mtendaji wa kijiji
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 533
- 115
Hv huyo mama amesema alipigwa bao ngapi na Marehem??? Hahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo haijaniingia akilini kwa police jamii kutembea na silaha ya moto. There must bd something hidden. Let's weit.Hivi polisi jamii huwa na silaha za moto???
nadhani hii ni information ya uhakika... kuhusu polisi jamii wapo wengi sana mwanza..tena inaonekana vijana hao walitumia bunduki ya kamanda na kummaliza papo papo....ila ninachojiuliza kama kweli walitumwa why walimuacha huyo jike hai??
Kamanda naye alikuwa analeta dharau unatafuna mali za watu halafu unakwenda kujiachia mpaka mpaka maeneo yao.
labda ndo kawaweka mjiniKamanda naye alikuwa analeta dharau unatafuna mali za watu halafu unakwenda kujiachia mpaka mpaka maeneo yao.
Nchimbi unda tume na wajumbe wawe wale wale wakiongozwa na yule Jaji Kilaza
Hivi polisi jamii huwa na silaha za moto???