Ukweli kuhusu Kanisa Katoliki kuanzisha Dini ya Kiislamu

Ukweli kuhusu Kanisa Katoliki kuanzisha Dini ya Kiislamu

Ni ukweli ulio wazi UKATOLIKI NDIO UMEANZISHA Uislamu

kanisa katoliki hujifanya kuamini Biblia, lakini wanafundisha mapokeo yasiyo ya kibiblia. Kwa sababu Ukatoliki ni roho ileile na Uislamu, hii ndiyo sababu waislamu pia haiwaikanushi Biblia kwamba sio kitabu cha Mungu, badala yake nao wanajifanya kuiamini Biblia, lakini wanafundisha madogima ya kanisa katoliki kama yalivyoandikwa kwenye korani ambayo yanapingana vikali na hayopo kwenye Biblia wanayojidai kuiamini. Je unaweza kuniambia ni kwanini wote wakatoliki na waislamu hawaikatai Biblia, bali wanajifanya kuamini Biblia, lakini wanafundisha madogima ya korani? Ni kwa sababu shetani anapenda kuchanganya uongo na ukweli, ili kuteka roho za watu, anajua kama akiitofautisha Biblia kutoka kwenye korani uongo wake utakuwa wazi. Hii ndiyo njia anayotumia kupofusha roho nyingi kwa kuchanganya ukweli na uongo.
Bila kuweka hizo unazoziita dogma.
Hoja yako ni Non-sense
 
983cf0743b830e5535d5fddd1b0b2ee5.jpg
 
Ona waislamu wanawake huvaa kama masister
Wanafunga kwaresma au ramadhani
Wote wanavaa kanzu na uvumba upo
Wote wanapigania dini zao na kufa kama mashahidi
Wote wanaotumia tasibihi
Wote wanaombea wafu waende peponi
Wote dini zao zinamchanganyiko na upagani

Wafuasi wapya wanatiwa maji kichwani
 
Wasabato wako friendly na uislamu kuliko na Raman Catholic kwanini, msabato anakwambia bora mara 10 kua na jirani muislamu kuliko kua na jirani RC, kwanini wafuasi wa kristo hapendani kiasi hicho.
Roman Catholic wao wanasemaje?
 
Wakatoliki ndio walioanzisha Uislamu Ili kuwaweka waarabu ndani ya utawala mmoja wa kiimani, kabla waarabu walikuwa wakiabudu miungu yao mbalimbali kupitia masanamu Ili iwe rahisi kuwatawala, Majasusi wa Shirika la Jesuit vatican wakaanzisha dini mpya itwayo islam,itakayowaunganisha waarabu wote kiimani mwaka 600 BC. Mapadre watano wa kikatoliki ndio walioandika kitabu cha Quran na kumtafuta mwanamke mfanyabiashara aitwae Bi Hadija na kumpa utajiri. Bi khadija ndie alimtafuta kijana aitwae Muhammad akamkabidhi kwa mapadre wa kikatoliki ndio waliomfunza Quran mapangoni.Ndipo Uislamu ukaenea kwa kasi Sana Katika nchi za kiarabu ambazo zamani zilikuwa ni nchi za Kikristo ukavuka mpaka na kutaka kuingia nchi za Ulaya mashariki kutokea Uturuki Ili kwenda kuiteka Vatican, Majasusi wa Jesuit wakaingia tena vitani wakarudisha nyuma kupitia vita vya msalaba waarabu wakala Sana panga toka vatican wakarudi nyuma, rejea vita vya msalaba na ottoman empire. Majuzi magaidi wa ISIS tokea iraq wakataka kuendeleza mpango ulioshindwa wa ottoman empire kuupenyesha utawala wa kiislamu Ulaya. Wakasambaratishwa na USA na NATO na kumuua Al baghad kiongozi wa ISIS. Huku kundi la ISIL tawi la ISIS Syria likipelekwa kuzimu na ndege za Putin.
Dini zote uzionazo duniani ni tawi la ukatoliki, maprostetant wote ni watoto wa katoliki.
Ukristo wa ukweli ni upi sasa?
Pentecostal au orthodox
 
Mi nikisomaga mada kama hizi huwa najikuta naamini kwamba mwisho wa dunia wanadamu wote tutaenda peponi. Kwa sababu mtoto anazaliwa anakuta wazazi wake ni waislam lazima na yeye ataanza kuamini katika uislam na mwingine anazaliwa anakuta wazazi wake ni wakristo naye analazimika kuwa mkristo..

Sisi tuliopo sasahivi hapa duniani tumekuta tayari mavitabu haya yameshaandikwa na si rahisi kujua maneno yapi ni ya Mungu na yapi ni ya shetani. Sioni kosa mtu kuamini katika uislam au ukristo kwa sababu dini tunarithi tu.

Mungu mwenyewe ameruhusu shetani nae awe na nguvu ya kuanzisha dini yake, na shetani ana nguvu kuliko mwanadamu... mwanadamu kumfata shetani ni rahisi sana kwa sababu ya nguvu za huyu shetani.

Ikitokea ikawa kweli kuna mambo ya kwenda peponi basi watu wote wataingia haijalishi we ni wa dini gani.
 
Nikweli hata mapadree wanajua hivyo ila wanachosema ni kwamba lengo la papa ilikuwa kutumia uislamu kuvuruga adui zake then aumalize, sasa lengo la kuvuruga adui zake likafanikiwa, alivyotaka kuumaliza akashindwa.

Kinyago kikaanza kumtisha mchongaji. Dini nyingi ni ushenzi wa wazungu na waarabu.
Upo sahihi, Uislamu ulitaka kudinda kwa Ukatoliki

Sema Catholic Ni hatari Sana ,kwasasa Uislamu umewekwa mfukoni

"Papa aligundua kuwa walichokuwa wameunda kilikuwa nje ya udhibiti aliposikia wanamwita kafiri.

Majenerali wa Kiislamu walikuwa wamedhamiria kuuteka ulimwengu kwa ajili ya Mwenyezi Mungu na sasa walielekea Ulaya. Mabalozi wa Kiislamu walimwendea papa na kumuuliza. kwa mafahali wa papa kuwapa kibali cha kuvamia nchi za Ulaya.

"Vatikani ilikasirishwa; vita haikuepukika. Uwezo wa muda na udhibiti wa ulimwengu ulizingatiwa kuwa haki ya msingi ya papa. Hangefikiria kuishiriki na wale aliowaona kuwa wapagani.

"Papa aliinua majeshi yake na kuviita vita vya msalaba ili kuwazuia watoto wa Ishmaeli kunyakua Ulaya ya Kikatoliki. Vita vya msalaba vilidumu kwa karne nyingi na Yerusalemu ilitoka mikononi mwa papa.

"Uturuki ilianguka na Uhispania na Ureno zilivamiwa na vikosi vya Kiislam. Huko Ureno, waliita kijiji cha mlimani "Fatima" kwa heshima ya binti wa Muhammad, bila kuota kwamba kingekuwa maarufu ulimwenguni.
 
Mi nikisomaga mada kama hizi huwa najikuta naamini kwamba mwisho wa dunia wanadamu wote tutaenda peponi. Kwa sababu mtoto anazaliwa anakuta wazazi wake ni waislam lazima na yeye ataanza kuamini katika uislam na mwingine anazaliwa anakuta wazazi wake ni wakristo naye analazimika kuwa mkristo..

Sisi tuliopo sasahivi hapa duniani tumekuta tayari mavitabu haya yameshaandikwa na si rahisi kujua maneno yapi ni ya Mungu na yapi ni ya shetani. Sioni kosa mtu kuamini katika uislam au ukristo kwa sababu dini tunarithi tu.

Mungu mwenyewe ameruhusu shetani nae awe na nguvu ya kuanzisha dini yake, na shetani ana nguvu kuliko mwanadamu... mwanadamu kumfata shetani ni rahisi sana kwa sababu ya nguvu za huyu shetani.

Ikitokea ikawa kweli kuna mambo ya kwenda peponi basi watu wote wataingia haijalishi we ni wa dini gani.
Mungu amekupa Utashi wa kuchanganua

Wangapi wanazaliwa katika Uislamu Tena wa itikadi kali na mwisho wanampokea Yesu
 
Upo sahihi, Uislamu ulitaka kudinda kwa Ukatoliki

Sema Catholic Ni hatari Sana ,kwasasa Uislamu umewekwa mfukoni

"Papa aligundua kuwa walichokuwa wameunda kilikuwa nje ya udhibiti aliposikia wanamwita kafiri.

Majenerali wa Kiislamu walikuwa wamedhamiria kuuteka ulimwengu kwa ajili ya Mwenyezi Mungu na sasa walielekea Ulaya. Mabalozi wa Kiislamu walimwendea papa na kumuuliza. kwa mafahali wa papa kuwapa kibali cha kuvamia nchi za Ulaya.

"Vatikani ilikasirishwa; vita haikuepukika. Uwezo wa muda na udhibiti wa ulimwengu ulizingatiwa kuwa haki ya msingi ya papa. Hangefikiria kuishiriki na wale aliowaona kuwa wapagani.

"Papa aliinua majeshi yake na kuviita vita vya msalaba ili kuwazuia watoto wa Ishmaeli kunyakua Ulaya ya Kikatoliki. Vita vya msalaba vilidumu kwa karne nyingi na Yerusalemu ilitoka mikononi mwa papa.

"Uturuki ilianguka na Uhispania na Ureno zilivamiwa na vikosi vya Kiislam. Huko Ureno, waliita kijiji cha mlimani "Fatima" kwa heshima ya binti wa Muhammad, bila kuota kwamba kingekuwa maarufu ulimwenguni.
Nikweli wakatoliki wananguvu ndiyo maana baadhi ya mafundisho yake ya kipagani utayakuta kwa waprotestanti karibu wote mfano kitu kinachoitwa Utatu.
 
Mungu amekupa Utashi wa kuchanganua

Wangapi wanazaliwa katika Uislamu Tena wa itikadi kali na mwisho wanampokea Yesu
Sawa tuna utashi wa kuchanganua ila huu utashi hautoshi kabisa kuchanganua maswala ya dini. Ndio maana unakuta mtu anachanganua anafikia kuona uislam ni bora ila uchanganuaji wa mwingine anaona ukristo ndio sahihi. Hapo hawa watu watakuwa na kosa gani wakati uwezo wao wa kuchanganua umewatuma kuamini hivo?
 
Back
Top Bottom