Stori za mtaani hizi, we umepima? Wote wanaokufa siku hizi ni kwa ngoma peke yake? Magonjwa mengine hayaui?Kabla ya ngoma miaka ya sabini watu walikuwa hawafi?Ficha upuuzi wako usifiche busara zako. Hao wenye ngoma mbona leo hii ni kibao na wanaishi na kupiga mzigo kuliko wewe ''usiyejifahamu''.
Mod Tafadhali usiunganishe thread hii. Najua iko inayoripoti kifo, iko ya maswali.
Hii inahusu majibu na revelations zilizoingia kwenye dish langu.
===========
-Kamanda Barlow alikuwa na mwanamke ndani ya gari wakiwa peke yao wawili
-Mwanamke si dada yake wala ndugu yake
-Lilikuwa gari la binafsi na Kamanda aliendesha mwenyewe.
-Walitoka kwenye kikao La Kairo Hotel na siyo Florida Hotel kama IGP alivyosema katika taarifa yake
-Walipofika Kitangiri, Kamanda aliamua kumpeleka yule mama ndani kwnye uchochoro badala ya kumwacha barabarani
-Si mara ya kwanza Kamanda kumpeleka mama yule eneo lile
-Walipoingia uchochoroni, waliwakuta the so called "polisi jamii" wakiwa kwenye doria
-Kamanda alishusha kioo na kuwauliza ni kina nani, na wao walimjibu kuwa ni polisi jamii.
-Aliwahoji kwa nini wamevaa mikanda ya polisi wakati waliishazuiwa
-Ulitokea ubishi kidogo
-Kamanda akainua redio call kuwaita vijana wake waje kuwakamata
-Polisi jamii wakamdaka kumnyanganya redio call hiyo na kumpiga risasi ya shingoni
-Wakamvuta na kumlaza chini ya uvungu wa gari
-Yule mama ndiye aliyemwita mlinzi wa RPC na kumwambia aje kumchukua "mzee" maana ameuawawa
-Mama anaisaidia polisi hata sasa.
MY Take:
-Jeshi la polisi linajaribu kusafisha hali ya hewa kwa kufanya damage control
-Mme wa mama yule amekuwa akilalamika kuwa analiwa mali yake
-Kuna uwezekano, polisi jamii walijua kamanda anakuja saa ile na yule mama, na walitekeleza maagizo waliyopewa
-Kuna other underlying issues ndani ya jeshi la polisi Mwanza
-Uchunguzi hautapata ushirikiano wa kutosha kwa sababu ya chuki kubwa kati ya jamii na jeshi hilo.
Kwa cheo alichokuwa nacho huyu jamaa asingetakiwA kuwa nje usiku mwenyewe. Huu ni udhaifu wa kufikiri na kutoheshimu serikali iliyompa hayo madaraka. In short, he died in the midth of doing something fishy, most likely , as most of folks have speculated, chasing somebody's muwife
Umejaribu kutoa dadisi zako kuhusu tukio lakini hapo kwenye red usi-conclude kwamba Polisi hawatapata ushirikiano wa kiuchunguzi amini binadamu hatufanani kimawazo naamini jamii itatoa ushirikiano kuwanasa waliohusika.Hata hivyo si vema kuweka ushabiki kwenye masuala ya kifo hata kama kamanda alikuwa Polisi hawezi kukwepa kwani ndiyo majukumu yake na ndiyo kazi yake aliyoichagua kuifanya.Hivi unafikiri kuwa wewe utakuwa unasikia tu vifo vya wenzako?Mod Tafadhali usiunganishe thread hii. Najua iko inayoripoti kifo, iko ya maswali.
Hii inahusu majibu na revelations zilizoingia kwenye dish langu.
===========
-Kamanda Barlow alikuwa na mwanamke ndani ya gari wakiwa peke yao wawili
-Mwanamke si dada yake wala ndugu yake
-Lilikuwa gari la binafsi na Kamanda aliendesha mwenyewe.
-Walitoka kwenye kikao La Kairo Hotel na siyo Florida Hotel kama IGP alivyosema katika taarifa yake
-Walipofika Kitangiri, Kamanda aliamua kumpeleka yule mama ndani kwnye uchochoro badala ya kumwacha barabarani
-Si mara ya kwanza Kamanda kumpeleka mama yule eneo lile
-Walipoingia uchochoroni, waliwakuta the so called "polisi jamii" wakiwa kwenye doria
-Kamanda alishusha kioo na kuwauliza ni kina nani, na wao walimjibu kuwa ni polisi jamii.
-Aliwahoji kwa nini wamevaa mikanda ya polisi wakati waliishazuiwa
-Ulitokea ubishi kidogo
-Kamanda akainua redio call kuwaita vijana wake waje kuwakamata
-Polisi jamii wakamdaka kumnyanganya redio call hiyo na kumpiga risasi ya shingoni
-Wakamvuta na kumlaza chini ya uvungu wa gari
-Yule mama ndiye aliyemwita mlinzi wa RPC na kumwambia aje kumchukua "mzee" maana ameuawawa
-Mama anaisaidia polisi hata sasa.
MY Take:
-Jeshi la polisi linajaribu kusafisha hali ya hewa kwa kufanya damage control
-Mme wa mama yule amekuwa akilalamika kuwa analiwa mali yake
-Kuna uwezekano, polisi jamii walijua kamanda anakuja saa ile na yule mama, na walitekeleza maagizo waliyopewa
-Kuna other underlying issues ndani ya jeshi la polisi Mwanza
-Uchunguzi hautapata ushirikiano wa kutosha kwa sababu ya chuki kubwa kati ya jamii na jeshi hilo.
Hivi na wewe mbona unavamia tu bila kuuliza vizuri? Umejuaje ni story za mtaani kama si za kweli? Nyie ndiyo wale
ambao mtu anakufa kwa ukimwi mnaficha, weka wazi ili wengie wajihadhari na tupunguze waathirika w
apya? Ukimwi au ngoma ni kitu kigeni maskion mwako? Ni janga la kimataifa!!! Umejuaje kama sijapima? Nitafute tukapime wote na tuchukue majibu wote kama utathubutu kusogelea maabara!! Give me a break!! Ukimwi uwekwe wazi ili vizazi vipone!! Narudia Asha wa Tabora aliyekuwa kimada wa Liberato alishakufa kwa ngoma!!! Mkewe alifariki baada ya mtoto wao wa kiume kufariki kwa ajali na hakuweza kuhimili akafariki!!! Tunapoandika vitu hapa huwa mara nyingi hatukurupuki!!! Tunaheshimu maadili ya uandishi ule ambao unaweza prove pasipo shaka!! Take ur time.
Usalama utarejea kama alikuwa anakula kwa kinga maana Libe mwenyewe mke alishakufa na yule Asha wa Tabora alishakufa, ngoma!!! Doroth naye si mjane kama sijakosea? Na ujane wenyewe pengine nao wa Ngoma!!! Khaaaaaa!!!
Is this Germany or Swedish?
what goes around come around