"Ukweli" kuhusu kifo cha RPC Barlow ni huu hapa...

"Ukweli" kuhusu kifo cha RPC Barlow ni huu hapa...

Jeshi la Polisi lijitathmini uwepo wake, weledi wake, majukumu yake kwa dola na raia, uhusiano wake na jamii na mafungamano yake na sisa za nchi hii kwa wakati huu.

Thread nyingi zikitumiwa kama kigezo katika kujitathmini, inaonekana kuna msitari mwembamba mno wa uhusiano kati ya jeshi la polisi na wananchi bila ya kujali kama ni wananchi waharifu au walowema.

Pls, be guided by your professionalism, justice and indipendence
 
intllegensia ya Polisi " unonyesha kuna uhusiano mbaya kati ya raia na Polisi"
 
Taarifa hii kidogo inaweza kuaminika. Kumbe sio majambazi bali ni polisi jamii waliotumwa kulipiza kisasi. Walikuwa wawili tu kwenye gari! Uzuri wa dunia ya sasa hakuna unaloweza kulificha. Ukweli unapatikana haraka hata mkijificha kwenye giza
 
Stori za mtaani hizi, we umepima? Wote wanaokufa siku hizi ni kwa ngoma peke yake? Magonjwa mengine hayaui?Kabla ya ngoma miaka ya sabini watu walikuwa hawafi?Ficha upuuzi wako usifiche busara zako. Hao wenye ngoma mbona leo hii ni kibao na wanaishi na kupiga mzigo kuliko wewe ''usiyejifahamu''.

Hivi na wewe mbona unavamia tu bila kuuliza vizuri? Umejuaje ni story za mtaani kama si za kweli? Nyie ndiyo wale ambao mtu anakufa kwa ukimwi mnaficha, weka wazi ili wengie wajihadhari na tupunguze waathirika wapya? Ukimwi au ngoma ni kitu kigeni maskion mwako? Ni janga la kimataifa!!! Umejuaje kama sijapima? Nitafute tukapime wote na tuchukue majibu wote kama utathubutu kusogelea maabara!! Give me a break!! Ukimwi uwekwe wazi ili vizazi vipone!! Narudia Asha wa Tabora aliyekuwa kimada wa Liberato alishakufa kwa ngoma!!! Mkewe alifariki baada ya mtoto wao wa kiume kufariki kwa ajali na hakuweza kuhimili akafariki!!! Tunapoandika vitu hapa huwa mara nyingi hatukurupuki!!! Tunaheshimu maadili ya uandishi ule ambao unaweza prove pasipo shaka!! Take ur time.
 
yeah! An inside job 4 sure........juzi kati kama sikosei RCO mwanza alinusurika kifo then loe tunapata taarifa ya kuuwawa kwa RPC.

Hii issue ni zaidi ya polisi jamii. Na kiukweli mimi sijui kama polisi jamii anaruhusiwa kubeba silaha ya moto.

Kuna tatizo kubwa hapa
 
Dorin lyimo barlow au vipi? Niko njia panda wakuu nipande gari Ipi dada au attachment au non of the above.
 
Kama story hii ni kweli basi zile comments za Barlow juzi kuhusu yule askari mwenzake aliyekuwa anamla mke wa ofisa uhamiaji na hatimae kumkosakosa na risasi juzi sasa naelewa kwann aliiongea so lightly, du kumbe bosi na msaidizi wote wanakula vya watu. Ni noumah!
 
Mod Tafadhali usiunganishe thread hii. Najua iko inayoripoti kifo, iko ya maswali.

Hii inahusu majibu na revelations zilizoingia kwenye dish langu.
===========

-Kamanda Barlow alikuwa na mwanamke ndani ya gari wakiwa peke yao wawili
-Mwanamke si dada yake wala ndugu yake
-Lilikuwa gari la binafsi na Kamanda aliendesha mwenyewe.
-Walitoka kwenye kikao La Kairo Hotel na siyo Florida Hotel kama IGP alivyosema katika taarifa yake
-Walipofika Kitangiri, Kamanda aliamua kumpeleka yule mama ndani kwnye uchochoro badala ya kumwacha barabarani
-Si mara ya kwanza Kamanda kumpeleka mama yule eneo lile
-Walipoingia uchochoroni, waliwakuta the so called "polisi jamii" wakiwa kwenye doria
-Kamanda alishusha kioo na kuwauliza ni kina nani, na wao walimjibu kuwa ni polisi jamii.
-Aliwahoji kwa nini wamevaa mikanda ya polisi wakati waliishazuiwa
-Ulitokea ubishi kidogo
-Kamanda akainua redio call kuwaita vijana wake waje kuwakamata
-Polisi jamii wakamdaka kumnyanganya redio call hiyo na kumpiga risasi ya shingoni
-Wakamvuta na kumlaza chini ya uvungu wa gari
-Yule mama ndiye aliyemwita mlinzi wa RPC na kumwambia aje kumchukua "mzee" maana ameuawawa
-Mama anaisaidia polisi hata sasa.

MY Take:

-Jeshi la polisi linajaribu kusafisha hali ya hewa kwa kufanya damage control
-Mme wa mama yule amekuwa akilalamika kuwa analiwa mali yake
-Kuna uwezekano, polisi jamii walijua kamanda anakuja saa ile na yule mama, na walitekeleza maagizo waliyopewa
-Kuna other underlying issues ndani ya jeshi la polisi Mwanza
-Uchunguzi hautapata ushirikiano wa kutosha kwa sababu ya chuki kubwa kati ya jamii na jeshi hilo.


Serikali ya Tz haikaukiwa habari, ngoja niwakumbushe hii ni scene ya ngapi katika movie za serikali ya ccm-
1. Kupigwa, kuteswa na kutupwa msitu wa pande kwa dr. Ulimboka, je taarifa zake si mlizisikia?
2. kuawa kwa muuza magazeti ktk mkoa wa morogoro, mnakumbuka hadithi zake?
3.kupigwa, kuawa na kulipuwa na bomu kwa mwandishi Daudi Mwangosi mnakumbuka vipande vya stori zake? tume zale?
4. kabla hatujasahau ya Nyololo Iringa Kamanda wa mkoa wa mwanza kauawa, si mmesikia stori zake, mm naona giza na chenga chenga, ccm na serikali yake waende wakarekodi upya, watueleze huyu mtu mkubwa kauawa na nani? kifo chake nafikiri hakitofautiani sana na cha Mkuu wa Mkoa wa Tabora NDG Ukiwaona Ditopile Mzuzuri aliyekuwaa na kesi ya mauaji wakajitahidi kutunga stori za uongo na kuchakachua, umma ukawahukumu, matokeo yake akafa kifo cha ghafla, hadithi na wingu zito zikatawala kifo chake?

watu wa mwanza tuambieni huyu bwana mkubwa ana ugomvi na ccm na serikali yake? tujuzeni ukweli ili tuweke kumbukumbu sahihi?
 
Kwa cheo alichokuwa nacho huyu jamaa asingetakiwA kuwa nje usiku mwenyewe. Huu ni udhaifu wa kufikiri na kutoheshimu serikali iliyompa hayo madaraka. In short, he died in the midth of doing something fishy, most likely , as most of folks have speculated, chasing somebody's muwife

Mbona naskia kuna wakubwa zaidi nchi hii huwa wanawatosa mabody guard wao na madereva na kupiga mashine wenyewe kwenda kula uroda kwa warembo na ni common practice...

Nitamkumbuka sana kamanda Barlow kwa kutanua barabarani kila siku asubuhi anapotokea nyumbani kwake. Kuna siku nilichelewa kazini nikaunga nyuma yake wakati ametanua na kuepukana na foleni. Pia trafik wa barabara ya airport huwa wanapiga kazi hadi kamanda akipita tu wanakula kona na kuacha foleni ijipunguze yenyewe, now amekufa huenda hatutapata tena huduma ya trafic. RIP Kamanda
 
Nahisi umefika wakati wapolisi kurushiwa vitu vizito nao, bila shaka naye karushiwa kitu kizito
 
Itakuwaje afe yeye tu? Polisi jamii huwa hawana silaha za moto
 
Mod Tafadhali usiunganishe thread hii. Najua iko inayoripoti kifo, iko ya maswali.

Hii inahusu majibu na revelations zilizoingia kwenye dish langu.
===========

-Kamanda Barlow alikuwa na mwanamke ndani ya gari wakiwa peke yao wawili
-Mwanamke si dada yake wala ndugu yake
-Lilikuwa gari la binafsi na Kamanda aliendesha mwenyewe.
-Walitoka kwenye kikao La Kairo Hotel na siyo Florida Hotel kama IGP alivyosema katika taarifa yake
-Walipofika Kitangiri, Kamanda aliamua kumpeleka yule mama ndani kwnye uchochoro badala ya kumwacha barabarani
-Si mara ya kwanza Kamanda kumpeleka mama yule eneo lile
-Walipoingia uchochoroni, waliwakuta the so called "polisi jamii" wakiwa kwenye doria
-Kamanda alishusha kioo na kuwauliza ni kina nani, na wao walimjibu kuwa ni polisi jamii.
-Aliwahoji kwa nini wamevaa mikanda ya polisi wakati waliishazuiwa
-Ulitokea ubishi kidogo
-Kamanda akainua redio call kuwaita vijana wake waje kuwakamata
-Polisi jamii wakamdaka kumnyanganya redio call hiyo na kumpiga risasi ya shingoni
-Wakamvuta na kumlaza chini ya uvungu wa gari
-Yule mama ndiye aliyemwita mlinzi wa RPC na kumwambia aje kumchukua "mzee" maana ameuawawa
-Mama anaisaidia polisi hata sasa.

MY Take:

-Jeshi la polisi linajaribu kusafisha hali ya hewa kwa kufanya damage control
-Mme wa mama yule amekuwa akilalamika kuwa analiwa mali yake
-Kuna uwezekano, polisi jamii walijua kamanda anakuja saa ile na yule mama, na walitekeleza maagizo waliyopewa
-Kuna other underlying issues ndani ya jeshi la polisi Mwanza
-Uchunguzi hautapata ushirikiano wa kutosha kwa sababu ya chuki kubwa kati ya jamii na jeshi hilo.

Umejaribu kutoa dadisi zako kuhusu tukio lakini hapo kwenye red usi-conclude kwamba Polisi hawatapata ushirikiano wa kiuchunguzi amini binadamu hatufanani kimawazo naamini jamii itatoa ushirikiano kuwanasa waliohusika.Hata hivyo si vema kuweka ushabiki kwenye masuala ya kifo hata kama kamanda alikuwa Polisi hawezi kukwepa kwani ndiyo majukumu yake na ndiyo kazi yake aliyoichagua kuifanya.Hivi unafikiri kuwa wewe utakuwa unasikia tu vifo vya wenzako?
 
Mimi nafikiri nchimbi na judge ihemi huu ndio wakti wao wakuonyesha wanajua kuandika ripoti na ile ya daudi mwangosi bahati mbaya na watatoa matokeo ya kweli!!!!!!!!!mnakula wake za watu mnategemea nini radio call!!!!!?go go go tutamfuta wengi mwangosi ila kwa njia tofauti.
 
Hivi na wewe mbona unavamia tu bila kuuliza vizuri? Umejuaje ni story za mtaani kama si za kweli? Nyie ndiyo wale
ambao mtu anakufa kwa ukimwi mnaficha, weka wazi ili wengie wajihadhari na tupunguze waathirika w
apya? Ukimwi au ngoma ni kitu kigeni maskion mwako? Ni janga la kimataifa!!! Umejuaje kama sijapima? Nitafute tukapime wote na tuchukue majibu wote kama utathubutu kusogelea maabara!! Give me a break!! Ukimwi uwekwe wazi ili vizazi vipone!! Narudia Asha wa Tabora aliyekuwa kimada wa Liberato alishakufa kwa ngoma!!! Mkewe alifariki baada ya mtoto wao wa kiume kufariki kwa ajali na hakuweza kuhimili akafariki!!! Tunapoandika vitu hapa huwa mara nyingi hatukurupuki!!! Tunaheshimu maadili ya uandishi ule ambao unaweza prove pasipo shaka!! Take ur time.

Maelezo yako yanaonyesha hata kona ya maabara huijui.Ushuhuda unaotoa ni wa kusikika, tambua upimaji mpaka majibu ni siri ya mgonjwa husika sasa wewe haya umeyajuaje?Ukimwi wa leo hii sio kama ule wa zama zile eti mtu akikonda tu basi ni ngoma.Leo wenye ukimwi wanakufa wakiwa
na miili yao, sasa wewe umewatambuaje.

Afya ya mtu ni siri yake, hasa issue ya ukimwi kwa sasa huwezi tambua nani na nani wako kwenye game hii, unawezekana ukawa miongoni mwao.Any way let us back to the main agenda tuachane na unyanyapaa uliokwishapitwa na wakati.
 
Usalama utarejea kama alikuwa anakula kwa kinga maana Libe mwenyewe mke alishakufa na yule Asha wa Tabora alishakufa, ngoma!!! Doroth naye si mjane kama sijakosea? Na ujane wenyewe pengine nao wa Ngoma!!! Khaaaaaa!!!

Mkuu Zogwale in short the late alikuwa na Ngwengwe?No wonder alikuwa mkali sana akiojiwa na waandishi Duh!kuwa mpole usikie mengi
 
Polisi jamii na silaha ya moto?????????????????????
Angalau limetoka neno Jambazi..time will tell!
 
Back
Top Bottom