Ukweli kuhusu Jacqueline Ntuyabaliwe

Wazambia na Wamalawi hawana ujinga huo....warwanda na Waburundi wanatutafuta ni muda muafaka kuwachukia hadharani la sivyo watatutawala milele
Kivipi?? Warwanda na warundi wawatawale Watz?? Wewe utakua na inferiority complex tu, mie ninachoona ni watz ndio wanawatawala maana bila bandari ya Dar huko ni njaa.
Ninachokiona hapa kwako ni chuki za wazi kwa warwanda na warundi hamna kingine cha zaidi.
 
Siku hizi kuna google wajameni, kama unataka kufahamu kuhusu jambo, kitu au mtu fulani maarufu, just google it. lakini ukitegemea Shigongo akupe info za watu utabaki na maruweruwe tu.
GOOGLE IS LIMITED..wanakupa results kama inawalipa wao...ndo maana HTATA TRUMP KAWASEMA NA AMESHAANZA KUWASHUGHULIKIA....kwamba wanaminya taarifa zake, za upinzani ndo wanaachia!!!!....Whitehouse imeanza na Google, Twitter, Fb na Insta....lazima tuheshimiane....PIA JIFUNZE KIDOGO MAMBO...google sio baba wala mama yako.
 
Acha majungu wewe mtoto wa kiume!

Mjiite sisi! Wao shombeshombe sisi weusi! Ujinga mtupu. Mtanzania ni mtanzania tu regardless of his/her ancestors.
Utanzania kwanza, rangi, ukabila, ukoo, urefu, ufupi, udini tupa kule....
Maadamu hicho kibinti kilizaliwa ndani ya ardhi ya Tanzania basi ni kitanzania bila kuchokonoa baba, babu au mume wake ni nani. Sisi inatuhusu nini?
Tunaunganishwa na ubinadamu wetu. Basi.
 


Trump hana ubavu wa kuwashughulikia Google, Twitter wala CNN, we unafikiri Marekani ni Tanzania ya Magufuli? Halafu hiyo sentesi yako ya mwisho soma vizuri, ukiielewe naomba na mimi unipe ufafanuzi.
 
hata nkapa kwake nchumbiji
can u prove, kabila la mkapa linaitwa makua kwa Tz na Msumbiji ni Metu wakiongea wanelewana karibia 80% na hii ipo kwa makabila yote yaliyopo mpakani. usitumie kigezo kuwa mpakani ndo iwe tiketi ya kumtoa uraia
 
Tafuteni pesa kujificha nyuma ya keypads za simu na kuanza kuhoji uraia wa mtu haikusaidii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…