"Ukweli" kuhusu kifo cha RPC Barlow ni huu hapa...


Maswali ni mengi wasitake kuvunga vunga;
1: Kikao cha harusi mpaka saa nane usiku, Vikao vya kamati za harusi huwa vikizidi sana ni saa 3usiku zaidi ya hapo ni zaidi ya mambo ya Harusi!
2: Kama Mwl. D. Moses alikuwa dada/ndugu yake, iweje mume wake/Bw. Shemeji wa Marehemu awe analalamika?
3: Ngunguli wenyewe wanadharau, iweje anakula mali za watu kisha unamrudisha mpaka getini nyumbani kwake?
Kamanda kama alikuwa anabofya kizenji mali za watu, atakuwa pamoja na "Sheikh Twain" jahunum!
 
Alikuwa hana uhusiano nzuri na JK. Tena aliwahi kuzuia mizigo ya JK
Under Riz1 control ikienda Uganda...."""""

Mtoa taarifa kasema jamaa alikuwa very strictly kwa kazi""" utiifu umemuua jamaa
!!!!!!!!

Jamani tujaribu kuwa serious kidogo - mambo ya utani wakati wa majonzi sio fresh hata kidogo - sijuhi kwa nini watu wanasahau kwamba JK licha ya kuwa RAIS, vile vile ni Commander in Chief! Swali ni je, ni commander gani wa Police/JWTZ worth his/her salt anaweza kuwa na ubavu wa kumfanyia insurbonation JK alafu akaendelea kubaki madarakani?

Kitu kingine, mkuu mbona Mh. JK ni mwenyeji wa Bwagamoyo - sasa ili la kusema mizigo yake iliwahi kuzuiwa kusafirishwa kwenda Uganda unamaanisha nini? JK anaposema/lalamika kwamba baadhi ya Watanzania tumegehuka na kuwa viwanda vya kuzalisha/kusema Uongo/uzushi atakuwa anakosea kweli?
 
Kuna polisi wengine wapo nje ya NChi wanaosoma ili waje waondoa hawa bila hata kuonana?
 
 
polisi ni vema kusema ukweli kwa kila lililotokea, na hii italifanya liwe na uaminifu na jamii
na hivi vikao vya harusi mpk saa 8 usiku vikome
pia hivi vyeo tuvitumiage vizuri maana eti kwa vile yy ni kamanda wa mkoa basi anafungulia watu asiye wajua kioo cha gari usiku. tuwe waoga regardless wa vyeo tulivyonavyo
 
schweren Scheiße hat den Ventilator zu schlagen! Er dachte, es ist ein Geheimnis unter der Sonne ... schade.
 
Wakati naendelea kuwacheki (kuwaangalia), kama nawafahamu ama lah, ghafla nikasikia mlio wa bunduki kisha wale watu wakakimbia. Nikaanza kuona damu nyingi zinamwagika chini”, alisema mtoto Keny.
Huyu dogo fiksi! Mbona mwili inasemekana ulikutwa chini ya gari la marehemu. Mbona haongelei hicho kipengele. Nahisi hata kama hao majambazi walikuwa ndani ya nyumba hatosema. Ile simu iliyopigwa halafu mtu anakuja kuuliwa getini. I can smell a rat here
Tukio jingine lilitokea miezi michache iliyopita, ni lile la mwanasiasa maarufu jijini hapa, Seni Manumbu aliyeuawa kwa kupigwa risasi za moto na watu wasiojulikana, wakati alipokuwa akifunguliwa geti ili aingie nyumbani kwake.
Wakilinganisha maganda ya risasi watapata kujua kama ni kundi lilelile kwasababu MODUS OPERANDI yao inafanana. Hilo linaweza kusaidia kujua dhamira ya mauaji. Inaweza ikawa ni kundi la kukodiwa au ni genge la majambazi ambalo linaona kama hao watu ni vikwazo kwao. Pia kutumiwa na wanasiasa
 
hahahahaha hiyo imenichekesha sana eti ''Ingekua mtu kila anapozini anatoka kitundu wengine mngekua kama neti humu''....Pia kuna mzee mmoja alisema alianza kuzini kabla ya uhuru na aliacha miaka ya karibuni,kwa hiyo akadai kama zingekuwa zile organ (Female Organs) zinabandikwa mwilini...yeye angekuwa nazo hadi kwenye nyayo za miguu na pangekosekana sehemu ya kuziweka zaidi.hahahah
 
spot on mkuu, hii inatia shaka sana - mark you! It was, well - past midnight kwa nini hakufuatana na mlinzi wake.

mbona povu tena mtoa mada anasema imekuwa ni kawida yake kumrudisha mida hiyo ya usiku, na kama ni uhusiano ni wa muda mrefu , na huyo demu unaambiwa ni wa mtu hivyo nina imani huyo mlinzi licha ya kutumika kama mlizi vilevile alikuwa anatumika kama kuwadi kwa hivyo swala la demu kuwa na namba ya mlinzi sio la kutilia shaka
 

mkuu inaelekea unajua mengi kuhusu kifo cha kamanda Barlow, unaonaje ukipeleka taarifa hizo kwa IGP Mwema
 
Wewe ungefaa kuwepo ndani ya CIA ya bongo...Naomba hii tamthilia ipewe jina ya THE NAKED TRUTH na wewe(JF Senior Expert Member) ukawa Director.
 
Mke wa mtu "Thumu"

Huyu kaaacha mkewe na watoto ndani ya nyumba na kuhangaika na kiburudisho kingine
Wakati mwanamke kaacha mmewe ndani na kwenda kuhangaika na Kamanda
Mungu tusaidie..
 
Mmmmh hapo mie bado kidogo, Polisi jamii bunduki wanaitoa wapi, na kama kulikuwa na mabishano kabla hata ya kufikia kunyang'anywa redio call lazma tayari mazingira yalishakuwa ya hatari kwa mtu yeyote hasa tena kwa kiongozi mkubwa wa mkoa kama huyo tena kwa kuzingatia nafasi yake ni wazi kwamba atakuwa na maadui wengi, hivyo ktk hali ya kawaida lazima mtu ashtuke kabla ya maamuzi ya hatari kama hayo yalofikiwa kutokea na pasina utata hii ilikuwa ni planned na hao wauaji walijipanga kwa ajili ya tukio hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…