ilivyokuwa kwenye korosho?

Chumba chake cha habari

View attachment 1732546

Jamaa mwenyewe anayejiita Sir Neo Branson

View attachment 1732548

Chanzo:
Kwa msaada wa Twitter.Com na Google.Com
Shubamit wahed nyie pisi kali mataga mnafikiria uwongo wenu unawasaidia lolote,heri ngekua mnapata pesa kwa kusema uwongo.. mataga ni zero brain
Screenshot_20210323-201601_Twitter.jpeg
 
Hadithi za elfulela ulela , PM wenu aliwazihesabu hao watu ? Au ndio promo naona kitengo wanastahili pongezi kwa kuhakikisha marehemu Jiwe anapewa sifa nzuri tu tofauti na alivyokuwa enzi za uhai wake .
 
Maelezo marefu na attachments nyingi,sijajua lengo lako au unamuonea wivu maiti?

Huo muda wa kufanya(kuandika) hivi ungefanya hata kitu cha maana juu ya maisha yako muda si mrefu ungepiga hatua.

Watanzania kwa vitu vya kijinga jinga, sijui nani katuroga.
 
Kwanza, hiyo ni namba ndogo sana. Msiba huo umeangaliwa na zaidi ya b5. Pitia video zote za U-tube zinazohusu msiba huoa (ingawa kuna watazamaji wanaorudia) halafu fuatailia viewership ya vyombo vyote vya habari duniani ambavyo vilitangaza na kufuatilia msiba wa Magufuli; jumla yake haipundui 5b.
Wewe mzee tangu uliposema umeongea na majaliwa ambaye ni classmate wako amekuhakikishia kuwa Rais yuko salama na anachapa kazi unadhani kuna mtu atakuamini tena humu?

Population ya dunia ni watu wangapi, tuondoe watoto na wasio na access na Tv na internet, achilia mbali wasioifahamu Tz na Magufuli.
 
Ni aibu sana kwa Waziri Mkuu kulitangazia Taifa takwimu za UONGO ambazo hana uthibitisho nazo na hakuhakikisha anatumia vyanzo sahihi kupata ukweli. Mtu kama huyu si anaweza kuliingiza Taifa kwenye maafa makubwa kutokana na taarifa feki za mitaani.
 
Wewe mzee tangu uliposema umeongea na majaliwa ambaye ni classmate wako amekuhakikishia kuwa Rais yuko salama na anachapa kazi unadhani kuna mtu atakuamini tena humu?

Population ya dunia ni watu wangapi, tuondoe watoto na wasio na access na Tv na internet, achilia mbali wasioifahamu Tz na Magufuli.
Toa na wale ambao upande wao wa dunia ilikuwa usiku mnene.
 
Wewe mzee tangu uliposema umeongea na majaliwa ambaye ni classmate wako amekuhakikishia kuwa Rais yuko salama na anachapa kazi unadhani kuna mtu atakuamini tena humu?

Population ya dunia ni watu wangapi, tuondoe watoto na wasio na access na Tv na internet, achilia mbali wasioifahamu Tz na Magufuli.
Wame jumlisha na watu wa sayari ya Mars! We nani adi upinge unaijua V8 wewe?
 
Acha kumdharau Mungu wewe.
Sane, he can't talk about his life where he's going Since I don't have that limit, and whoever knows about his life where he's going, it's just God, now who are you again about God's decision

And that's why when I say you're stupid, I mean
 
Mie sielewi...kwani hata kama wametazama dunia nzima au watu 5k kwan kipi cha ajabu?.. hebu jaman mambo mengine tuyaache yapite...hayana logic kbs...au la mnataka kuweka kwenye guinness
Fikiria mkuu wewe umekuwa na akili kubwa kumzidi PM wetu,hongera sana
 
Kwa hiyo ni kama Deo Kisandu wa Kenya? PM ndiyo alipata takwimu huko! Si tulikubaliana takwimu zitoke NBS?
Ulikubaliana na Nani?takwimu zote zinazowafurahisha viongozi NA KUWANYANYUA KISIASA hazina haja ya kutoka NBS...YOYOTE TU ANAWEZA ZIPIKA..[emoji16][emoji16]
 
Mara baada ya Waziri mkuu msitaafu Edward Lowasa kujiunga na kuinunua CHADEMA ili awe mgombea Urais mwaka 2015 , kitu cha kwanza kabisa alipokabidhiwa tu chama alipiga marufuku siasa za kiharakati na kushauri siasa hizo hazina tija kwa sasa. Edward Lowasa alionya kuwa CHADEMA lazima igraduate kutoka chama cha kiharakati hadi kuwa chama cha siasa sasa.

Edward Lowasa alifafanua madhara ya chama kubaki cha kiharakati muda wote kuwa ni pamoja na kupinga maendeleo yote ya nchi ,kuombea mabaya nchi ,kushirikiana na mabeberu ili kuiibia nchi ,pamoja na kushangilia kila lililobaya kwa taifa ili kumfurahisha tu anayefadhili hizo harakati zako. Matokeo ya harakati hizi ni chama kuchukiwa na wazalendo na kupoteza ushawishi kwa wananchi.
Hakika Lowasa aliona mbali. Leo brand ya CHADEMA imeharibiwa vibaya, chama kilichojizolea umarufu kwa kutetea wanyonge leo kinataka machinga na mama ntilie wafukuzwe mitaani!!! Leo ni furaha kubwa kwa CHADEMA ndege kukamatwa na wazungu!!!

Pia tangu tarehe 17 mwezi march Tanzania imekumbwa na simanzi isiyo na kifani mara baada ya kutangazwa kwa kifo cha Rais Magufuli.
Mamilioni ya watanzania wameangua kilio kila kona kwamba sasa mwokozi wao ameondoka, cha kushitusha ni kwamba wananchi wa hali ya chini kabisa ndiyo wanaoongoza kwa kilio kinyume na tulivyokuwa tumeaminishwa kwamba Magufuli alikuwa ananyonga wanyonge!
Kitendo cha hayati Rais Magufuli kuagwa na mamilioni ya watanzania huku wakiangua vilio njia nzima na kutandika kanga zao chini ili mwili upite imeenda kinyume kabisa na wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lissu na genge lake.

Kwa jinsi msiba huu unavyoenda naamini utakuwa darasa tosha kwa wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lissu ,Godbless Lema, Chahali, Ngurumo, Mange Kimambi na wengine wengi, sasa wataelewa kumbe watanzania siyo vilaza.
Wataelewa kumbe watanzania wanajua yupi anapigania haki zao kwa vitendo na ni yupi ni mpiga makelele nyuma ya keyboard.

Kwa mapenzi haya yanayoonyeshwa na Watanzania kwenye msiba huu ni lofa tu atakayeendelea kuamini kwamba eti Tundu Lisu aliibiwa kura kwenye uchaguzi mkuu uliopita.

Wito wangu kwa wasaliti wa nchi hii wanaoshangilia msiba kwamba sasa Magufuli ameondoka watarudi Tanzania na kuanza tena kutumika kuiba rasilimali za nchi hii kama walivyokuwa wanafanya huko nyuma wajue tu kwamba wanapoteza muda.
Watanzania siyo vilaza ,wanajua fika Tundu Lisu aliwatisha kwamba watashitakiwa MIGA ikiwa watabadili sheria za madini.
Tundu Lisu aelewe kuwa hawezi kuwa rais wa Tanzania kwa kushinda Twitter akikejeli kila lililojema kuhusu nchi yetu,
Tundu Lisu kupitia msiba huu atakuwa ameelewa na kupata darasa kwamba ukitaka kupendwa na Watanzania tumikia watanzania na siyo kutumikia Acacia
Katika uchaguzi mkuu uliopita
Ccm kiliwakodi vijana wanaojua kusoma na kuandika kwenda kupiga kura za ndio kwa reisi magufuli siku mbili kabla ya uchaguzi ( ushahidi ndugu yangu alishiriki zoezi hilo ofisi ya ccm kinondoni) waliahidiwa kupewa 5000 na hawakupewa mpaka leo.
Wasimamizi wakuu wa Vituo walifungua Vituo saa 9 usiku. Huko ndani walipiga Kira za ndiyo kwa magufuli. Waliambiwa na TISS na wakurugenzi wasiogope chochote.
We aka endlea kuamini kwamba watanzania wanaipenda ccm.
Unaowaita wasaliti na wanashiriana na mabeberu Sioux waliosaini mikataba ya BUZWAGI. EPA NA KAGODA . HAOHAO UNAOWAITA WATAKATIFU LEO.
Waliuza numbs za umma kwa mahawala zao kuna kajala wa kebys
 
Back
Top Bottom