Ukweli kuhusu Kanisa Katoliki kuanzisha Dini ya Kiislamu

Yesu hakuacha mtindo wa Rozali, hakuacha masanamu na misingi ya dini ya ukatoliki hakuacha Yesu, hakuacha miungu watu kuabudiwa.

Turudi kwenye mstari KUONGOZWA na Roho mtakatifu.
Yesu hakuacha wapayukaji, wasengenyaji, Yesu hakuacha ata bibilia kwa taarifa yako, Yesu aliacha Roho mtakatifu, mwalimu wa kanisa, wakristo wa mwanzo wanamisingi yote iliyopo katoliki, hiyo rosary ni bibilia tupu, sanamu hazijakatazwa, ila yumekatazwa kuzipa uhai, asingemwambia Musa akatengeneze sanamu ya nyoka au kina suleiman kutengeneza sanamu, hamsomi bibilia wala historia ya kanisa mnakurupuka tu. Hatufanyi kinyume na Mungu, yani mnavodhani mnatujua kumbe tunawachora tu na umuch know wenu, hamjui lolote.
 
Yesu hakuacha mtindo wa Rozali, hakuacha masanamu na misingi ya dini ya ukatoliki hakuacha Yesu, hakuacha miungu watu kuabudiwa.

Turudi kwenye mstari KUONGOZWA na Roho mtakatifu.
hiyo biblia unayosoma imetunzwa na wakatoliki pole.
 
Ndo nini hiko? 🤣 🤣 Hapo ndo kasema mjikutekute disorganized kanisa la hewani, acheni hizo, asinge mpa petro mamlaka, yani Yesu aliacha visible structure. Hio nukuu mmeielewa kwa mnavotaka.
 
Kwani uisilamu umeanzishwa mwaka gani?
 
Hebu tuletee na ujinga uliopo katika biblia, mbona unagusa upande mmoja tu ndugu.

Nianze na hizi aya mbili, tuletee zingine tafadhali:

Kutoka 35:3
Hamtawasha moto katika nyumba zenu kwa siku ya Sabato.

Kumbukumbu la Torati 22:10
Usilime kwa ng’ombe na punda wakikokota jembe pamoja.

Najua unafikria sasa, mimi ni dini gani?


Malizia hoja na Yesu akiwaonya mafarisayo:
Mathayo 23:25 - 28
Ole wenu waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mnasafisha nje ya kikombe na chano, na ndani yake vimejaa unyang’anyi na kutokuwa na kiasi.
Ewe Farisayo kipofu, safisha kwanza ndani ya kikombe, ili nje yake nayo ipate kuwa safi.
Ole wenu, waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mmefanana na makaburi yaliyopakwa chokaa, nayo kwa nje yaonekana kuwa mazuri, bali ndani yamejaa mifupa ya wafu, na uchafu wote.
Vivyo hivyo ninyi nanyi, kwa nje mwaonekana na watu kuwa wenye haki, bali ndani mmejaa unafiki na maasi.
 
Kanisa katoliki haliwezi kufanya ujinga huo wa kuanzisha hiyo dini ya kiislamu ya mashetani,hizo ni stori za kutunga tu za kuchafua kanisa katoliki.
 


MIMI SIPO HIVYO.

DINI YAKO HAITANISAIDIA MIMI KITU CHOCHOTE.

BY THE WAY SIJUI HATA MAANA YA NENO LENYEWE.
 
Unalalamika nimegugo duh

Neno Kanisa ,asili yake Ni kiyunani

Sasa nenda kagugo maana ya neno Kanisa ,acha kulalamika

neno Kanisa linamaanisha "mkusanyiko wa waamini" kama ule wa Waisraeli chini ya Musa kwenye mlima Sinai walipopewa Amri za Mungu.



Neno hilohilo lilitumiwa na Wakristo wa kwanza kwa ajili yao wenyewe kusema wameshika nafasi ya Israeli kama taifa la Mungu hata wasipokuwa Wayahudi bali watu wa mataifa mengine.



Watu wengi siku hizi wanaelewa kanisa kumaanisha jengo. Huku si kuelewa kibibilia maan ya kanisa.
 
Ndo nini hiko? [emoji1787] [emoji1787] Hapo ndo kasema mjikutekute disorganized kanisa la hewani, acheni hizo, asinge mpa petro mamlaka, yani Yesu aliacha visible structure. Hio nukuu mmeielewa kwa mnavotaka.
Petro hajawahi kuwa Papa Kama mnavyodanganywa

Kwanza unajua Petro alioa

Mapapa Leo wanaoa?

Toka nje ya box
 
Kanisa katoliki haliwezi kufanya ujinga huo wa kuanzisha hiyo dini ya kiislamu ya mashetani,hizo ni stori za kutunga tu za kuchafua kanisa katoliki.
Kanisa katoliki limeweka mafundisho potofu mengi duniani ,unashangaa Nini KUANZISHA Uislamu?


Ili kuiteka Jerusalemu ilibidi waunde dini bandia ,ndipo unamkuta Muhammad sasa
 
HAKUNA MWARABU HATA MMOJA ALIYEWAHI KUWA MWISLAMU KABLA YA MUHAMMAD USHAHID HUU HAPA


QURAN 34:44

QURAN 43:21~22,

QURAN 51:52,

QURAN 3:164 NA QURAN 62:2
Ndio ujuwe uislamu ni dini ya Mwenyezi Mungu,muumba mbingu na nchi,na vilivyomo,uislamu sio dini ya muarabu,yeye pia kaletewa.
 
Wewe umekuja kutukana tuu toka mwanzo humu huna hoja sisi hatuamini biblia ila tunaamini torati,zaburi na Injili sasa iweje useme hatuamini vitabu vilivyotangulia wew ni mjinga +++

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Kanisa katoliki haliwezi kufanya ujinga huo wa kuanzisha hiyo dini ya kiislamu ya mashetani,hizo ni stori za kutunga tu za kuchafua kanisa katoliki.


Kaka wewe ni Rafiki yangu sana Huo NDIO ukweli VATCAN ILIANZISHA UISLAMU.

1. VATCAN imebadili siku ya kuabudu sabato.

2. VATCAN imeleta lozali na sanamu.

3. VATCAN IMETOA AMRI ya Mungu Usiabudu sanamu.

4. VATCAN imeleta Rozali.

5. MAPADRI wwanajitangaza Ushoga, papa anaunga mkono.

6.Kulawitinwatoto wadogo.

7.vatcan mbioni kuanzisha DINI Moja ya Dunia nzima
 
Ndio ujuwe uislamu ni dini ya Mwenyezi Mungu,muumba mbingu na nchi,na vilivyomo,uislamu sio dini ya muarabu,yeye pia kaletewa.


WANACHONISHANGAZA HAWAJUI KUWA QURAN INASEMA NITAWAZAENI HAPA DUNIANI NA NITAWAPOTEZA WOTE.

QURAN 15:39 - Akasema: Mola wangu Mlezi! Ilivyo kuwa umenitia makosani, basi nahakikisha nitawazaini hapa duniani na nitawapoteza wote


INSHORT YEYE ASIYE MPOKEA YESU KRISTO ATAPOKEA BIKRA NA MITO YA POMBE HUKO KUZIMU.

SHETANI AMESEMA ATAWAPOTEZA WAISLAMU WOTE.
 
Endeleeni kuhangaika na uislamu mpaka mtachoka! Kibaya zaidi mods wanaziachia airtime
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…