Mtingaji
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 1,223
- 367
Hii inahusu majibu na revelations zilizoingia kwenye dish langu.
===========
-Kamanda Barlow alikuwa na mwanamke ndani ya gari wakiwa peke yao wawili
-Mwanamke si dada yake wala ndugu yake
-Lilikuwa gari la binafsi na Kamanda aliendesha mwenyewe.
-Walitoka kwenye kikao La Kairo Hotel na siyo Florida Hotel kama IGP alivyosema katika taarifa yake
-Walipofika Kitangiri, Kamanda aliamua kumpeleka yule mama ndani kwnye uchochoro badala ya kumwacha barabarani
-Si mara ya kwanza Kamanda kumpeleka mama yule eneo lile
-Walipoingia uchochoroni, waliwakuta the so called "polisi jamii" wakiwa kwenye doria
-Kamanda alishusha kioo na kuwauliza ni kina nani, na wao walimjibu kuwa ni polisi jamii.
-Aliwahoji kwa nini wamevaa mikanda ya polisi wakati waliishazuiwa
-Ulitokea ubishi kidogo
-Kamanda akainua redio call kuwaita vijana wake waje kuwakamata
-Polisi jamii wakamdaka kumnyanganya redio call hiyo na kumpiga risasi ya shingoni
-Wakamvuta na kumlaza chini ya uvungu wa gari
-Yule mama ndiye aliyemwita mlinzi wa RPC na kumwambia aje kumchukua "mzee" maana ameuawawa
-Mama anaisaidia polisi hata sasa.
MY Take:
-Jeshi la polisi linajaribu kusafisha hali ya hewa kwa kufanya damage control
-Mme wa mama yule amekuwa akilalamika kuwa analiwa mali yake
-Kuna uwezekano, polisi jamii walijua kamanda anakuja saa ile na yule mama, na walitekeleza maagizo waliyopewa
-Kuna other underlying issues ndani ya jeshi la polisi Mwanza
-Uchunguzi hautapata ushirikiano wa kutosha kwa sababu ya chuki kubwa kati ya jamii na jeshi hilo.
Maswali ni mengi wasitake kuvunga vunga;
1: Kikao cha harusi mpaka saa nane usiku, Vikao vya kamati za harusi huwa vikizidi sana ni saa 3usiku zaidi ya hapo ni zaidi ya mambo ya Harusi!
2: Kama Mwl. D. Moses alikuwa dada/ndugu yake, iweje mume wake/Bw. Shemeji wa Marehemu awe analalamika?
3: Ngunguli wenyewe wanadharau, iweje anakula mali za watu kisha unamrudisha mpaka getini nyumbani kwake?
Kamanda kama alikuwa anabofya kizenji mali za watu, atakuwa pamoja na "Sheikh Twain" jahunum!