Ukweli Kuhusu Idadi ya watu 3.9B kuangalia msiba wa Rais Dkt. Magufuli

Ukweli Kuhusu Idadi ya watu 3.9B kuangalia msiba wa Rais Dkt. Magufuli

Umejiunga juzi jumamosi kuja kuleta propaganda za kizee ili kumtetea dhalimu, wenzako hii kazi imewashinda maana dhalimu hafai kutetea. Kwa taarifa yako huu ni mwisho wa siasa za kidhalimu ndani ya nchi hii, kama ulikuwa haujafanikiwa kwa wale uliotumwa kuwateka ama kuwaua, basi ujue boss wenu kaondoka, hivyo tafuta kazi nyingine ya halali maana mwisho wa ubaya ni aibu.
Huna akili jibu mada husika acha story za kishamba.
 
Huna akili jibu mada husika acha story za kishamba.

Huku jf ni kama mchezo wa wrestling, unapigwa na viti, ngumi, mateke nk, hamna formula, ni kisago tu ww mtu asiyejulikana.
 
Mtu aliyekuwa akifuatiliwa hotuba zake na viongozi wote duniani, hasa hasa mwanzoni kabisa mwa gonjwa Tata la Corona, Dunia nzima ilianza kufuatilia hotuba zake, hiyo ilimpaisha na kujulikana Kwa Kasi duniani kote!!

Halafu mtu aone ajabu Kwa tukio hili la kuagwa kwake kufuatiliwa na takribani ya nusu ya watu wote duniani???

Kwa jinsi alivyompaisha mpinzani wake Mh Lissu Kwa kumsema vibaya Jembe bila hata ya chembe ya ushahidi wa matukio alokuwa akimshitaki kwenye midia zote kubwa za duniani, lipi la ajabu Kwa Dunia kufuatilia tukio lake hili la kutoweka Duniani

Kwa jinsi alivyopingana na shirika kubwa kabisa duniani, WHO kuhusu Chanjo ya Corona na namna ya kudili na maambukizi yake,

Namna alivyowashughurikia Kampuni kubwa kubwa za kibeberu kuhusu mikataba ya madini na usafirishaji wa mchanga wa madini, eti asiwe kivutio Kwa Dunia???

Msiwe wajinga basi wajameni!!
Corona akamfanyaje mwisho wa siku?
 
Kwanza, hiyo ni namba ndogo sana. Msiba huo umeangaliwa na zaidi ya b5. Pitia video zote za U-tube zinazohusu msiba huoa (ingawa kuna watazamaji wanaorudia) halafu fuatailia viewership ya vyombo vyote vya habari duniani ambavyo vilitangaza na kufuatilia msiba wa Magufuli; jumla yake haipundui 5b.
Taga Pslmp kakupa like mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtu aliyekuwa akifuatiliwa hotuba zake na viongozi wote duniani, hasa hasa mwanzoni kabisa mwa gonjwa Tata la Corona, Dunia nzima ilianza kufuatilia hotuba zake, hiyo ilimpaisha na kujulikana Kwa Kasi duniani kote!!

Halafu mtu aone ajabu Kwa tukio hili la kuagwa kwake kufuatiliwa na takribani ya nusu ya watu wote duniani???

Kwa jinsi alivyompaisha mpinzani wake Mh Lissu Kwa kumsema vibaya Jembe bila hata ya chembe ya ushahidi wa matukio alokuwa akimshitaki kwenye midia zote kubwa za duniani, lipi la ajabu Kwa Dunia kufuatilia tukio lake hili la kutoweka Duniani

Kwa jinsi alivyopingana na shirika kubwa kabisa duniani, WHO kuhusu Chanjo ya Corona na namna ya kudili na maambukizi yake,

Namna alivyowashughurikia Kampuni kubwa kubwa za kibeberu kuhusu mikataba ya madini na usafirishaji wa mchanga wa madini, eti asiwe kivutio Kwa Dunia???

Msiwe wajinga basi wajameni!!
Tatizo siyo kushuhudiwa,bali takwimu.kwamba nusu ya dunia iliacha shughuli kuelekea uwanja wa Uhuru.Si kweli.
 
Apo bado wame mpunja au kwavile hawezi kuongea muda huu!?
Kwenye project alizo fanya hamjaweka uwanja wa ndege Chato au mnataka kuuza huo uwanja jamani jamani au mnafikiri hatuijui kwa upo!?
Kuna watu wanadanganywa kirahisi sana! Mazishi ya Diana, the princes of Wales yalitazamwa na watu bilioni mbili tena kutoka familia ya kifalme na Nchi inayo julikana Dunia nzima, sembuse Magufuli? Ameagwa live na watu wangapi? Acheni mchezo....! Hata ufunguzi Wa michezo maarufu Duniani ya olympic haijawahi fikia idadi hiyo.
 
Wakiwadanganya wazee wetu sana hawa viumbe matanga
 
Apo bado wame mpunja au kwavile hawezi kuongea muda huu!?
Kwenye project alizo fanya hamjaweka uwanja wa ndege Chato au mnataka kuuza huo uwanja jamani jamani au mnafikiri hatuijui kwa upo!?
Uwanja wa chato sasa unaenda kuwa pori na machungio ya ng’ombe kama ule uwanja wa marehemu mabutu wa zaire congo
 
Uwanja wa chato sasa unaenda kuwa pori na machungio ya ng’ombe kama ule uwanja wa marehemu mabutu wa zaire congo
Bila kuwa na katiba imara na tasisi imara itakayo simamia katiba basi hii Nchi bado itakuja kulipuka maana kila kiongozi ana vizia apate nafasi afanye analoweza kwa utashi wake na sio kwa kufuata katiba!
 
Maja ni mzigo.Yaani Jiwe yuko taabani,Yeye anatuambia tusiwe na wasiwasi anapiga kazi!
Hii kitu ikiitafakari kwa kiina vizuri inapelekea hata kutaka mwili wa Marehemu ufanyiwe uchunguzi upya na madaktari wa CIA FBI kubaini alikufa lini na kwa Tatizo lipi hasa maana minong’ono ni mingi licha ya kudai ni Ugonjwa wa moyo, Tanzania ni Nchi ya Amani ndiyo maana hakuna wa kuhoji uchunguzi wa kifo wala maandamano ya Amani. tukubali matokeo azikwe kwa Amani lakini siku zingine tujifunze kufanya uchunguzi kabla ya kuzika.
 
Bila kuwa na katiba imara na tasisi imara itakayo simamia katiba basi hii Nchi bado itakuja kulipuka maana kila kiongozi ana vizia apate nafasi afanye analoweza kwa utashi wake na sio kwa kufuata katiba!
Katiba mpya ije na kipengele cha kumlazimisha Rais mteule aishi na kuhamishia ndugu zake makao makuu ya Nchi kuepukana na Tabia za marais kwenda kupendelea vijijini kwao kama ilivyokuwa kwa marehemu mabutu wa zaire
 
Mie sielewi...kwani hata kama wametazama dunia nzima au watu 5k kwan kipi cha ajabu?.. hebu jaman mambo mengine tuyaache yapite...hayana logic kbs...au la mnataka kuweka kwenye guinness
Hatuwezi kuyaacha yapite hasa yanapotoka kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye anatajwa tajwa kuwa anaweza kuwa Makamu wa Rais.

Ila nilikwishandika sana huko nyuma kuwa Kassim Majaliwa hayuko smart kichwani. Amekwisha danganywa vitu vingi sana na amekuwa anakurupuka kwenye vyombo vya habari bila kuvifanyia kazi kama ile ya Faru John
 
CCM ni wazee wa fix balaa, kwanza kitendo cha kificha kwamba Mh. Rais Alikuwa anauwa ni cha aibu!! Ila mshipa wa aibu ushakatikaga....sasa badala ya kutujibu kwa nini hawakumuwahisha kwenye matibabu ya maana nje ya nchi mapema tu baada ya dalili za kifua kuanza kusumbua wao wana promote chama chao kupitia msiba.

CCM Mungu atawapa adhabu nyingime nyie!!
Hii ni hoja muhimu sana lakini hakuna mwana CCM anaweza kukujibu hii zaidi ya kuongea maneno yasiyo na uhusiano wa haya mapungufu waliyoyaonyesha, acha tuzike kisha tumuachie mungu ataamua cha kufanya mwenyewe
 
Sio muongo muongo yaani Majaliwa ni MUONGO KUPITILIZA alafu hadi msikitini anadanganya wala hana hofu.

Kuna watu wamelambaga mizizi ya mibuyu 😂
Huu mjadala ni mzito na watanzania wakitaka kuuvalia njuga utaleta tafrani Kubwa tuvumilie azikwe kwa Amani kwanza baadae huko mbeleni vyama vya upinzani vitahoji mapungufu yote tokea kuumwa kwa kificho mpaka kufariki kwa kificho
 
Back
Top Bottom